UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

hv akil zak zpo sw , yaan watu kushangilia mara moja pindi padre au mchungaj anabariki ndoa ndo unaita hafla ? au huko chitohor ndo mnaita hafla , vua kobaz zitakupeleka pabaya
😂😂Wenzio wanakucheka angalia
 
Nyerere yupi? Yuko wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]babu Yako hakuwa na elimu hata robo [emoji23][emoji23][emoji23]zaidi ya kuvimba macho kwa uwizi
Fuatilia mtu anaitwa Sir George Kahama , alimkimbiza Nyerere pale Tbr boys , na alipotoka tbr boys akaenda nje direct na sio kusomea ualimu km mzee wetu aliewapenda wavaa kobaz licha ya kutomlipa fadhira kisa sio wa dini yenu , Hata Jpm aliwajengea misikiti kwa kuhamasisha watu makanisan , ila wavaa kobaz ipo siku mtasema alilea ukatolik , nyumba zenu za ibada zimekuwa vijiwe vya udaku [emoji23][emoji23] , Sijamzungumzia mzee wang sbb utashangaa sn [emoji23][emoji23] take easy na jitahid kukosoa pale kwenye makosa usiweke hisia binafs , maana ipo siku inaeza tokea kwenye upande wako
 
Kwa kiakili asingeweza kupambana na uislamu zaidi ya kutumia chocho ya kusema hamna udini behind anasamba ukatoliki yuko wapi leo? [emoji23][emoji23][emoji23]Tupo kweny system taasisi nyeti kutokana na uwezo wetu wala haturingi .....tuna matajiri wakubwa wakina mo kwa bongo tuna nyie mko wapi mnasubiria miujiza ya mwamposa
Mo sio ndug yako ntajie mvaa kobaz mwenzio mbantu mweny pesa , bab yang asingepamban na washinda vibarazan bali angedili na wale wanatak kula paref wkt darasa la 3
 
Fuatilia mtu anaitwa Sir George Kahama , alimkimbiza Nyerere pale Tbr boys , na alipotoka tbr boys akaenda nje direct na sio kusomea ualimu km mzee wetu aliewapenda wavaa kobaz licha ya kutomlipa fadhira kisa sio wa dini yenu , Hata Jpm aliwajengea misikiti kwa kuhamasisha watu makanisan , ila wavaa kobaz ipo siku mtasema alilea ukatolik , nyumba zenu za ibada zimekuwa vijiwe vya udaku [emoji23][emoji23] , Sijamzungumzia mzee wang sbb utashangaa sn [emoji23][emoji23] take easy na jitahid kukosoa pale kwenye makosa usiweke hisia binafs , maana ipo siku inaeza tokea kwenye upande wako
Amefanya nn kama kukariri haha justian rweyamuma alikuwa anajua kukariri ishu amafenya nn elimu anayosoma ni kuitambua ukoloni sio ya ujuzi😂👇je ana msaada gani kweny maendeleo ya nchi ? Hata kujulikana hajulikani huyo alikuwa anajua kingereza na alienda nje kuwasukudia ndo Miungu wenu hamna cha maana ...watu weny akili na elimu ni wale walibadili Dubai from desert into a business hub and tourism centre..

Nyie mmefanya nn ? Kwamba elimu ile ilikuwa ya ovyo mpaka leo huyo mzee wako hana kitu kichwani zaidi ya kukariri hata mwalimu nyerere kashindwa kutransform nchi mpaka anakufa ..sasa Kuna lip la kujisifu kwa elimu kumbuka musk aliposema " unawdz kuwa na elimu ila still ni mjinga " Haina manufaa zaidi ya kukariri elimu yeye tija ni ile Ina manufaa kwa jamii na utatuzi wa changamoto elimu za mzee wako ni trash katika ulimwengu wa sasa
 
Umeelewa nilichoandika? Mimi kwangu sioni issue yoyote aingie na kiti au akalie bench. Ila ninakataa hizi sababu zako kwa kuwa ameshawahi kuingia kanisani na kukalia bench Kama hapo nilivyokuonyesha kwenye picha.

Ni uamuzi wake kufanya kile anapenda. Hizi sababu zako ni rubbish
Sawa Countrywide

Hoja yako ni kuwa Rais kuingia na kiti ni kaamua tu na si vingine.
 
Ndo ujiulize kafuata nn ? ndio maana tunasema kaferi sana , hafla haifanyik kanisan na hata kana kaalikwa hapasw kuingia na viti kanisan , kualikwa haimaanish uvunje taratib , ukimya sio kuungwa mkono bali wanakustahi tu
Waweza ainisha ni utaratibu upi umevunjwa?

