Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anastahili hivo!! yaani akili zake ni za kilimo cha vitunguu kwenye kabustaniutumwa, why alime vitunguu?
Kwa hiyo wewe unaufurahia sana ujinga wa huyo Tundu Lissu?Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu!
Sikiliza kwa makini:
Hilo umekusudia kuropoka tuu!! hili ni jibu rahisi kwa hoja nzito!! ...usipende kuiga iga tu utaaibika siku moja!Hoja ya kipuuzi sana.
Mjadala huru huu, niwie radhi kama nimekukweza.Hilo umekusudia kuropoka tuu!! hili ni jibu rahisi kwa hoja nzito!! ...usipende kuiga iga tu utaaibika siku moja!
You must be out of your damn mind bitch-ass.You seem outraged,too emotional and react like your empty-handed.nasema mlete mama yako basi
Mkuu Retired kwa ninavyokuelewa ni mtu mwenye umri mkubwa, sitegemei ushindwe kuelewa mchango wa JKN katika kufanya Tanzania ikawa kama ilivyo leo hii!, labda akaunti yako vijana wa mjini wameichezea!.akili ya kufugwa
Maweee magabachori wanafiki wale, waongo, wezi wakubwa ndumila kuwili, hata ufanyeje, jipendekeze tu lkn hawatakupenda forever nyani mweusi,Soma historia hii
Shamba lako ni lipi tukurudishie.
Pan AfricanismMaono makubwa kama yapi?
Maweeeee!! mniachie mie….mbavu zangu mieeee!!! 😁😁😁😁😁😁😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Shamba alitoe wapi huyo kilaza wa karne??? amini maneno yangu wala usihangaike!
Hao ndo wajukuu wa walevi km mleta mada ambao walikuwa wanakwepa kwenda kushiriki kwenye Mashamba ya vijiji vya ujamaa, na vyama vya Ushirika!!.. walichangiwa na wana vijiji tu, ili wasome S/Msingi bure!!
si unajua Nyerere alikuwa smart sana Elimu ilikuwa lazima?? tena alikuwa anasema kabisaa ''JIFUNZE KUSOMA WAKATI NI HUU!! ...Sasa leo yame wakuta watasemaje kwani?? ebu weka kidogo ile picha tukumbushane!
Maweee magabachori wanafiki wale, waongo, wezi wakubwa ndumila kuwili, hata ufanyeje, jipendekeze tu lkn hawatakupenda forever nyani mweusi,
AGAKHAN aende wapi na hapo bongo aligema na gema na atagema Hosp zake zilikuwepo na bado zipo mpaka kesho!...labda km huzijui!..usiamini kila kinachoandikwa na yeyote!!
yaani unamjua adui yako kweli wewe??
Nyerere alishapinduliwa , waliomrudisha madarakani ni Wakoloni Waingereza kwa masharti ya kuivamia Zanzibar .
Na aliivamia Zanzibar Na kuuwa watu kwa maelfu
Kwani wewe unavuta mingapi?Huwa unavuta misokoto mingapi ya bangi kwa saa moja? Bwege sana wewe!
Huwa unavuta misokoto mingapi ya bangi kwa saa moja? Bwege sana wewe!
Hiyo hiyo!! ndo yenyewe chetu chetu bana kwani nani atatuuliza???...hata ukienda kusoma elimu km ile yaDada pichuko elimiu ndiyo hii ya kutembeza bakuli Na kuwekeana tuzo hata ya kwenda kunya?
Na nyote kukimbilia kugombea ubunge Na udiwani hata kwa kutoa roho ya mtu kwa njaa?
Kumbe we msanii, tulitaifisha 1967.Utarudisha leo toka 1970? Haya sema nikuone wapi Na jina lako ndilo hili Jidu la Mabambasi?
Ndio elimu ya Nyerere hulaumikiHiyo hiyo!! ndo yenyewe chetu chetu bana kwani nani atatuuliza???...hata ukienda kusoma elimu km ile ya
Kutaifisha mbali Na unyang'anyi kitu chengine. Na yote aliyafanya Laanatullahi Nyerere Na Hao walifuatiaKumbe we msanii, tulitaifisha 1967.
Maweee magabachori wanafiki wale, waongo, wezi wakubwa ndumila kuwili, hata ufanyeje, jipendekeze tu lkn hawatakupenda forever nyani mweusi,
AGAKHAN aende wapi na hapo bongo aligema na gema na atagema Hosp zake zilikuwepo na bado zipo mpaka kesho!...labda km huzijui!..usiamini kila kinachoandikwa na yeyote!!
yaani unamjua adui yako kweli wewe??
ismailimail.blog