Ufafanuzi wa Diamond kuhusu kilichotokea jana uwanja wa ndege Mwanza

Hii maswala ya kuogopa kukosoa watumishi wa serikali wakikosea ni tabia ya kipuuzi na inalea uozo.
Walichofanya hao wafanyakazi wa ATCL hakikubaliki na ni makosa makubwa.
Na hapo Diamond kapambanaje na JPM?
Una maana JPM ndio anawatuma wafanye huo upuuzi wa hapo airport?
Au una lako jingine nyuma ya pazia ndugu yangu?
 
Sifa zikizidi mambo yanaharibika. Sababu alizotoa hazina mashiko. Wahusika wametoa tamko lao.

Dai ajiweke kistaa zaidi na busara badala jazba,jeuri etc. Mlezi wa WCB utawala wake unaishia dar tu
Ni mara ngapi unaisikia serikali inaomba msamaha?
 
Tamko wameshatoa,na kusema mond alichelewa
Wametoa lakini bado lina hang, huwezi sema ndege umechelewa, dirisha la huduma limefungwa, alafu baadaye Kuna staff wa Air Tanzania anamfuata Diamond anamwambia Kuna nafasi mbili zipo wazi unazani ina make sense, wawe wa kweli tu.
 
kumbe hapo Diamond anabattle na Magufuli!
 

This is one sign of patriotism !
Waiting those called line of complaint is waste of time and resource!. What matters is those employee involved in this saga to be treated inline to Company disciplinary code!
 
He should spend more time with hid sick entranged father
 
ATC wanaleta utetezi wa kitoto ya NILIENDA NIKAMKUTA HAYUPO. Mnasema Mondi kachelewa dirisha limefungwa, lakini bado kuna staff wa Air Tanzania anamfuata Diamond anamwambia Kuna nafasi mbili zipo,sasa hapo utasemaje Diamond kachelewa na wakati alisha book tickets zake mapema yaani huu utetezi wa kitoto.

Yaani taasisi nyingi za serikali zipo shallow upande wa customer care, sijui kwa nini, ukienda Tanesco bibi mkubwa miezi sita anafuatilia kuwekewa umeme, mpaka watu wamembwatukia meneja wa Ubungo ndio wakaanza kuweka hizo mita .
 
Hata maelezo ya dai yamejichanganya mara tiketi wanazo, mara kuna watu wameuziwa wakiwepo wasafi (hapa wana tiketi halafu wakaenda kununua nyingine aiseee)mara kuna nafasi za watu wawili. Soma hapo kwa dai utaelewa tatizo alizoea watu kumpa nafuu kisa ustaa. Staa mkubwa hakumbwi na kadhia hii,hio kazi ya mameneja anao zunguka nao kila kona. Kuna tatizo kwenye menejimenti ya dai.

All in all hii sio sakata la kwanza kwa wasafi hata harmo ilishamtokea hii sema ikapotezewa(hakurekodi),alichelewa mwenyewe
Wametoa lakini bado lina hang, huwezi sema ndege umechelewa, dirisha la huduma limefungwa, alafu baadaye Kuna staff wa Air Tanzania anamfuata Diamond anamwambia Kuna nafasi mbili zipo wazi unazani ina make sense, wawe wa kweli tu.
 
Maelezo ya Diamond yapo straight forward na kayapangilia katika mtiririko, labda kama wewe hutaki kuelewa huwezi sema Diamond kachelewa na dirisha limefungwa, alafu baadaye Kuna staff anamfuata Diamond anamwambia Kuna nafasi mbili, sasa hapo Diamond kachelewa wapi? Sawa dirisha limefungwa hizo tickets kama angenunua wange ziprocess vipi.
 
Hakuna kitu kinakera kama. Mpo kwenye Tukio la maana alafu kuna Mtu ana ki TECNO.. Alafu ndio ana KIHEREHERE CHA KUPIGA PICHA KILA SAA.. Hapo wenye IPhone X unakuta tumekausha tu.
Kama iPhoneX ni kipimo cha akili Basi BABA yako Akuwai kuwa Na akili ata 1kg
 
Una ushahidi wa kufatwa na staff? Mie simuamini dai kama wewe usivyowaamini wahusika wa airport. Hakufatwa mtu story za kutunga hizo. Halafu muda wote huo mameneja hata kumsaidia msanii wao hakuna aiseee
 
Je hizo tiketi wslishazilipia? Nijuacho zinazouzwa ni zile ambazo hazikulipiwa nali zilifanyiwa booking.
 
Una ushahidi wa kufatwa na staff? Mie simuamini dai kama wewe usivyowaamini wahusika wa airport. Hakufatwa mtu story za kutunga hizo. Halafu muda wote huo mameneja hata kumsaidia msanii wao hakuna aiseee
Wewe ushasema huwezi muamini ,ila mimi taasisi za serikali siwezi ziamini hata kidogo sababu nazijua.Wewe umejuaje kama meneja hajatimiza wajibu wake,hujawahi kusoteshwa wewe kataika maisha yako na hizi taasisi za serikali .
 
Sababu umeshaitaja hapo juu si ya bi mkubwa na umeme wa tanesco ee. Mond ana hela juzi tu kadisplay mabunda(mkaanza mlinganisha na bondia tajiri) si angekodi chopa kuondoa usumbufu jamani

Meneja hawajatimiza wajibu wao la sivyo jamaa asingelia lia mitandaoni
Wewe ushasema huwezi muamini ,ila mimi taasisi za serikali siwezi ziamini hata kidogo sababu nazijua.Wewe umejuaje kama meneja hajatimiza wajibu wake,hujawahi kusoteshwa wewe kataika maisha yako na hizi taasisi za serikali .
 

Wewe mdadangaji wa jf panda ndege kwanza ndio uje kuchonga mdomo wako mchafu kama mnduku wako.
 
Mbona unahamisha magoli haya mabunda yametokea wapi,mimi sijui na sijawahi kumfananisha mtu na huyo bondia unayemtaja wewe,kwa hiyo kulia kwake wewe ndio umecoclude meneja hajafanya kazi yake? na si uzembe wa ATC.Ila siwezi kukulaumu wewe ni mfano wa watz ambao hawapendi kuchallenge hizi taasisi za serikali na ndio maana kila siku taasisi zetu zipo hovyo,sababu hamna mtu anaye zichallenge na akitokea mtu anaonekana mkorofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…