Na ni muhimu kunukuu sheria ama taratibu za kanisa, usitueleze kwa hisia zako binafsi.

Kama hutaweza fanya hivyo maana yake ni hakuna utaratibu wa kanisa uliovunjwa.
 
nmekuuliza unaeza ingia na kiti msikitin , maana naamin pia itakuwa hujaharib utaratib wowote
Narudia tena…
Kama umesoma vizuri andiko langu utagundua nimelieleza hili kwa nafasi yake.
 
Nilidhani umeandika ukiwa unaelewa kumbe ni mtazamo kutoka kichwani kwako, sasa angalia hiki hapa...
👇🏾
3) Mbona Makamu wa Rais Dr. Mpango hakukalia kiti kama cha Rais?

Kiprotokali hatuna kiti rasmi chenye nembo ya kimamlaka kwaajili ya Makamu wa Rais, ila kingekuwepo angeingia nacho.
Pia Dr. Mpango ni Mkristo, ameingia kwa kofia ya Ukristo wake.
☝🏾
Hapo umejikaanga kwa andiko lako, nadhani umeelewa makosa yako makubwa ya kutaka kutetea kosa mlilofanya.
Hapo hakuna mkanganyo, hapo kuna maelezo yanayoeleza sababu mbili za kwanini Dr. Mpango hakuingia na kiti cha Makamu wa rais.

1) hakna kiti cha makamu wa rais
2) Dr. Mpango ni mkristo
 
Hapo hakuna mkanganyo, hapo kuna maelezo yanayoeleza sababu mbili za kwanini Dr. Mpango hakuingia na kiti cha Makamu wa rais.

1) hakna kiti cha makamu wa rais
2) Dr. Mpango ni mkristo
Mkuu issue ya Dr kuwa mkristo lakini pia si kaingia na kiti, hii ni hoja as ya Rais kuingia nacho.

Ugonjwa unao ongelewa hapa ni kwa jinsi au security gani hatari mpaka mtumie viti vyenu?.

Hapo hakuna sababu ya uislam wala ukristo kuwa 'eti' uingie na kiti chako sababu mamlaka ya duniani ni ndogo sana ukitaka kulinganisha ya Mungu/Allah.

Hakuna kiongozi aliyewahi kuishinda Imani au hata kwa kumjaribu atoaye Imani, vile hao wanaosimamia protocol nao wanapotoka kwa kujionyesha wazi hivyo.

How come hatukuona ubalozi pale England umeshtuka ukaleta private convoy imbebe our leader?.
 
Jadilini mambo ya msingi tena ikiwezekana masuala ya ukame na njaa inayonyemelea familia nyingi, haya mambo ya maviti yanasaidia nini katika uchumi wa nchi ama wa mtu mmoja mmoja? use your little brain properly
 
Mkuu fuatilia mada yoyote kama uliyotanabaisha uone influence wake, comments na replies ndipo utagundua what's in!.
 
Na Jumakilumbi,
15.10.2022

Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa nimekusudia kutoa ufafanuzi mfupi wa kitendo kile.

UFAFANUZI
Kiti cha rais ni nembo ya mamlaka ya Rais, mahali popote nchini awapo kwa shughuli rasmi ya kiserikali kiti chake huwepo kuashiria urasmi wa shughuli hiyo.

Kabla ya yote jambo mambo kadhaa lazima tuyaelewe na tuyakubali

* Rais Samia ni Muislam, lakini ni rais wa waTanzania wote.

* Rais huvaa kofia nyingi, ni M/kiti wa CCM, Rais wa Nchi, Muislam (binafsi yake), ni Mke (kwa mumewe) na ni Mama (kwa wanawe).

Shughuli ile ilimlalizimu kuingia kanisani katika ibada ambapo yeye kama Muislam kanisani si mahala pake pa ibada, ila yeye aliingia kwa kofia ya KIONGOZI WA NCHI, na hili lilibainishwa wazi kwa uwepo wa kiti chenye nembo ya bibi na Bwana.

Hivyo kuingia kwake na kiti chake kanisani haikuwa dharau kwa dini ya kikristo kama inavyotafsriwa na wakosoaji wake, bali ni ishara ya kofia aliyoingia nayo - Kofia ya Urais.

