Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Unachelewa kuitupa hio kadi, maana sioni haja ya wewe kutaka urudishe kwani hata ulipoichukua hukutushirikisha. Iweje kwenye kurudisha utake tushiriki??
Chadema hatuabudu mtu,we nenda tena usikawie maana ulikuwa kenge katika msafara wa mamba.

Weka picha mkuu.
 
We umeingia CHADEMA 2009 Zitto kitambo hicho!

Hata Chris Lukosi alikuwa CHADEMA na akaondoka,

Chuki zitawaua
 
...maeskarioti wote wanadamu ya ccm,na waende hukohuko waka gawane chama chao kwenye mbio za urais..
 

Japo sijasoma ulichoandika, kifupi ni mimi sina kadi, lakini wakati wa kupiga kura, mpaka mwenyekiti wa kitongoji nitatiki CDM tu.
 

Kalale mahali pema Dada..kumbe ulipenda mtu! Siyo chama... Kapumzike kwa amani sister wangu.
 
Mkuu Shardcole punguza hasira. By the way, next weekend ninakuja tabora ntakutafuta tutaongea mengi kuhusu siasa.
 
Last edited by a moderator:
Naona sasa hivi hata mtu akikorofishana na mkewake,au mpangaji mwenzake au kaamka hana hela basi hasira zote anazimalizia kwa Zito duh!

Salutikuruti tii!
 
We umeingia CHADEMA 2009 Zitto kitambo hicho!

Hata Chris Lukosi alikuwa CHADEMA na akaondoka,

Chuki zitawaua

hata kama alijiunga na CHADEMA mwaka gani, je ndio ticket ya kufanya usaliti na uhaini ? Msigwa alisema" Zitto ni sawa na Mama mjamzito anayevumilia kubeba mimba kipindi chote cha miez 9 lakin baada ya kumzaa anaua mtoto, hivyo dawa ya huyo mama ni kushika na kuweka ndani tu"
 
Mbulula wewe, unayasema hayo ukiwa umekula tumbaku au ugolo. CDM tatizo ni ubinafsi na njaa ya madaraka kuanzia kwa MBOWE kushuka chini.
Tatizo wote wanaoiponda chadema ni wale wenye njaa kama huyu ----- mnyamiwono hujui unachokiongea ila tatizo maccm njaa inawasumbua
 



Shardcole

Lazima utakuwa juha na akili zako za elimu ya mulugu

Swali kama zito atakufa utaenda nae kaburini? maana chama ni sera je upoteyari kujinyonga kumfuata akifa kwa mfano?

 
Atakaporudisha mwenzio na ww rudisha.nahisi unachelewa kutuambia cha ajabu mbona wakati unaichukua hukutualika?
 

Hujui ulisemalo na utakalolitenda, you are easily grasped!
 
Mkuu Shardcole punguza hasira. By the way, next weekend ninakuja tabora ntakutafuta tutaongea mengi kuhusu siasa.


Mtaongea nini zaid ya ujinga, ulishawahi kuonawapi mwanasiasa makini ananza na uchaguzi wa mtu badala ya sera za chama?

Ni wapumba.vu tu na wajinga wasiojitambuwa kwao mtu ni namba moja yaani umasikini wa maono na kuelimika huwafanya wasijuwe maana ya siasa makini-Sera.
 
Kalale mahali pema Dada..kumbe ulipenda mtu! Siyo chama... Kapumzike kwa amani sister wangu.

Div 5 ziliwekwa kwa ajili ya watu kama ninyi ambao hampendi kushugulisha akili zenu msome na kuelewa kitu.
 
ludisha hiyo kadi.kawaambie nawenzako wote mnao fikiri zittto ataondoka cdm.
 
Shardcole

Lazima utakuwa juha na akili zako za elimu ya mulugu

Swali kama zito atakufa utaenda nae kaburini? maana chama ni sera je upoteyari kujinyonga kumfuata akifa kwa mfano?


Shardcole pole sana maana Leo umeandika jambo jema lakini unaambulia mitusi toka kwa wanachama na wapenzi wa CDM! Pole sana Kwao kila mtu ni msaliti isipokuwa Dr Slaa!

Hata Mbowe aliwahi tukanwa wazi wazi humu kisa kumsifia JK
 

Nenda kaseme hayo mambo Kigoma uone utakachopata, muulize Dr. Slaa
 
Atakaporudisha mwenzio na ww rudisha.nahisi unachelewa kutuambia cha ajabu mbona wakati unaichukua hukutualika?

Na ww pia div5 inakuhusu kwani huna tofauti na vijana wa Lumumba buku7.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…