Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Hadi unakufa hutaona machafuko unayoyatamani.Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.