Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.

zitto tiisss wanamtaka sana kwa kazi maalum kwa hiyo bado hajamaliza kazi rasmi ila kashtukiwa tu
 
CDM watafanya kosa kubwa sana kuishia katikati ya safari. Avuliwe uwanachama na apoteze ubunge. Potela-mbali akiwa mbunge wa mahakama ama akigombea kwa chama kingine na kushinda. Kutokana na nyaraka hizo na mwenendo wake siku za karibuni, anakila sifa ya kuwa adui wa CDM; na kanuni ya 15 ya "48 Laws of power" inatukumbusha bila kumumnya maneno: "crash your enemy totally." Usiache masalia, yatachipua na kukosesha mimea oxygen................."To prevent future aggression against us, we have to destroy the source of the aggression before it get to strong, not just physically, but psychologically. All hope must be taken away from them and destroyed. Is that not the smarter action? To crush your enemies totally?"
 
Mwenyekiti wa Chadema ameendeleza tabia ya kujikita katika nafasi yake kwa kuwatoa nje ya ulingo watu wanaonekana ni kikwazo kwake katika jitihada zake za kung'ang'ania madaraka kwa lengo la kufisadi fedha za chama kupitia tenda zisizo na ushindani. Mbowe anatumia timu ya kufisadi chama yenye wajumbe watatu (Mbowe, Dr. Slaa na Komu) waliojipa mamlaka ya manunuzi ndani ya chama pasipo kuhojiwa na mtu yeyote. Ili kufanikisha malengo yao imekuwa ni lazima kuwatimua Zito na Dr. Kitila Mkumbo huku wakirundikiwa lawama zilizoundwa kwa misingi ya kuwapoteza kabisa katika siasa za Chadema. Mbowe na timu yake wamekuwa ni vipofu wa kutotambua wakati hawapi nafasi wao kuendesha siasa za maji machafu, huku wakishindwa kuweka mikakati ya kushinda uchaguzi wa mwakani. Chadema kimekuwa ni chama cha kikanda kinachojali maslahi ya watu wachache ambao ni wateule kutoka kanda fulani. Dalili ni tosha Chadema yaelekea kupotea machoni mwa watanzania kwa speed kubwa
 
F.........k!
 
------ hana tym nae tena mda ushaisha hao wanaokuja wagange nae na wAo,,,
 
Zito ni MSALITI adui wa ukombozi wa hii nchi....aliyedhani ni mkubwa KULIKO CHAMA.....hasa baada ya KUPOTEZA nidhamu ya kisiasa...na KUVIMBISHWA kichwa na CCM
 
Mwaka huu magamba mtavaa chupi vichwani! Maamuzi ya CDM yamewakatisha tamaa!!! Viva CDM!!!!!!!!
 

Indeed a smarter action, however we crash our enemy pschologically and not physically! I like that.....!
 
Baba mjengoni hana shida nae tena coz hahitaj uongozi tena so akienda magambani atatelekezwa 7bu kuna foleni toka kifo cha mealimu watu wanangojeagga2
 
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.

Mbona una kiherehere kama mtu anayekunwa mata.ko?
 
Ni kwa nini nyie magamba mnalia na kujigalagaza wakati msiba ni wa Chadema? Kuna nini nyuma ya pazia?
 
