Nyie mafisadi ndio mnamheshimu NyerereAcha kushiriki kusambaza ujinga! Lissu hana hata chembe ya akili ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. # Basi si mumheshimu Mwalimu kwa kujenga taifa moja la Tanzania!πππ
Mkoloni alitupigisha kwata mpaka alipoamua kuondoka kwa hiari.Stop that, we were a protectorate not a colony. We were destined for independence once we are capable of managing our own affairs!
asante sana. Ukiona mtu anapingana na clip hiyo ya Lisu ujue ana tatizo la AM Epidomea as put by MtikilaChanzo cha Katiba mbovu inayolitesa taifa mpaka leo ni Mwl Nyerere.
Ukichunguza Katiba yetu utagundua Mwl Nyerere alijirundikia mamlaka makubwa kupitiliza.
Matokeo yake tunayaona leo Rais wa JMT ni kila kitu,hakuna wa kumzua kufanya apendavyo.Ana mamlaka ya kuteua zaidi ya watu 2,000 bila kuhojiwa na chombo chochote.
Anagawanya fedha za umma ependavyo.Magufuli aliijenga Chato kwa fedha umma hapakuwa na chombo au mtu wa kumzuia.
Katiba hii ni mbovu haiwezi kutuvusha salama kabla ya kuanza kuchinjana.
Ndio hujagusia hoja yake hata chembe?
You faggot ass! only fact is you're one stupid and cowardly piece of shit and I bet you can't even fight your way out of trouble Mrs Smart-ass Lissu.basi mlete baba yako achambue
Kweni ni dhambi?alipoanza kumsema Nyerere
Tatizo ninalo maana mashamba yetu mliyachukuwa Na ndugu zetu kuuliwa Na huyo kipenzi chako Laanatullahi NyerereUna tatizo na hilo?
Na wewe ulikuwa umezaliwa?
Na hiki ndicho pekee unachoweza kukisema, hakuna zaidi, au siyo..?Lissu ana ujasiri wa kijinga tu! Hata kichaa anaweza kuwa jasiri na kupanda juu ya transfoma ya Kv ya gridi ya taifa! Narudia, hana akili hata chembe ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. Hizo zako ni porojo tu. Simple! πππ
So, who is the least better? The one who caused death of 50M or the one who caused death of 10, 20, 50 people...?Goid deeds indeed!
Hitler has a track record of causing 50 million dead!
Thats almost the entire Tanzania population.
Kwako hata shetani ana good deeds!
Maona makubwa kuitumbukiza nchi kwenye ujamaa!!?..na kambona alikua na nini!!?...dingi aliupenda ukuu/madarakaBut angalau yeye hakuwa mlafi na alikuwa na maono makubwa
Killing one person requires that one should be hanged.So, who is the least better? The one who caused death of 50M or the one who caused death of 10, 20, 50 people...?
In my opinion, all of these are killers and they deserve equal punishment..
BUT if they confess their sins, they can be forgiven. That's all...
Dah, kumbe wewe ni mzigo tu wa kubebwa, huna lolote unalolifahamu kwa kutumia akili yako mwenyewe?Uhalisia ninaoujua upo katika maneno ya Lisu na ule uzi wa Tz alioiona Nyererere na Kambona.
Shamba lako ni lipi tukurudishie.Tatizo ninalo maana mashamba yetu mliyachukuwa Na ndugu zetu kuuliwa Na huyo kipenzi chako Laanatullahi Nyerere
Hujatukanwa hapo Mkuu wacha mihemuko, ila kusema kweli ya Mungu ndiyo ''akili ndogo siyo tusi'', bali ni sifa kubwa sana, sababu ndivo ulivyo? sasa unajikataa au?? ...β¦..acha matusi, akili ndogo ni tusi, Ukitukana nitakutukana, let me spare you for now!!
Kwa hiyo "utakatifu" unampa huyo mwandishi Ludovick mwijage..., kwa kuwa ndiye unayemtegemea kufikiri kwa niaba yako!Na ndiyo maana Mwandishi Ludovick mwijage aliandika kitabu juu ya Nyerere na kukipa tilte inayo reflect utakatifu usioendana na uhalisia... Julius K Nyerere: A Servant of God or untarnished tyrant?
Maweeeee!! mniachie mieβ¦.mbavu zangu mieeee!!! πππππππππππππππ Shamba alitoe wapi huyo kilaza wa karne??? amini maneno yangu wala usihangaike!Shamba lako ni lipi tukurudishie.
Maono gani hayo makubwa toa mifano inayoonekana na inayoshikikaBut angalau yeye hakuwa mlafi na alikuwa na maono makubwa
nasema mlete mama yako basiYou faggot ass! only fact is you're one stupid and cowardly piece of shit and I bet you can't even fight your way out of trouble Mrs Smart-ass Lissu.
Hajui kuwa Mwaijage Yule ni Mtu na mtani wake Mzanaki!!...AU huyo jamaa siyo mbongo nadhani!Kwa hiyo "utakatifu" unampa huyo mwandishi Ludovick mwijage..., kwa kuwa ndiye unayemtegemea kufikiri kwa niaba yako!
Hao watoto mzee!! watakukomesha! ushauri wangu ni km nilivo sema awali kuwaa humu hapa kufai!! sepa hata hkn haja ya kuaga β¦....kimbia hutaki unaona sasaβ¦β¦nasema mlete mama yako basi