Wewe kashinde kwa Kapuya...Naona leo mashabiki w dkt slaa watashinda baa kula kitimoto na bia
kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada yat hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.
HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?
NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.
Hivi hii intelijensia ya chadema ambayo imeshindwa kumgundua huyo wa nne imewezaje kuwa gundua wakina kitila,zitto na mwigamba?
Tundulisu anasema wameigiza sijui wameunda kamati ya kuchunguza na kugundua huyo wa nne. Ina maana hawakufanya uchunguzi toka mwanzo hila wameamua kukurupuka na kuwa husisha wakina kitila,zitto na mwigamba?
Ni wakina nani walio wabaini wao watatu na wakashindwa huyo mmoja?
Ni wazi zitto, mwigamba,kitila walipangiwa toka muda.
Hii dhambi ita watesa chadema.

Vp mkuu upo?
Mwenzio akinyolewa...............................
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;
1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.
2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.
3.
Na kwa nini maamuzi mazito kama haya yafanyike bila uchunguzi kukamilika?
Huyo wa nne wameweka reserve tu ili siku wakitaka kumfukuza Msigwa au Lissu wasikose sababu.
acheni uongo si mseme mmetumia hule waraka wa report ya siri. na cha kushangaza zaidi hakuna aliye sikilizwa na tunaomba kujua huo waraka una husiana na nini? semeni kweli ndio hule waraka ulio wekwa humu.
Na kwa nini maamuzi mazito kama haya yafanyike bila uchunguzi kukamilika?
Hahahahaa... nipo kaka..
Mwenzio akinyolewa na wewe tafuta mbovu umnyoe.