Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Naam safi sana Mkuu!! sasa unaanza kunielewa sasa ! binafsi na mke wangu tunafuraha kuwa unaanza kuelewa sasa! ni kweli kuwa Mwili wake Bado una/uta kuwa na thamani kubwa milele yote kuliko wale wauza watumwa wale!!

Hakuna mahali Julius alipo tumiwa na Mkoloni! ssema wapi bali Julius aliwaamlisha wakoloni, na wakatii, si unamuona Mahafudh alikimbia weee mpaka kafia huko aliko fia!

Kama uliambiwa na waalim wako , basi jua waalimu wako ni waongo tena sana tu....fikiria tu Julius amekufukuza km Mbwa na wengine kaua tu maksudi,

kachukua Mali zao kwa lazima akazigawa kwa weusi !! …. sasa hata km ni wewe utaanzaje kumpenda mtu km huyo, km ukimpenda basi weye ni taahira?? ….

ufanyiwe hayo halafu wende kumtumia tena mbaya wako huyohuyo! ? ivi kwanza yeye atakuamini vipi? kweli? halafu mbona unadanganywa kirahisi ivo km demu, wkt unajua matumizi ya wembe??

weye hujui tu Pengo ni wa juzi juzi tu hapa?? ni size ya kina gwajima ndo maana walipalulana!......yule Julius ni umri wa Baba yake pengo!!

Vyaalimu vya Madrsaa viongo sana! vilikuingiza chaka, ukajaa mkuu! sasa angalia unavoumbuka!! chutama basi ili tusione vya nyuma yako! hutaki, umekomaa tu kubong'oa tukufanyeje sasa???

tena maskini wale ni tuvijana tudogo tu! sasa weye zee zima ulikubalije kudanganywa na vialimu vya Madrsaa?? angalia unavoumbuka na elimu za chekechea hizi!!

Lakini Bado una haki yako kikatiba , kawadai hao Ada yako hapo shuleni Madrsa….... wakikataa nenda polisi ni haki yako tena ni vizuri ''urichukue ri afande Mwita!

yare machamaa hayataki mcheso mcheso kwenye haki! hasahasa km raia anaonewa kwanza hayataki rushwa na kiswahiri mureeefu! utasikilizwa, then njoo! urudi hapa tukufundishe sisi bure tu!.....
 
nnje ya butiama hakuna anae mjua nyerere
Loo! km ni kweli??... Basi hata Nyerere humjui na Butiama hupajui kifupi weye ni mbakaji sugu fiche! sababu unabaka mjadala hadharani then unasikilizia utamu,

na kubaka ni kosa la jinai miaka 30 jela!!…....kwa kukusaidia weye nenda jukwaa la vilaza!
 
Yale yale ya Magufuli aliiba 1.5Trillion 😂😂😂 ushahidi hakuna zaidi ya propaganda tu
Tatizo! yule jiwe alikuwa Mbabe wa ukichaa Zaidi ya Idd Amini, alikuwa akisema anakuua!! ni kweli amedhamilia kimbia na usiangalie Nyuma,

si unamuona Nape alienda omba msamaha kwa Miguu na miwani yake km site mirror!.....alisahau Prado lake! hivi mkuu unacheza na kichaa mwenye rungu???

Lissu alijidai kukomaa nae weee!! yuko wapi??…..mpaka leo! Lisu anaogopa kivuri cha kichaa!...yaani ungemuona Lisu alivokuwa akisepa kwenda mafichoni! na kamguu kake kale butu na kakitambi hee! utacheka mpaka unye!

ndo utaamini Madikteta vichaa! ni wabaya sana!
 
Nyerere ili apore mali za watu?
Jamani, hakuwa kichaa! asinge pora mali za ndege wala kuku, sababu hawana!! na isitoshe yeye alikuwa haongozi kuku! bali watu wenye utashi wa kupinga vitendo vyake! sasa kwa nini hawkumpinga??

Mahakama nyiiingi zilikwepo na zipo mpaka leo! lkn kimyaaa mpaka leo!...nasema walistahili waporwe maana ni wajinga! hawakusoma sheria za kuishi na Mali, akapore za kina nani?? Wanyama au...
 
Ukitaka ukosane na Lissu na asikusalimie Maisha yake yoote!! weee!! mtishe tuuu! kidogo ……..Magu huyoooo!...…...
 

Kasome link niliyokupa, watu walishaenda mahakamani mpaka wakachoka na kesi mpaka leo zipo na zimetajwa. Sijui mahakama zipi nyingine unaziongelea.
 
Yale yale ya Magufuli aliiba 1.5Trillion 😂😂😂 ushahidi hakuna zaidi ya propaganda tu

Kulikuwa na ruhusa ya hizo 1.5t kuchunguzwa? Ni chombo kipi kingeweza kuchunguza kashfa ile ili ushahidi uwekwe wazi?
 