Maswali yaulizwayo mara kwa mara

1) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Msikitini?
Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti… na kama kungekuwa na kapeti rasmi la Rais (lenye nembo ya bibi na bwana) nina hakika angeingia nalo kuonesha kofia aliyoingia nayo

2) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Kanisani?
Hayati alikuwa Mkristo, hivyo aliingia kanisani kwa kofia yake binafsi kama Mkristo na si kama Rais.

3) Mbona Rais Samia hakuingia na kiti Msikitini?
Kwakuwa yeye ni Muislam, aliingia Msikitini kwa kofia ya Uislamu wake.
Pia Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti. Kama kungekuwa na kapeti rasmi ya Rais bila shaka angeingia nalo.

3) Mbona Makamu wa Rais Dr. Mpango hakukalia kiti kama cha Rais?
Kiprotokali hatuna kiti rasmi chenye nembo ya kimamlaka kwaajili ya Makamu wa Rais, ila kingekuwepo angeingia nacho.
Pia Dr. Mpango ni Mkristo, ameingia kwa kofia ya Ukristo wake.

NB: Haya ni maoni yangu Binafsi na ninawajibika kwayo.
View attachment 2387854

Naona umetoa ufafanuzi hata hivyo kilicho nishangaza ni watu kuanza kujadili kiti alicho kalia Mh Rais badala ya kujadili fursa na changamoto nyingi zinazokumba Vijana na ukosefu wa ajira

Naona hayo ni matumizi mabaya ya bando na Akili aliyo tupa Mungu bure na hii Inanikumbusha Mwalimu wangu alikuwa alikisema; Wakoloni walituharibu vichwa kwa kutupatia elimu bila MAARIFA na kutufanya tuwe busy kujadili mambo ya hovyo hovyo ya kutupotezea muda ili wapate nafasi ya kupora dhahabu na raslimali nyingine (enzi hizo)
 
Uo woote ni ujinga, Ulisikia wapi Raisi anaenda kufanya shughur za kiserikali sehem za ibada tena wakati wa ibada. Unapoingia kanisani au msikitini manake umeenda kuhudhuria ibada usivuruge utaratibu wa ibada za watu kwa hoja za kijinga. Kimsimgi ni ubaguzi na hilo ameliweka wazi kwa kujitukuza mbele ya ibada za watu.

Sidhani kama angekalia kiti cha kawaida ndio kusema angeshindwa kutimiza haja yake iliompeleka pale, Ila alikusudia kudharau ibada kwa kofia ya uraisi.
 
Hata hivo Ukristo umekua dini ya Kipumbavu sana kama Wachungaji wanaingia na Mabodigadi ibadani tena Mimbarani unafikiri kuna asiemkristo ataona umuhim wa kujishusha ibadani?

Dini imeharibiwa na wenye nayo wasilalamike sana
 
Shida iliyopo ni picha inayojengeka na tafsiri ya wengi juu ya kile kiti kanisani.
Nakumbuka January aliwahi kusema kuwa Rais Obama alipokuja kiti kilichoandaliwa watu wake walikikataa kwasababu tu kilikua nyuma kimeinuka sana kama hicho Cha rais wetu.

Kwanini walikikataa ni kwasababu kinaonyesha uchifu na kuwa ni mtawala na si kiongozi..

Sasa hili la kiti nakuhakikishia rais hataingia tena na kiti kanisani kwasababu picha inayojengeka ni kwamba rais anajikweza sana hata kama si hivyo.

Wahusika waliboronga kwenye hili na hawakufanya sawa, hii migongano na kutetea na kupinga ndio ambacho hakikupaswa kutokea hili litaepukwa siku zijazo Ili kuondoa hiyo picha ya kwamba rais wetu wengine hata kama ni wachache au wengi wanahisi anajikweza zaidi ya Mungu kitu ambacho sio lengo la rais kuonekana kwa picha hiyo.

Kukosea kupo hapa duniani na tunapokosea tusianze kutengeneza vihoja kuhalalisha makosa kuwa sahihi.

Tuwawie radhi waliotengeneza hii migongano na kumtengenezea picha mbaya rais wetu.
 
Na Jumakilumbi,
15.10.2022

Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa nimekusudia kutoa ufafanuzi mfupi wa kitendo kile.

UFAFANUZI
Kiti cha rais ni nembo ya mamlaka ya Rais, mahali popote nchini awapo kwa shughuli rasmi ya kiserikali kiti chake huwepo kuashiria urasmi wa shughuli hiyo.

Kabla ya yote jambo mambo kadhaa lazima tuyaelewe na tuyakubali

* Rais Samia ni Muislam, lakini ni rais wa waTanzania wote.

