nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.
acheni uongo si mseme mmetumia hule waraka wa report ya siri. na cha kushangaza zaidi hakuna aliye sikilizwa na tunaomba kujua huo waraka una husiana na nini? semeni kweli ndio hule waraka ulio wekwa humu.
Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.
Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha
Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.
Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha
Acha masengenyo we aunt mwekundu
Safi sana.Anasema Kamati Kuu imeamua kuwavua nyadhifa zao zote watu wote waliotajwa katika waraka huo ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.
Pia kamati kuu imeunda kamati ya kuchunguza na kufuatilia mhusika mwingine M2 ambaye anadaiwa ni Mtumishi wa Makao Makuu ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi yake
Kamati Kuu imeagiza wahusika wote waandikiwe barua za kujieleza ni kwanini wasivuliwe uanachama kwa makosa hayo makubwa waliyofanya.
Sana tu,mia...Tuakusubirieni kwa hamu kabisa......
anasema lugha iliyotumika katika waraka huo ni ya siri ambapo kuna mtu anaitwa mm ambaye ni naibu katibu mkuu zitto kabwe, m1 ni dr. Kitila mkumbo, m2. Hajajulikana na dr. Mkumbo alikana kumfahamu kabisa m2, na m3 ni mwigamba. Lissu anasema waraka huo uliojulikana kama waraka wa ushindi unavunja katiba ya chama kwa sababu umepandikiza chuki za kidini, majungu na kukashifu viongozi wa chama kinyume na katiba ya chadema. Lissu anasema tuhuma zote zilizoko katika waraka huo hazijawahi kuwasilishwa kwenye kikao chochote halali cha chama kinyume na matakwa na masharti ya katiba yetu
na iwe vile ilivyokusudiwa kwa ajili ya maslahi ya chama na taifa kwa ujumla Leo ndo Leo kama noma n'a iwe.Pande zipi kamanda!n'a Kabila
Kapuya hajakumalizia ujira wako?Lissu nae ni miongoni mwa wanaokula ruzuku na kundi la wachaga na watu wa Arusha lazima aunge mkono.