Hivi wewe na Mange mlichukuliana bwana na Domo?Sababu umeshaitaja hapo juu si ya bi mkubwa na umeme wa tanesco ee. Mond ana hela juzi tu kadisplay mabunda(mkaanza mlinganisha na bondia tajiri) si angekodi chopa kuondoa usumbufu jamani
Meneja hawajatimiza wajibu wao la sivyo jamaa asingelia lia mitandaoni
Kwaio mwenye iphone X akipiga simu kwa mtu anaetumia Tecno salio halikatwi au?Hakuna kitu kinakera kama. Mpo kwenye Tukio la maana alafu kuna Mtu ana ki TECNO.. Alafu ndio ana KIHEREHERE CHA KUPIGA PICHA KILA SAA.. Hapo wenye IPhone X unakuta tumekausha tu.
Nasikiaga huyo mnaebishana nae huwa anasumbuliwa na stress za ungumbaKwaio mwenye iphone X akipiga simu kwa mtu anaetumia Tecno salio halikatwi au?
Taasisi zetu hazina ufanisi kwenye kazi zao sijui nini tatizoHata maelezo ya dai yamejichanganya mara tiketi wanazo, mara kuna watu wameuziwa wakiwepo wasafi (hapa wana tiketi halafu wakaenda kununua nyingine aiseee)mara kuna nafasi za watu wawili. Soma hapo kwa dai utaelewa tatizo alizoea watu kumpa nafuu kisa ustaa. Staa mkubwa hakumbwi na kadhia hii,hio kazi ya mameneja anao zunguka nao kila kona. Kuna tatizo kwenye menejimenti ya dai.
All in all hii sio sakata la kwanza kwa wasafi hata harmo ilishamtokea hii sema ikapotezewa(hakurekodi),alichelewa mwenyewe
Mtu akichelewa ndege tiketi yake inauzwa???
Sababu umeshaitaja hapo juu si ya bi mkubwa na umeme wa tanesco ee. Mond ana hela juzi tu kadisplay mabunda(mkaanza mlinganisha na bondia tajiri) si angekodi chopa kuondoa usumbufu jamani
Meneja hawajatimiza wajibu wao la sivyo jamaa asingelia lia mitandaoni
we ndo mpuuzi sana,unajua alikua na crew ya watu wangapi? unajua gharama ya kuwalaza hotel na chakula? unajua ameharibiwa ratiba yake kiasi gani? ndio maana kaandika na kusisitoliza "akiwa na akili timamu" this dude ana exposure ya mambo ya ndege kuliko wewe na ukoo wako wote ye sio.mjinga mpk areact kias kile coz anajua jinsi gan angeingia hasara kwa kusitishiwa ratiba yake ya safari....WTF you boy talking....!!!Kijana sikio linataka kuzidi kichwa. Nimesoma hiyo article yake anahaki ya kulalamika ila nafikiri angeenda mbali kwa kufikiri zaidi namna gani au utaratibu unaofaa, isipokuwa yeye amefanya personal attack"... next time itaweza kusababisha vurugu... watch out mdogo wangu
Achana nae huyo atakupotezea muda na nguvu,she is a piece of garbage...Maelezo ya Diamond yapo straight forward na kayapangilia katika mtiririko, labda kama wewe hutaki kuelewa huwezi sema Diamond kachelewa na dirisha limefungwa, alafu baadaye Kuna staff anamfuata Diamond anamwambia Kuna nafasi mbili, sasa hapo Diamond kachelewa wapi? Sawa dirisha limefungwa hizo tickets kama angenunua wange ziprocess vipi.
Kwani unateseka?
Achana nae huyo atakupotezea muda na nguvu,she is a piece of garbage...
we ndo mpuuzi sana,unajua alikua na crew ya watu wangapi? unajua gharama ya kuwalaza hotel na chakula? unajua ameharibiwa ratiba yake kiasi gani? ndio maana kaandika na kusisitoliza "akiwa na akili timamu" this dude ana exposure ya mambo ya ndege kuliko wewe na ukoo wako wote ye sio.mjinga mpk areact kias kile coz anajua jinsi gan angeingia hasara kwa kusitishiwa ratiba yake ya safari....WTF you boy talking....!!!
Kula tano kaka👊Wewe mdadangaji wa jf panda ndege kwanza ndio uje kuchonga mdomo wako mchafu kama mnduku wako.
Kwaio mwenye iphone X akipiga simu kwa mtu anaetumia Tecno salio halikatwi au?
Hivi wewe na Mange mlichukuliana bwana na Domo?
Wewe mdadangaji wa jf panda ndege kwanza ndio uje kuchonga mdomo wako mchafu kama mnduku wako.
Booking siyo ticket, huwezi kucheck in na booking print out.Je hizo tiketi wslishazilipia? Nijuacho zinazouzwa ni zile ambazo hazikulipiwa nali zilifanyiwa booking.
Ok.Booking siyo ticket, huwezi kucheck in na booking print out.
Kwani Diamond hana private jet?Lack of education , lack of integrity . Diamond Platnum has to be more prudent concerning mambo ya serikali, I have been watching lately , amekua akijifanya mdomo mdomo simply because of his tittle . He has to watch out , he is too young n soft to battle with Jmagufuli
Even though he has encountered such problem at the airport , he was supposed to send the complaints kwa wahusika by writing emails , wangempuuza ndo angekua na haki ya kuongea in public , hyo management yake fucken stupid .
In the country where the level of smartness and civilization among public workers is “less”, you don’t have to be too nice and soft....use another alternative to make things move. What he did is massive and changes will come in this company....kama umewahi kutumia Airports za bongo na kuona wanavyofanya kazi compared na nchi zingine it’s obvious these guys are less serious