----zS9x6LPyOPQYtMq2Xo85xDhmsGHNq4KZ7o2kXDGkn1UFJjvEWERNMVdUxsLrBrzf6FfRGE0jaOgigbsBqvO/tSwaKsrKc07GwkAmWQjunpoPRbOKq2cscqnNxSMFUfaJjrmOhndDK06aNLf8AZR4Zj09TKM0ZBJ1KpcRw2WnkLiQ4eW6s+H4znaLEFZTjBI6cUpqWqN7grHVFiWkk/RbXB8MIs599EfBlFEcHjkfE3OSdbLRsjawWaFmuNOffwZcnnPvGiOKFrRYNClyC1kaS7YYMcVVHl237OaemZKLOAt6KkxPhuCqicA0Zuq0iEgLLJxIPtGsM04emeWV+BVLbhkbRk0+S4BhElryM+a9VFK0yvc7UHkVFVUUDmata0c15koShZ6Eeam/2R5gMEztIDbBQPwHXwr0psWHxHvPYUuyw6Q3aWn5LHySRr+TD6PJYMJgEkvw4lEk5zPGQWJ8uimPC+fCHUb5YoYPxSxgOuTpqp8PiA7wkYLWAIgC76RlOI889TUy6m2V3dPkRqu3eX2auMfoq5eD6SeWkmz0bo4HEvjA+80sqis4Zw+mqKueqggFO5rRGL2yW3O62skkMMIENCBGerr/0WN40dC7AqpzIwx5sNGnr1VwyTbqyJQjGF0VmEHBaJzXsfT9q0ZXuLrh3yKuYq7DHWvUU46d4LzRuobe2ijdYuN9V1y4+3ycUeXXwex0eKYdDYtrKe4/eC7ZsbpZ6SaFlXDeRhb4wvEQB0RiwGwWf4qNvzbVUeo0WAU0cIfTV0PbNF2XeD3vML1HhilosOwyJj6unfI4Bz+80Wd7r5ha6x2XTHKQPEfdV46MJzc1quj60FXTHaphPpIEYnhP+bGR/EF8ow1L2m4kcPRxVhDis8Y+/k/nK33ow/H/s+nZKiFrTeaMfmCxdYyKWrkkD4i4u7vfC8bdi0z95XH1cVC6qc7XO6/kSsMqeSjpwXhbaZ75w/DkmdLNI1ltAA8aq4+LIkDMzOzHicXjZfM5rJxtNIPR5QHEKm1jUSn85SWJpUmRkj5JbNn0JjuKQiJ0bZWH0cFk211PDJnMjcxP4gvIn1UrybyOP5iuZ0z7+J3uVH47+zoxZlijqkfQ0PGEENOGPLXOA0OYLKcQ8Qiue92doJ03C8fM0n/cd7oHPcf2ne6vxSapsmOXHBtxj2a+qdE57nFwLjzupqExskYW291hXOf8Ajd7oc7hs9w/MUeAS5NO6PpXhDH6ZuGx00jg1zb897la6GdkzbsII9V8fConb4Z5h6SEKVmK4jGO5iFY30neP6rSEJR6s5sqhOVo+wC9o3IHqVG6qgbvNGPzBfJBxjEneLEax3rO7+6jOJ1h3q5//AKu/uttjJY19n1ZU8RYVSgmauhFuQdcqnq/tBwKnvllfL/C1fMrqyc7zSfzlQunlO8r/AOYqbkytMa9nv9f9q9JGD8PRPceWZ4F1mMU+1jEpgW09LTRN6kl39l5GXv8Axuv6oHOcf2j7rF8ZN9l7wj6Ru6vj7HKg2NWyMf8AjiA/3urTCPtJxugpexY6nmF75pmXd9CF5fmPUpZ3jZ7vdH48SnntUz0eMCJua7iLc1PBUiQFjHPYRa4zAixVKatrRZzgRbVcb8SfBIwxNsM4Og3F1zLG2d7yUa4zANIa9zXD9rPf6Ki4rnY/B5W6l2Zvev5q/g4pw4QNdNHGxxHhFKCT7LKcX11NPTv+Gmid2kw7rG5SBqdR8k8UHsPO0sfsyocRpdOCgCIL0TxwwUYKjCcFKikyVpUocoAUQclRVk4kIUglXJdEHIoakdYkUjJT1XGHIg9DQ9jre+6ic7Qm6HPohJRQbEhdldZA6yCR5c/XokSig2GJQ30SKEkBFEtjOQlPcFM71ToVjIXJ0D0UJsK6G6a6YooVj3QkpFMU0Kx0JSukUCGSSTJiO0VTtbu38lMyrZbvOf8AJqi+HPl7JGHyCypHTtI6XV0AaLPlvy7gVZM4Pmc4a33K6uyuNQkIGj/hNUvQpXLpnH8inB8l2inai+GbbZPZEeM4blFddgpGHTVSNw9rtLuQ5opYWV90QKs2YRm2JUzcBc7YqPJErxSKi6WZXbeGp3eF3uiPCleR3W3Hkjyw+yvBP6KMOT57Kzl4bxCPeMn5Lnfg9YzeJ3sn5I/ZLwzXwc7ZE5ej/R9U3/Jd7IX01Q3eMhPdE6SXwBm1T5kBZINS2yAuNk7QUyTNcn0QG51QZiEsxsmSwgdUJJKG5umumTYYKTjoo7pi49UCskuhuhJTEoEHdNvsgukHGyYWOklGMz2gnQlIizjba+iBWJNok/QJggRY/Efuj3RCbqAq+5RZrKaNbO4VDeiL4gdFX5z1RBxRQ9iwbP6FSCcfhCrQ49VIHEc1NFKRZRzNJ2C7Iiw8tVURv6ldsEguNQspI3i2y7pgy47vurqjijfplCz9HJ3x6q7o5CNdbE29FzSOmBo6Oia4NIbcbFWcOGsP7DhfYh+v0VPQVTyzs7vs47qxgOfMwSubZtxmBBPWyxZ1r0SVWHZm3v3QdCef0VVLQRNcc1x6Af3XdLXgRuMj82xGozW6/RcUlfFNZ7QzMNw4HUdUJsfXyc8tHCRZshv5tCr6mhaBYuY6/wCJqsZq2Fo1DQfJyhe8vGdkZtzuNAqTZLSM/U0MYveNh9FVVFDCPCxoKv6yZ2ps23UKqnkjPr1W0ZM5pxRUy0DN8q45KIC9hZXEjmfi9lySubyW0ZMwcEVT6YjZROhIVi9wUTnM5rVSMXBHAYymMZXWcvRCQnZk8ZyFpQlpXWWjohLB0TsnQ5SErKctHRCWjoqslxIdUr6KQsA5oLJ2TQxJO6a5RWTEIEw7p0KJIsSe6ZIboGSBGCowjZupZSJ4iBqT9F2UzwTtf1C5oNwu2DZZSOiB30rwcug3VzA9lyCXABwVLT7N/iWhw/wT/wAH9QuaZ0xLehif2pcxpjDDmIcbG3zVy6rpo+zcJ4g212k65T0tssjL/iv/AFrYYF9zReqwfs616J5jQT08Lu2jlL7lpa0WYeY1vuqWrjjzNfDTFu4u7MAD8tLK2l8M/wDqf3TYF/h6z/VH9UDgrVlG2Z0cedsrI5LWLGNGnuNVX1DJnEuvIb6/rGCw9uS0ON/f/IKhpfuz+ZUDRU1UEgsGvDuvcyhVc0JG9j87q9r/AL9qqZ/vCtInPJFc/QW19lzvKsnrgqfvHLZGMjkeoS49FM9R8lqjFkaV053QqkQIlC4nonKdyCSNAbo0LlRDIymKcpiqRmxrpkkkxH//2Q==

