Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Zito amevuliwa uongozi kwa sababu ya kutaka kugombea uenyekiti wa chadema
 
Said arf anasema amemua kujiuzulu umakam mwenyekiti kwa sababu maamuzi na uchaguzi wa viongozi yanafanywa na mtei kutokea tengeru
 
Furaha yenu ni kuona CHADEMA inakufa, mmeshindwa kabisa kumdhibiti MBOWE asifanye chama kuwa mali yake badala yake mnaendelea kutumika tu, kamati kuu gani mlio na imani nayo? MBOWE, SLAA na LISSU ndo kamati kuu?

Ndugu si ufurahi kimya kimya maana yametimia maono yenu kuwa CDM itakufa kabla ya uchaguzi 2015,Sasa mbona unalialia mwenyewe kama unapelekewa from.....??? tehe tehe tehe tehe.
 
KNCU Mnajifanya mmewasimamisha akina KITILA kana kwamba ni wasaliti kumbe sababu ni itikadi za kidini na ukabila unaoitafuna CHADEMA.

Dk Kitila Mkumbo ni mkristo mzuri sana, pia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha ni mkristo, una hoja nyingine.
 
Hakika Chadema ni chama dume. Ongeraa baba mwenye nyumba kwa kutoa maamuzi. Huu ni ushindi wa demokrasia.
 
Vijana Mbeya tunaandaa maandamano ya kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu, CDM ndo mkombozi wetu sisi vijana hatutakubali kife kwa tamaa za watu wachache kama zitto
 
safi sana,Arusha ni furaha tupu,Chadema ndiyo inaingia another level!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Vijana Mbeya tunaandaa maandamano ya kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu, CDM ndo mkombozi wetu sisi vijana hatutakubali kife kwa tamaa za watu wachache kama zitto

Acha kutusemea wewe umekuwa msemaji wetu hayo ni mawazo yako
 
Ni kosa kubwa sana lilofanywa na Zitto na wenzake la usaliti na kuhujumu chama, lakini litakuwa kosa zaidi kwa CDM kukubali msamaha wa hawa jamaa (kama wakiomba) na kuwarudisha kundini, hata kama uanachama wa kawaida tu. Sababu ni kwamba, kwa mujibu wa ripoti iliyowahukumu na ile ripoti ya ZZK kuhongwa na CCM (kama kweli) kuhujumu na kuua kabisa chama kwa kuonesha jinsi ZZK alivyosuka mtandao wa kutekeleza uasi wao, basi hataweza kuwa na moyo wa dhati wa kutumikia chama (ukizingatia kaumbuka) zaidi atataka na yeye alipize from within, ili aue kabisa chama hiki kilichobeba matumaini positive ya watanzania walio wengi.

SOLUTION NI KUFUKUZWA KABISA, NO DISCUSSION.

am done!!!
 
Wakuu JF Amani iwe nanyi.

Nipende ku sema tu kwa kifupi kuwa Maamuzi ya kamati kuu kuwavua Madaraka yote akina MM and team ni ushindi tosha na ni kilio Magambani.
Ushahidi wa hili ni utitiri wa wana Magamba ambao kimsingi walikuwa wananufaika sana na nafasi ya MM ndani ya chama kuja hapa JF na kwenye media nyingine kumtetea MM and Team
Ni vigumu sana kwa MM na team yake kwa sasa kutetekeleza mipango yao michafu dhidi ya CHADEMA wakiwa bench.
Tuwapuuze wale wana Magamba wote wanaokuja na hoja za kumtukuza MM.
Kama kwao ni hero basi na wamsajili kwenye team yao sisi hatumtaki.

Yaani wanavyofanya ni sawa na Waislam kushinikiza kuwachagulia wakatoliki Papa.
CHADEMA ni mpango wa Mungu.
CHADEMA ni kama Bahari...haikai na uchafu hata siku moja.
 
Uzi kama gazeti ndani hamna kitu. Habari zitapatikana hata bila huyo uliyemtaja.
Dada mkumbusha kamanda Zito ile kesi ya kuwashitaki kwa kishindo waliotoa waraka wa siri imeishia wapi jamani? Bado tunaisubiri. Msisitizieni lazima tuwatie adabu hawa jamaa au unaonaje dada?
 
Kaka na wananchi tunataka chama chenye kuweza kufanya maamuzi magumu kma CHADEMA, wangapi wametuhumiwa CCM na wapo humo humo??? CHADEMA kinasonga mbele MUNGU UIBARIKI CHADEMA. CCM ni wachafu sana wakisaidiwa na vyombo vya dola
 


Huu siyo ushindi wa CHADEMA ni makosa makubwa tukisema hivi huu ni ushindi wa WATANZANIA WOTE WANYONGE
 
Tumewaelewa na Tunawaamini MUNGU awatangulie kwa kila jambo, na zaidi mpango wa Mungu ukatimie.
 
Mimi nasubiri kauli na msimamo wa zito na kitila hapo ndio nitahukumu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…