Ufafanuzi wa Diamond kuhusu kilichotokea jana uwanja wa ndege Mwanza

Mbona umeandika kichuki chuki Mkuu? Mimi nadhani alichofanya ni sahihi hasa kwa kuzingatia tabia ya baadhi ya watendaji wa taasisi zetu za uma.
 
Afrika hakuna changes za maana zitakazotokea,fastjet imedondoka watu wanachekelea bila kufahamu madhara yake makubwa,upigaji wa tiketi utakua kiwango cha juu. All in all dai alikosea,kwenye ukweli aambiwe
Hata mimi nimefurahi ili wote tupande punda awamu hii
 
@warumi you are definitely wrong, mara ngapi shirika hilo limepewa malalamiko, kuhusu nidhamu mbovu ya wahudumu. Kama ingekuwa walalamikaji wanachukulia hatua hayo matatizo, basi yasingeliendelea.

Hii inaonesha ni namna gani malalamiko yanawafikia hao wenye kuyafanya ndiyo maana hakuna suluhu yeyote inayochukuliwa. Yaani kesi ya nyani, imeshtakiwa kwa Nyani mwingine mara kadhaa bila kutatuliwa.

Hii ni risk kwao na akili zitawakaa sawa, watambue wapo kisa uwepo wa mteja. Hivyo nidhamu kwa mteja ndiyo kila kitu
 
Ok.
Kama walichelewa hazikutakiwa kuuzwa bali ndege ingeondoka na empty seats ambazo zilishalipiwa.
Unapoona kuna Watanzania wanaishi Ulaya na Marekani wana sababu nyingi za msingi za kuichukia nchi hii.

Nchi za wenzetu hakuna ubabaishaji kama huu.
 
I agree with you... sometimes barbarous actions need barbarous reactions but in this case simply NO! What was the point of shouting while recording the video! Angeweza kukaa kimya halafu baade akapost kwenye Internet issue nzima ilivyokuwa. Kwa namana hii angeonekana ni mtu anayejijua zaidi kuliko alivyofanya kama yuko kwenye vilabu vya wanzuki.
 
konki masta anakutafuta habari zako anazo.
 
Draw ya Uefa umeiona?
 
Ok.
Kama walichelewa hazikutakiwa kuuzwa bali ndege ingeondoka na empty seats ambazo zilishalipiwa.
Bwana almasi ameeleza vizuri tu kwamba hawakuchelewa ila ticket zao ziliuzwa kinyume na taratibu labda kutokana na usafiri wa ndege kuwa issue baada ya fastjet kula kona
 
Kuna sehemu hapo inasema kapiga simu?
Kwa jinsi ulivyosifia kwamba wenye Iphone X mmetulia ila wenye Tecno wanapiga piga sana picha, ni kiasi kwamba hio Iphone X ina u special sana kuliko simu zingine ndipo nikapata uliza swali hilo...
 
kwamba kampuni KUBWA na CHANGA kama ile!!!
 
Kumbe una tecno pole,ila dont panic ee simu ni simu
Kwa jinsi ulivyosifia kwamba wenye Iphone X mmetulia ila wenye Tecno wanapiga piga sana picha, ni kiasi kwamba hio Iphone X ina u special sana kuliko simu zingine ndipo nikapata uliza swali hilo...
 
Kumbe una tecno pole,ila dont panic ee simu ni simu
Wewe unayo hio iphone X mkuu? Mimi situmii Tecno kama u mzoefu na simu unaweza ona hio UI ni ya simu ya aina gani
 

Attachments

  • Screenshot_20181217-204523_Samsung Experience Home.jpg
    63.5 KB · Views: 19
Huyo dogo bado uchokoraa ha haujamuisha. Mashamba japo anaweza dhani ni mjanja.
 
Hawajui kama unaeza kutumia gitaa lako kuharibu au kutengeneza shirika hili.. wanamziki ni sumu anachosema kinaaminika sana
Hawezi, badala yake serikali inaweza kumshusha to zero ndani ya sekunde. Ni mjinga tu anayeweza kupambana na serikali
 
Oi rudisha simu ya watu dah kisa tecno umeenda azima uje uringishie
Wewe unayo hio iphone X mkuu? Mimi situmii Tecno kama u mzoefu na simu unaweza ona hio UI ni ya simu ya aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…