Ungejua kwa jinsi hizo tabia zenu za kupora mali za watu zilivyoharibu uchumi wala usingeongea hapa jukwaani kama kitu cha kujivunia vile. Nyerere uporaji wake wote ulimfikisha wapi zaidi ya kufilisi nchi na kuwaweka watu kwenye hali ngumu sana ya uchumi?
 
Anza wewe kwa kutangulia mbele na familia yako kama unao, kwa yeyote anayetegemea siasa kupata tonge kama wewe.
Ni rahisi kuwaza vurugu ili mradi lengo lenu litimie.lakini mnasahau kwamba Tanzania sio ya wanasiasa pekee.

Kuna makundi mengine ambayo hayafaidiki na wala kuishi kwa kutegemea siasa uchwara hizi.

Msiwaze ujinga kwa manufaa yenu tu.
 

Hivi hujui kanisa ndilo lilianzisha biashara ya utumwa?
Meli ya kwanza iliyopeleka watumwa USA iliitwa Jesus, Hii ni topic nyengine , hapa Lissu anaeleza matendo ya Dikteta Nyerere.
Elimu ya Nyerere tunaiona mpaka Leo maji Na umeme ni vipusa nchini. Tulimwona professor wa juisi ya Madagascar.
Jiwe hata amempoteza aliyehoji digree yake.
Wasomi wengine akina Lukuvi Na Kabudi wamekuwa matarishi wa ikulu wanaendeshwa Na mwanamke
 

Hadi sasa wanasiasa walioko madarakani wamefanya mauaji kwa wengine ili kukaa madarakani, je hao wamedhani Tanzania ni yao peke yao? Na kwa taarifa yako, wanasiasa ndio kada inayokula keki ya taifa hadi kusaza kuliko kada nyingine yoyote. Ni hivi, machafuko pekee ndio yatafanya Tanzania iongozwe kwa haki.
 
Kanisa lenu hilo liliwanunua wakatumike Mashambani/viwandani na waarabu koko wenu hao walikamata/kusaka watumwa ili waliuze/ ho ni wafanya Biashara wakubwa mpaka leo !!

Kwa muktadha huo Madrasa mlidanganywa wale lao ni moja tu! ni maadui zenu, japo hao waarabu mliwazaa, kwa hiyo Damu yenu ndo iliwaumizaa, usijidanganye wale (kule kanisa na huku Msikiti)ni mtu na Baba yake!

nashukuru unaelewa vizuri!..Madrasa siyo sehemu nzuri kabisa, ni kweli naijua ile Meli iliitwa Jesus!! lkn Jesus wao hao weupe alikuwa Mzungu! hakuna shida labda unawaonea wivu kuwa na kayesu kao??au ulitaka waite Jagina?

Lisu analishwa na hao hao! unategemea aseme kinyume na wao?? thubutuu!!…. Mama Samia ana akili sana anajua Lisu ni kioo chetu, kinacho reflect mawazo na tabia za Beberu,

Sisi tunamtumia Lisu kujua mitizamo ya Mabeberu maksudi kabisaaa, bila wao MaBeberu wala yeye Lisu kujua, mitizamo yao...na ktk utafiti wetu tumegundua kwamba Mabeberu ni

Mabeberu tu! japo wamekoma kutuuza km Mbuzi wa kafara lkn hawajaacha tabia zao za kuuza watu hovyo hata iweje!...wkt wa utumwa watu km Lissu walitumika ivo!...

si unajua sayari za Mars na venus wameshaanza kujenga vijiji??...sasa wanatafuta watu wa majaribio wa kwenda kuishi huko ki nguvu! iviv iv tu mwafrica kwenda huko si kazi ndogo sasa wana muandaa Lissu alete chokochoko!

Lengo ni ili mtekwe! mpelekwe huko, kuandaa makazi kupitia majaribio wee jichekeshe tu siku utaenda Madrasa hutarudi kwani wangapi wamepotea kiivo na hawajulikani??

ndo Maana Somalia, Nigeria na sasa Msumbiji koote hakujatulia!..si unaona wanavyo kwenda kimahesabu?? inawezekana na wewe ni kibaraka wao au unatayarishwa kuwa mmoja wao!.........………….

Ni sawa sawa kabisa uko sahihi kabisaaa! Nyerere Baba yetu Mungu amlaze mahali pema..huyo lazima awe Dikteta wa Mabeberu na wauza watumwa wale, ili sisi weusi tuishi vizuri! na ndivyo tulivyo mtuma sisi!

tena yeye kafanya kidogo aliwaonea huruma nikija mimi mtakoma! ...... Beberu siyo mtu wa kumchekea hata kidogo! atakumaliza, JF inakushangaa Uta wachekeaje/ishi na watu waliouza Babu na Bibi zako???

