Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Acha kushiriki kusambaza ujinga! Lissu hana hata chembe ya akili ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. # Basi si mumheshimu Mwalimu kwa kujenga taifa moja la Tanzania!๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Nyie mafisadi ndio mnamheshimu Nyerere
 
Chanzo cha Katiba mbovu inayolitesa taifa mpaka leo ni Mwl Nyerere.

Ukichunguza Katiba yetu utagundua Mwl Nyerere alijirundikia mamlaka makubwa kupitiliza.

Matokeo yake tunayaona leo Rais wa JMT ni kila kitu,hakuna wa kumzua kufanya apendavyo.Ana mamlaka ya kuteua zaidi ya watu 2,000 bila kuhojiwa na chombo chochote.

Anagawanya fedha za umma ependavyo.Magufuli aliijenga Chato kwa fedha umma hapakuwa na chombo au mtu wa kumzuia.

Katiba hii ni mbovu haiwezi kutuvusha salama kabla ya kuanza kuchinjana.
asante sana. Ukiona mtu anapingana na clip hiyo ya Lisu ujue ana tatizo la AM Epidomea as put by Mtikila
 
Lissu ana ujasiri wa kijinga tu! Hata kichaa anaweza kuwa jasiri na kupanda juu ya transfoma ya Kv ya gridi ya taifa! Narudia, hana akili hata chembe ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. Hizo zako ni porojo tu. Simple! ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Na hiki ndicho pekee unachoweza kukisema, hakuna zaidi, au siyo..?

Labda mimi nikuambie hili;

Kwamba, ujasiri wa Tundu Lissu kupanda juu ya transfoma ya umeme mbovu na akafanikiwa kuzima umeme, akaitengeneza na mamilioni ya watu wakaanza kupata umeme, huo ni ujasiri wa kizalendo kwelikweli...!!

Sijui hata kama umeelewa wewe maskini wa ufahamu na uelewa...
 
Goid deeds indeed!
Hitler has a track record of causing 50 million dead!
Thats almost the entire Tanzania population.
Kwako hata shetani ana good deeds!
So, who is the least better? The one who caused death of 50M or the one who caused death of 10, 20, 50 people...?

In my opinion, all of these are killers and they deserve equal punishment..

BUT if they confess their sins, they can be forgiven. That's all...
 
So, who is the least better? The one who caused death of 50M or the one who caused death of 10, 20, 50 people...?

In my opinion, all of these are killers and they deserve equal punishment..

BUT if they confess their sins, they can be forgiven. That's all...
Killing one person requires that one should be hanged.
Killing 50million people the nation causing that calamity should be hanged!
 
Uhalisia ninaoujua upo katika maneno ya Lisu na ule uzi wa Tz alioiona Nyererere na Kambona.
Dah, kumbe wewe ni mzigo tu wa kubebwa, huna lolote unalolifahamu kwa kutumia akili yako mwenyewe?

Basi sina shughuli yoyote tena na mzigo kama wewe.

Hiyo ya Kambona sijaisoma, lakini inaonekana ni kampeni ya kijinga jinga tu kama ilivyo hii hapa inayobebwa na watu wasiokuwa na uwezo wa kuchambua mambo.
 
acha matusi, akili ndogo ni tusi, Ukitukana nitakutukana, let me spare you for now!!
Hujatukanwa hapo Mkuu wacha mihemuko, ila kusema kweli ya Mungu ndiyo ''akili ndogo siyo tusi'', bali ni sifa kubwa sana, sababu ndivo ulivyo? sasa unajikataa au?? ...โ€ฆ..

km weye sifa unaona eti ni tusiโ€ฆ. sasa km angesema akili kisoda ambayo ndo sifa kubwa zaidi, si ungemuua weye?? kwa nini wewe umseme Nyerere in negative way?? hiyo haki umeipata wapi??

je Familia ya Nyerere, Mjane Mama Maria! na wafuasi wa Nyerere unadhania wao hawaoni km weye umewatukania Marehemu wao waliyo m-miss forever?? lkn wamekuvumilia utapike tani yako?? ...