* Rais huvaa kofia nyingi, ni M/kiti wa CCM, Rais wa Nchi, Muislam (binafsi yake), ni Mke (kwa mumewe) na ni Mama (kwa wanawe).

Shughuli ile ilimlalizimu kuingia kanisani katika ibada ambapo yeye kama Muislam kanisani si mahala pake pa ibada, ila yeye aliingia kwa kofia ya KIONGOZI WA NCHI, na hili lilibainishwa wazi kwa uwepo wa kiti chenye nembo ya bibi na Bwana.

Hivyo kuingia kwake na kiti chake kanisani haikuwa dharau kwa dini ya kikristo kama inavyotafsriwa na wakosoaji wake, bali ni ishara ya kofia aliyoingia nayo - Kofia ya Urais.

Maswali yaulizwayo mara kwa mara

1) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Msikitini?
Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti… na kama kungekuwa na kapeti rasmi la Rais (lenye nembo ya bibi na bwana) nina hakika angeingia nalo kuonesha kofia aliyoingia nayo

2) Mbona Magufuli hakuingia na kiti Kanisani?
Hayati alikuwa Mkristo, hivyo aliingia kanisani kwa kofia yake binafsi kama Mkristo na si kama Rais.

3) Mbona Rais Samia hakuingia na kiti Msikitini?
Kwakuwa yeye ni Muislam, aliingia Msikitini kwa kofia ya Uislamu wake.
Pia Misikitini hakuna viti, ila kuna makapeti. Kama kungekuwa na kapeti rasmi ya Rais bila shaka angeingia nalo.

3) Mbona Makamu wa Rais Dr. Mpango hakukalia kiti kama cha Rais?
Kiprotokali hatuna kiti rasmi chenye nembo ya kimamlaka kwaajili ya Makamu wa Rais, ila kingekuwepo angeingia nacho.
Pia Dr. Mpango ni Mkristo, ameingia kwa kofia ya Ukristo wake.

NB: Haya ni maoni yangu Binafsi na ninawajibika kwayo.
View attachment 2387854
Lakini rais Samia alipokuwa London alipandishwa school bus, sasa sijui rais akiwa nje ya nchi (London) anapoteza mamlaka yake ya urais na kuwa sawa na mwanafunzi wa shule?

Hakuna namna unaweza kumtetea Rais kuingia na kiti chache kanisani kwenye ibada takatifu ya kikatoliki. Kiukweli itifaki ya Ikulu ilikosea sana, na wanapaswa kuwaomba radhi wakatoliki kwa kitendo kile cha kumfanya Rais Samia mtukufu kupita maumini wengine wakati yeye hana hata sifa ya kupokea ekaristi takatifu. Wakatoliki wameumizwa sana katika hilo.
 
Naona umetoa ufafanuzi hata hivyo kilicho nishangaza ni watu kuanza kujadili kiti alicho kalia Mh Rais badala ya kujadili fursa na changamoto nyingi zinazokumba Vijana na ukosefu wa ajira

Naona hayo ni matumizi mabaya ya bando na Akili aliyo tupa Mungu bure na hii Inanikumbusha Mwalimu wangu alikuwa alikisema; Wakoloni walituharibu vichwa kwa kutupatia elimu bila MAARIFA na kutufanya tuwe busy kujadili mambo ya hovyo hovyo ya kutupotezea muda ili wapate nafasi ya kupora dhahabu na raslimali nyingine (enzi hizo)
Ila Mkuu wakoloni tunawalaumu sana, ni miaka 60 na wakoloni wamekwenda.
 
Lakini rais Samia alipokuwa London alipandishwa school bus, sasa sijui rais akiwa nje ya nchi (London) anapoteza mamlaka yake ya urais na kuwa sawa na mwanafunzi wa shule?
Mkuu tukisema kweli lile basi si la hadhi ya wanafunzi wa shule. Na nje kuna taratiibu zao hasa ukizingatia tukio lile.
Hakuna namna unaweza kumtetea Rais kuingia na kiti chache kanisani kwenye ibada takatifu ya kikatoliki. Kiukweli itifaki ya Ikulu ilikosea sana, na wanapaswa kuwaomba radhi wakatoliki kwa kitendo kile cha kumfanya Rais Samia mtukufu kupita maumini wengine wakati yeye hana hata sifa ya kupokea ekaristi takatifu. Wakatoliki wameumizwa sana katika hilo.
Ni kwelo ndugu zetu wamekwazika sana Mkuu, nalitambua hilo.
 
Back
Top Bottom