Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

But angalau yeye hakuwa mlafi na alikuwa na maono makubwa
Na sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.

Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Mission kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.

Leo mtu anatukana mamba baada ya kuvuka mto.

Lissu angekuwa ana lima vitunguu Singida leo.
 
Baada ya Nyerere wamepita marais watano (5), kuendelea kumlaumu yeye peke yake kana kwamba aliwafunga mikono kurekebisha makosa yake ni ujinga tu.

Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
 
Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
 
Kama Mbowe alivyo dictator
Let us go scientifically, does Mbowe have any of these characters?

10 Ways to Tell if Your President Is a Dictator

1. Systematic efforts to intimidate the media.
2. Building an official pro-government media network
3. Politicizing the civil service, military, National Guard, or the domestic security agencies.
4. Using government surveillance against domestic political opponents.
5. Using state power to reward corporate backers and punish opponents.
6. Stacking the Supreme Court.
7. Enforcing the law for only one side.
8. Really rigging the system.
9. Fearmongering.
10. Demonizing the opposition.
By Stephen Walt
 
Hata kama alikuwa Dikteta aliwakomboa waafrica wengi kusini mwa Africa! na Africa! kuliko Baba yako Mobutu mla Bata!....hata hivo Lisu anajeuri leo sababu alisoma bure!! msingi mpaka chuo kikuu! anyamaze tu!

Hao wakoloni walio mtuma anaishi nao kwao mbona walituchapa viboko/wakatuuza kama mbuzi wa kafara/ wanatupiga pin madini yetu na ukoloni Mambo leo lkn mbona hana jeuri ya kuwasema? Na hamsemi.

Miafrica inatafuta kick kwa kusemana yenyewe kwa yenyewe ili yapate safari tu ya kwenda Ulaya na kuishi!
 
Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
Stop that, we were a protectorate not a colony. We were destined for independence once we are capable of managing our own affairs!
 
Na sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.
Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Missiin kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.
Leo mtu aatukana mamba baada ya kuvuka to.
Lissu angekuwa ana lima vitynguu Singida leo.
akili ndogo ya utumwa, why alime vitunguu?
 
Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu!

Sikiliza kwa makini:
Kama unategemea kila kitu kuhusiana na siasa akichambue lissu Ili ujue uzuri na ubaya wake basi unaakili ndogo sana na by the way Nyerere alikuwa Kiongozi bora kabisa tuliyepata kuwa naye.
 
Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu!

Sikiliza kwa makini:
Acha kushiriki kusambaza ujinga! Lissu hana hata chembe ya akili ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. # Basi si mumheshimu Mwalimu kwa kujenga taifa moja la Tanzania!🙏🙏🙏
 
Acha kushiriki kusambaza ujinga! Lissu hana hata chembe ya akili ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. # Basi si mumheshimu Mwalimu kwa kujenga taifa moja la Tanzania!🙏🙏🙏
akili ya kufugwa
 
Back
Top Bottom