Nilitaka kusema eti '' hilo Bangi la ukubwani kwa Mzee km weye ni shida, lkn ushukuru kapenzi kangu Maria kamenikataza niache kuprovoke watu waovu!

Nikushauri tu Mzee wangu; haya majukwaa ya vijana wasioonekana haya! ni sheeda kwako cha kufanya hama humu, usije ukujifia Bureee!! wenzako pia walikuwa hiviivi lkn huwaoni humu siku hizi!!

tena hawa vijana wa JF Bana!! ukiwa hivo ulivo ndo watakuchezea mpaka ukome! na Max Melo si unamuona ni kijana mwenzao yule?!! sasa siku hizi sijui wame mshawishi nini?? Yaani anawaachia tu!

Any way wazee wanajulikana kirahisi tu, usije kufa buuure kwa pressure! ajili ya vijimaneno vya vitoto vya shule humu! eti wana tamba kwamba wao ndo kundi kubwa ivo wakongwe muwe wapole...โ€ฆ..

ukishindwa kuvaa viatu vyao nakushauri tu hamia kundi la wakongwe, kina Babu Msaafu Rais Mwinyi. ukitaka ntakuunganisha... hii fanya mara moja usichelewe, vitakuja tena hapa kukuchezea akili utatia aibu humu

JFโ€ฆ...hayaa yangu ni hayo!! ..usije sema oooh! โ€ฆ.mie sikujuaโ€ฆโ€ฆ.km unaona aibu mie kukuunga, Mtag; Eclat, MshanaJr! wazee wenzio hao!
 
Na ndiyo maana Mwandishi Ludovick mwijage aliandika kitabu juu ya Nyerere na kukipa tilte inayo reflect utakatifu usioendana na uhalisia... Julius K Nyerere: A Servant of God or untarnished tyrant?
Kwa hiyo "utakatifu" unampa huyo mwandishi Ludovick mwijage..., kwa kuwa ndiye unayemtegemea kufikiri kwa niaba yako!
 
Shamba lako ni lipi tukurudishie.
Maweeeee!! mniachie mieโ€ฆ.mbavu zangu mieeee!!! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Shamba alitoe wapi huyo kilaza wa karne??? amini maneno yangu wala usihangaike!

Hao ndo wajukuu wa walevi km mleta mada ambao walikuwa wanakwepa kwenda kushiriki kwenye Mashamba ya vijiji vya ujamaa, na vyama vya Ushirika!!.. walichangiwa na wana vijiji tu, ili wasome S/Msingi bure!!

si unajua Nyerere alikuwa smart sana Elimu ilikuwa lazima?? tena alikuwa anasema kabisaa ''JIFUNZE KUSOMA WAKATI NI HUU!! ...Sasa leo yame wakuta watasemaje kwani?? ebu weka kidogo ile picha tukumbushane!
 
Kwa hiyo "utakatifu" unampa huyo mwandishi Ludovick mwijage..., kwa kuwa ndiye unayemtegemea kufikiri kwa niaba yako!
Hajui kuwa Mwaijage Yule ni Mtu na mtani wake Mzanaki!!...AU huyo jamaa siyo mbongo nadhani!
 
nasema mlete mama yako basi
Hao watoto mzee!! watakukomesha! ushauri wangu ni km nilivo sema awali kuwaa humu hapa kufai!! sepa hata hkn haja ya kuaga โ€ฆ....kimbia hutaki unaona sasaโ€ฆโ€ฆ

na wanakuja usidhani hawakusoma hao!! si unaona kamwaga kiinge matata hapo!

na wewe ukashindwa kujibu kwa kiingereza, โ€ฆ..sasa wewe ndo umeonekana umetukana ebu tafasiri kidogo basiโ€ฆ.tujue!1
 
Back
Top Bottom