Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mkuu kama umesoma vizuri nimejaribu kueleza maana ya kuingia na kiti.
Rais hakwenda yeye binafsi, alikwenda kwa kofia ya Urais. Na hilo limetanabaishwa na uwepo wa kiti cha Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama umesoma vizuri nimejaribu kueleza maana ya kuingia na kiti.
Rais hakwenda yeye binafsi, alikwenda kwa kofia ya Urais. Na hilo limetanabaishwa na uwepo wa kiti cha Rais.
Naona hukunielewa, huwezi kwenda kwenye mamlaka nyingine kwa masharti yako binafsi. Kanisa ni mamlaka kwa hiyo wanaoingia Kanisani wanapaswa kufuata mamlaka ya Kanisa.kwahiyo Nyerere , Mwiny , Mkapa , Kikwete na Jpm ni vichaa ? mbona waliheshimu nyumba za ibada kwa kufuata taratib za nyumba za ibada husika wanapoenda kusali pamoja , IPO SIKU UJINGA WA HV UTAFANYWA NA RAIS MKRISTU KWENY MSIKIT , NAJUA NDO MTAKUMBUKA KULALAMIKA
Huu ndo ukweli halisi. Tulishuhudia ibada ya maziko ya Magufuli, Askofu Niwemugizi wakati anasoma misa alimtaja Magufuli kwa jina lake; "Kwa vile umeona vema kumuita kwako mtumishi wako JOHN". Hakusema mtumishi wako Rais.ndan ya kanisa hakuna kiongoz anaitwa rais wala makamu wa rais hasa hasa kipind cha ibada , vyeo unaviacha mlangoni
...Mtatoka jasho Sana kutetea....![emoji57]Na Jumakilumbi,
15.10.2022
Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa nimekusudia kutoa ufafanuzi mfupi wa kitendo kile.
UFAFANUZI
Kiti cha rais ni nembo ya mamlaka ya Rais, mahali popote nchini awapo kwa shughuli rasmi ya kiserikali kiti chake huwepo kuashiria urasmi wa shughuli hiyo.
Kabla ya yote jambo mambo kadhaa lazima tuyaelewe na tuyakubali
* Rais Samia ni Muislam, lakini ni rais wa waTanzania wote.
* Rais huvaa kofia nyingi, ni M/kiti wa CCM, Rais wa Nchi, Muislam (binafsi yake), ni Mke (kwa mumewe) na ni Mama (kwa wanawe).
Shughuli ile ilimlalizimu kuingia kanisani katika ibada ambapo yeye kama Muislam kanisani si mahala pake pa ibada, ila yeye aliingia kwa kofia ya KIONGOZI WA NCHI, na hili lilibainishwa wazi kwa uwepo wa kiti chenye nembo ya bibi na Bwana.
Hivyo kuingia kwake na kiti chake kanisani haikuwa dharau kwa dini ya kikristo kama inavyotafsriwa na wakosoaji wake, bali ni ishara ya kofia aliyoingia nayo - Kofia ya Urais.
Maswali yaulizwayo mara kwa mara
1) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Msikitini?
Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti… na kama kungekuwa na kapeti rasmi la Rais (lenye nembo ya bibi na bwana) nina hakika angeingia nalo kuonesha kofia aliyoingia nayo
2) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Kanisani?
Hayati alikuwa Mkristo, hivyo aliingia kanisani kwa kofia yake binafsi kama Mkristo na si kama Rais.
3) Mbona Rais Samia hakuingia na kiti Msikitini?
Kwakuwa yeye ni Muislam, aliingia Msikitini kwa kofia ya Uislamu wake.
Pia Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti. Kama kungekuwa na kapeti rasmi ya Rais bila shaka angeingia nalo.
3) Mbona Makamu wa Rais Dr. Mpango hakukalia kiti kama cha Rais?
Kiprotokali hatuna kiti rasmi chenye nembo ya kimamlaka kwaajili ya Makamu wa Rais, ila kingekuwepo angeingia nacho.
Pia Dr. Mpango ni Mkristo, ameingia kwa kofia ya Ukristo wake.
NB: Haya ni maoni yangu Binafsi na ninawajibika kwayo.
View attachment 2387854
... Kitu kinapunguza ama Kuongeza mamlaka ya Urais? Kwamba Raisi akikalia Benchi kama Waumini Wengine Mamlaka yake anapungua kitu? Au mule alimokalia Benchi Mamlaka ya Urais hayamo? Viongozi Wetu wa Kiafrika wanapaswa mno kupunguza Kujikweza....!Mkuu msingi upo kwenye shughuli inayofanyika, Hayati Magufuli alikwenda ibadani hasa siku za Jumapili hivyo alikwenda yeye na si Rais. Hakukuwa na haja ya kuonesha mamlaka ilhali amekwenda yeye binafsi.
Hili ni swali la kipumbavu sana, hebu fikiria.