Hata hapo kichini chini wanakuita kafir, ila hujui tu,........eti kichekesho na wewe unaita ndg zako weusi kafir ……. yaani huwa nacheeeeka mpaka najamaba mbwii!!!mbwiiiiii!!!

acha masihala dogo hiyo laana itakutafuna mpaka uoze makalio kizazi chako tatu na cha nne!! ......huenda hata wewe kuna kalaana kana kutafuna umerithi hiyo laana!! niamini mimi! make nimesha kueleza ati!...........

Kwa maneno yako haya! Ina wezekana kabisaa! wewe ni wa Babu wa Babu yako alikuwa Nyapara/kibaraka wa Mabeberu, Mlikua, na kuzaliwa tokana na jasho la Damu ya Mikono ya ndugu zenu sasa ile Damu ina walilia!!

Na hamtakuwa salama Milele! vizazi vyooote!! na kwa kujipendekeza huku kwa weupe mpaka unadhalilika humu JF! ni dalili kuwa wewe soon utaokota Makopo!...…..

ebu sikia Usione wale vichaa wanazunguka hovyo wale!! bali ni damu ya ndugu zao waliowauza utumwani miaka hiyo sasa ina walilia/ita, milele yote, wewe ni mmoja wao! …..

Kwa sababu huwezi kuwapenda wale mabaguzi /Mabasha weupe ivo!! wkt unajua fikra na matendo yao walivyo wa hovyo!! unatia aibu!! Unashindwa Na islam Idd Amini yeye aliona ujinga huu kawatia kiberiti….

Mpaka wewe na wenzio mwende Udengerekoni Mkatoe Kafara za watu mlio shiriki kuwauza!!..mie nakusaidia bure tu!! hutaki tukufanyeje sasa?????
 

Wacha kuandika ngonjera. Huyo Baba yako Nyerere aliwekwa madarakani Na Wakoloni Waingereza wakamtumia kuweka fitna Na Wazanzibari.
Mpaka Leo chuki zimejaa baina ya waTanganyika Na Wazanzibari. Kabla ya huyu kiumbe waTanganyika wakiishi vizuri Na Wazanzibari bila chuki moyoni.
By THE way vipi boss wako Kabudi alishapeleka mafaili kwa mama ?
Hivi vipi yule Mwendazake kwa nini hakutaka kuonyesha vyeti akampoteza yule aliyeulizia?
 
Wajameeni!! wewe sema tu Mungu kakupiga kofi!! nenda katubuuuuu dhambi zako uwe salama!! hutaki?? utakoma.........Mighorofa yooote hii?? ..Midege sirikali na binafsi bei chini !!

Unashindwa na (Dogo Gwajima analo lake huyu binafsi, linampelekaga Bungeni, Ulaya km kawa! yaani hata lift tu atakunyima kweli?)….ona mipajerooo new Model tupu!

kaa pale njia panda Chalinze mwezi wa December uone maajabu!...wachaga wanavyo miminika kwenda kusherehekea la X-mass!!..basi omba hata Lift uonje utamu wa Pajero hutaki!! huoni una tatizo la msingi??

Haya ka vitz tu huna mkuu! haya Beattle kuu! kuu! nalo je??...yaani kuuumbe hizi barabara tunatumia wachache sana tu??…….tubuni! mbona rahisi?? sasa tumefanya haya ni miaka 20 tu baada ya uhuru!

Muarabu kakaa humu nchini, miaka takriban 2500, eti kaacha kamji Mkongwe tu baasi!! ...yaani hao mbwa wasinge tutibua tunge kuwa mbali mnooo!! hata hiyo Dubai ya leo,UK,USA.Francenk tulijenga sisi weusi!!

Mpaka leo ni sisi weusi ndo tunafanya kazi za misuli huko kwao, Sasa wametuletea AL SHAABAB, ALKAIDA,nk Ili kuharibu mafanikio yetu, TZ tumo pia hatukwepi hilo ...sababu Tanznia tutawatunza wakimbizi wataenda wapi!

Unadhania hayo yoote ya vita yasinge kuwepo! si tungekuwa Zaidi ya Ulaya??? Elimu zenu hizi za Madrassa zinawalemaza sana tena mnooo!!

Angalia sasa hivi tuna SADDAC, EA communitie jamani! tokaaa Indian Ocean, mpaka Pacific wewe tu! mna shindwa kweli kufanya Biashara??…. weye kauze Ming'oko tu, kwenye Train ya Tazara .

fanya hivo safari mbili tu uone km hujatoka!..Nashanga sana mtu unajua matumizi ya wembe unakuja kulia humu! km wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…