Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Yale Yale ya ngumbaru
 

Hulaumiki Nina wasiwasi hata sauti yako imekuwa lakini kama ya Nyerere. mapadri wa kizungu wailikufanya hivyo?
 
Yale Yale ya ngumbaru
Hulaumiki Nina wasiwasi hata sauti yako imekuwa lakini kama ya Nyerere. mapadri wa kizungu wailikufanya hivyo?
Aaaah! Unasema kweli Mkuu??? ……. Satha unanionea wivu MKuu au???......Mbona rahisi tu!!! km ukiona vepe wee njoo INbox na nikuunganishe Baba!!…. weye sema na penda size ipi, kwa siri lkn!

tena weye ndo utakuwa safi maana hujaguswa, Ngoma nswanooo!!...usiogope hayo mambo ya kawaida tu!! hakuna atakaye jua mbona!

walaa simwambiii ntu!! kwani una dhania ni kazi bassi?? waala!! ...si unaona km saa hivi nilivoandika hapa umesha maliza unachukua chako unasepa zako kula chips!
 
Mapadri wa kizungu wailikufanya hivyo ? Jibu swali mbona unageuka Nyerere unakimbia maswali ?
 
Lijibu

Mapadri wa kizungu wailikufanya hivyo ? Jibu swali mbona unageuka Nyerere unakimbia maswali ?
ASA mie hao sionani nao mie na mitume wazungu-Mabeberu-mabepari ni vitu viwili tofauti sana!..labda utumegee kidogo hao mashkhe walicho kufanya make si mnakutana misikitini humo lazima utakuwa na uzoefu!

lisemwalo lipo tu!...na umelisema ajili yauzoefu wako…...na mtasema mengi siku ya kiama
 
Mapadri wa kizungu wailikufanya hivyo ? Jibu swali mbona unageuka Nyerere unakimbia maswali ?
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere for your shortcoming ni uzwazwa. Sawa na kumlaumu babu yako kwa umaskini wako.
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere for your shortcoming ni uzwazwa. Sawa na kumlaumu babu yako kwa umaskini wako.
Bwana Yesu alisema , By their fruits you will recognize them, Mti wa CCM ulipandwa na Laanatullahi Nyerere, matunda yake ndiyo haya tunayovuna sasa, kuuliwa watu, kubambikiziwa, kesi na kuiba kura, kufilisiwa, na kila uchafu,
Nchi inanuka kwa matunda ya mti huu
 
kama wewe hujasoma wenzio wamesoma....pumbavu
 
lissu anafundisha si kwamba anatukana.anasema ukweli wa mambo na kama unahoja mpinge kwa hoja.kusema kuwa lissu alisoma shule zilizotaishwa na serikali is ilogical.wengi umesoma shule hizo na kwa taarifa yako huenda humjui lissu vzr wengine tumesoma naye hivyo tunaweza kusema jambo kuhusu yeye.
 
Lissu ni kama mtu aliyevuka mto halafu anawatukana mamba waliomkosa kosa.
Huna haja ya kuwashukuru mamba waliokukosa kosa.
Ni hekima kuwa heshimu viongozi kama Mwalimu Nyerere maana , Lissu asingekuwa hapo akiwatukana kama si Mwalimu.
 
Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
Hivi kina Nyerere na wenzao na wao walikuwa wanabambikiziwa kesi za ugaidi? Na wao walikuwa wanatekwa na miili kuokotwa baharini? Na wao walikuwa wanapambana na polisi kila kukichwa?
 
Hivi kina Nyerere na wenzao na wao walikuwa wanabambikiziwa kesi za ugaidi? Na wao walikuwa wanatekwa na miili kuokotwa baharini? Na wao walikuwa wanapambana na polisi kila kukichwa?
Simwelewi tundulissu mtoto wa juzi amshambulie Nyerere kwa kukomboa Nchi hii na kujenga Taifa kabla yeye lissu wala hajazaliwa. Mwaka 1961 Nyerere mwalimu kijana wa miaka 39 Puguseco akivaa kaptura - inakuingia akilini eti aliacha Uwaziri Mkuu ili ajitengenezee udikteta? Eti aligombana na Wabunge I assume walikuwa wanataka Sir Richard Turnbull azidi kuwa Gavana na tumehuru. Anatoa kashfa kwa sauti ya ukali hadi kwa Yesu Kristu na Askofu Samba wa Musoma (wakati huo), akiapiza kuwa Nyerere kamuua Hanga, kapoteza watu. H6ow does he know alikuwa hajazaliwa? Si rahisi kuamini tundulissu anajua dynamics za Utakatifu (nasikia ni Katoliki!). Anajua historia ya Mtume Paulo? Au Emperor Constantine? Au Mashahidi wa Uganda at least watatu walikuwa UPDF, wawili wakiwa Watemi? Ni masikitiko kuona mtu huyu anathubutu kudiriki anaweza kuitawala Nchi yetu kiulaini hivyo anatuonaje? Ilani yao 2030 sijui itasemaje baada yakumtukana almost kila mtu, mnyongwe wake Nyerere marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…