Moto huo mkali kweli kweli!!
 
Kwanza nampongeza sana Mbowe na Kamati kuu ya CDM kwa kutembea katika kuali zao kuwa CDM ni zaidi ya mwanachama yeyote au kiongozi yeyote ndani ya chama. Pia uamuzi wa leo unadhihirisha kuwa CDM ni ya watanzania siyo kiongozi fulani.

Kwa kigezo cha maamuzi ya kamati kuu jana, mnasitahili kuliongoza taifa hili kwani hakuna chama kinachoweza kufanya uamuzi kama huo Tanzania hii.

Kwapamoja tumeijenga CDM hatukubali ife kwasababu ya watu kuhongwa ili kuvuruga chama chetu.


December 6 2013 ninaanza M4C kuanzia kijijini kwangu mpaka nipate wanachama zaidi ya miamoja ndo nitaacha na kufanya tathimini.
 
Mwaka huu magamba mtavaa chupi vichwani. Maamuzi ya CDM yamewakatisha tamaa!!!! Viva CDM!!
 
akienda kuna folen kama ya kutoka fire mpaka ubungo mataa aje afike ni miaka zaidi ya karne tangu tanganyika ipate uhuru na akibaki ni sawa na kuosha kanzu na mkaa ukitegemea itangaa
 
Hii nyumba iitwayo CHADEMA. Ni dhahiri sasa inaungua na iko katika moto mkali.
Jamaa zetu hawa ambao ni watani zetu wa kisiasa, inaelekea wataingia 2015 wakiwa na majivu ya mbao za nyumba yao.

Kisa, mwenye nyumbahawataki wapangaji toka kwingineko nchini, na sasa kiberiti ndo kisha tupwa ndani ya nyumba na mwenye nyumba, watoke au watoswe.

Jamani ploti hiyo!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…