Na hili pia,
Lengo si kuonesha Ukuu mkuu, lengo ni kuonesha aliyekwenda si Samia, aliyekwenda ni Rais wa Tanzania na hiyo ndiyo sababu ya uwepo wa kiti cha rais…
Kiti cha rais sio cha Samia, ni cha yeyote anayeshikilia mamlaka ya Rais.
Samia yeye binafsi hana sababu za kwenda kanisani sababu yeye ni muislam, ila kama rais, anaweza kwenda kwa kofia ya Urais.
Umebadili maana yangu, lengo si kuonesha Ukuu, lengo ni kuonesha aliyekwenda si Samia, bali ni RAIS SAMIA.
Umepoteza maana,
Ulipopotea ni pale ulipodhani kiti kuonesha Ukuu juu ya kanisa, hapana.
Kiti ni kuonesha kofia aliyoingia nayo.
...Full Stop!!!...Hakukuwa na ulazima wa kuingia na kiti.
..Kwa Nini Waumini hawaendi na Viti vyao Kanisani, kama hakuna sehemu palipoandikwa ni Marufuku Kuingia Kanisani na Kiti??Kwa upande wangu mi naona sawa tu kuingia na kiti au kutoingia na kiti cha muhim katimiza majukumu yake na hakuna sehemu kanisa wameandika ni marufuku kuja na kiti
...SI apelekewe Zuria lake?...Anachomaamnisha ni kwamba kama msikitini kungelikuwa na viti, basi Rais angekuwa anapelekewa kiti chake huko. Kwa sababu hamna viti msikitini, hawezi kupelekewa kiti. Au uliatka wampelekee kiti akakae kwrnye kiti yeye peke yake?
Excellent!Na Jumakilumbi,
15.10.2022
Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa nimekusudia kutoa ufafanuzi mfupi wa kitendo kile.
UFAFANUZI
Kiti cha rais ni nembo ya mamlaka ya Rais, mahali popote nchini awapo kwa shughuli rasmi ya kiserikali kiti chake huwepo kuashiria urasmi wa shughuli hiyo.
Kabla ya yote jambo mambo kadhaa lazima tuyaelewe na tuyakubali
* Rais Samia ni Muislam, lakini ni rais wa waTanzania wote.
* Rais huvaa kofia nyingi, ni M/kiti wa CCM, Rais wa Nchi, Muislam (binafsi yake), ni Mke (kwa mumewe) na ni Mama (kwa wanawe).
Shughuli ile ilimlalizimu kuingia kanisani katika ibada ambapo yeye kama Muislam kanisani si mahala pake pa ibada, ila yeye aliingia kwa kofia ya KIONGOZI WA NCHI, na hili lilibainishwa wazi kwa uwepo wa kiti chenye nembo ya bibi na Bwana.
Hivyo kuingia kwake na kiti chake kanisani haikuwa dharau kwa dini ya kikristo kama inavyotafsriwa na wakosoaji wake, bali ni ishara ya kofia aliyoingia nayo - Kofia ya Urais.
Maswali yaulizwayo mara kwa mara
1) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Msikitini?
Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti… na kama kungekuwa na kapeti rasmi la Rais (lenye nembo ya bibi na bwana) nina hakika angeingia nalo kuonesha kofia aliyoingia nayo
2) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Kanisani?
Hayati alikuwa Mkristo, hivyo aliingia kanisani kwa kofia yake binafsi kama Mkristo na si kama Rais.
3) Mbona Rais Samia hakuingia na kiti Msikitini?
Kwakuwa yeye ni Muislam, aliingia Msikitini kwa kofia ya Uislamu wake.
Pia Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti. Kama kungekuwa na kapeti rasmi ya Rais bila shaka angeingia nalo.
3) Mbona Makamu wa Rais Dr. Mpango hakukalia kiti kama cha Rais?
Kiprotokali hatuna kiti rasmi chenye nembo ya kimamlaka kwaajili ya Makamu wa Rais, ila kingekuwepo angeingia nacho.
Pia Dr. Mpango ni Mkristo, ameingia kwa kofia ya Ukristo wake.
NB: Haya ni maoni yangu Binafsi na ninawajibika kwayo.
View attachment 2387854
Amekufa ameyaacha madhahabu...
Na akikaa kwenye kiti cha Rais ni dhambi?kwani akikaa kwenye benchi la kanisa ni dhambi, [emoji848]
Ukisoma vizuri utaona wazi kuwa nimeeleza kiti kufanya kazi ya ishara tu.... Kitu kinapunguza ama Kuongeza mamlaka ya Urais? Kwamba Raisi akikalia Benchi kama Waumini Wengine Mamlaka yake anapungua kitu? Au mule alimokalia Benchi Mamlaka ya Urais hayamo? Viongozi Wetu wa Kiafrika wanapaswa mno kupunguza Kujikweza....!