UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

Labda kama kulikua na shughuli za kiserikali zinaendelea hapo ndani ya kanisa.
Ila hiyo ya kofia ni uongo na kupotoshana mkuu.
 
Naona hukunielewa, huwezi kwenda kwenye mamlaka nyingine kwa masharti yako binafsi. Kanisa ni mamlaka kwa hiyo wanaoingia Kanisani wanapaswa kufuata mamlaka ya Kanisa.
 
ndan ya kanisa hakuna kiongoz anaitwa rais wala makamu wa rais hasa hasa kipind cha ibada , vyeo unaviacha mlangoni
Huu ndo ukweli halisi. Tulishuhudia ibada ya maziko ya Magufuli, Askofu Niwemugizi wakati anasoma misa alimtaja Magufuli kwa jina lake; "Kwa vile umeona vema kumuita kwako mtumishi wako JOHN". Hakusema mtumishi wako Rais.
 
...Mtatoka jasho Sana kutetea....![emoji57]
 
Mleta mada anatetea maafi na maafi yake, acheni njaa na kujipendekeza kwa watawala ili mpate mkate wenu wa kila siku, hiyo kiti basi iwe inapelekwa chooni, kwenye ndege, kaburini kila aendako. Acheni kuleta siasa kwenye nyumba ya Mungu, hakuna MKUU NA UKUU astahiliye zaidi ya aliyeumba mbingu na nchi pamoja na vinavyoonekana na visivyoonekana, ndiye MUNGU BABA pekee hakuna mwingine duniani na nje ya dunia.
 
... Kitu kinapunguza ama Kuongeza mamlaka ya Urais? Kwamba Raisi akikalia Benchi kama Waumini Wengine Mamlaka yake anapungua kitu? Au mule alimokalia Benchi Mamlaka ya Urais hayamo? Viongozi Wetu wa Kiafrika wanapaswa mno kupunguza Kujikweza....!
 
Kwa upande wangu mi naona sawa tu kuingia na kiti au kutoingia na kiti cha muhim katimiza majukumu yake na hakuna sehemu kanisa wameandika ni marufuku kuja na kiti
..Kwa Nini Waumini hawaendi na Viti vyao Kanisani, kama hakuna sehemu palipoandikwa ni Marufuku Kuingia Kanisani na Kiti??
 
Anachomaamnisha ni kwamba kama msikitini kungelikuwa na viti, basi Rais angekuwa anapelekewa kiti chake huko. Kwa sababu hamna viti msikitini, hawezi kupelekewa kiti. Au uliatka wampelekee kiti akakae kwrnye kiti yeye peke yake?
...SI apelekewe Zuria lake?...
 
Excellent!
 
... Kitu kinapunguza ama Kuongeza mamlaka ya Urais? Kwamba Raisi akikalia Benchi kama Waumini Wengine Mamlaka yake anapungua kitu? Au mule alimokalia Benchi Mamlaka ya Urais hayamo? Viongozi Wetu wa Kiafrika wanapaswa mno kupunguza Kujikweza....!
Ukisoma vizuri utaona wazi kuwa nimeeleza kiti kufanya kazi ya ishara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…