Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Mungu akulinde LISSU, Wewe ni hazina kwa nchi yetu.
 
Soma historia hii

Maweee magabachori wanafiki wale, waongo, wezi wakubwa ndumila kuwili, hata ufanyeje, jipendekeze tu lkn hawatakupenda forever nyani mweusi,

AGAKHAN aende wapi na hapo bongo aligema na gema na atagema Hosp zake zilikuwepo na bado zipo mpaka kesho!...labda km huzijui!..usiamini kila kinachoandikwa na yeyote!!

yaani unamjua adui yako kweli wewe??
 
Dada pichuko elimiu ndiyo hii ya kutembeza bakuli Na kuwekeana tuzo hata ya kwenda kunya?
Na nyote kukimbilia kugombea ubunge Na udiwani hata kwa kutoa roho ya mtu kwa njaa?
 
Nyerere alishapinduliwa , waliomrudisha madarakani ni Wakoloni Waingereza kwa masharti ya kuivamia Zanzibar .
Na aliivamia Zanzibar Na kuuwa watu kwa maelfu
 
Nyerere alishapinduliwa , waliomrudisha madarakani ni Wakoloni Waingereza kwa masharti ya kuivamia Zanzibar .
Na aliivamia Zanzibar Na kuuwa watu kwa maelfu

Huwa unavuta misokoto mingapi ya bangi kwa saa moja? Bwege sana wewe!
 
Dada pichuko elimiu ndiyo hii ya kutembeza bakuli Na kuwekeana tuzo hata ya kwenda kunya?
Na nyote kukimbilia kugombea ubunge Na udiwani hata kwa kutoa roho ya mtu kwa njaa?
Hiyo hiyo!! ndo yenyewe chetu chetu bana kwani nani atatuuliza???...hata ukienda kusoma elimu km ile ya
 
Naona lugha imekupiga chenga hujaelewa kilichoandikwa, walioondoka ni Wasmaili wake siyo yeye Agha Khan. Kumbuka pia Agha Khan alikuwa na shule nyingi tu ambazo Nyerere alizitaifisha. Mfano ni Lugalo Secondary School

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…