Hadi unakufa hutaona machafuko unayoyatamani.Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
Kwani hiyo hoja yangu nimekutukana wapi?risasi zipi? acha matusi nitakutukana ukinitukana. Jibu hoja kama huna just skip the thread .
Una mawazo ya kijima na very primitive. Kwa hiyo yasisemwe maovu kwa vile serikali hiyo ilijenga na kutaifisha shule?Na sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.
Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Missiin kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.
Leo mtu aatukana mamba baada ya kuvuka to.
Lissu angekuwa ana lima vitynguu Singida leo.
Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
Kama unategemea kila kitu kuhusiana na siasa akichambue lissu Ili ujue uzuri na ubaya wake basi unaakili ndogo sana na by the way Nyerere alikuwa Kiongozi bora kabisa tuliyepata kuwa naye.
Maono gani! Kuivamia Zanzibar na kuikoloni?But angalau yeye hakuwa mlafi na alikuwa na maono makubwa
Kweli Lissu siku hz amefilisika kifikra
Machafuko ndio njia pekee kuelekea mabadiriko ya kweli.
Hadi unakufa hutaona machafuko unayoyatamani.
Baada ya Nyerere wamepita marais watano (5), kuendelea kumlaumu yeye peke yake kana kwamba aliwafunga mikono kurekebisha makosa yake ni ujinga tu.
Lissu for realKumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu!
Sikiliza kwa makini:
Hata kama alikuwa Dikteta aliwakomboa waafrica wengi kusini mwa Africa! na africa! kuliko Baba yako Mobutu mla Bata!....ata ivo Lisu anajeuri leo sababu alisoma bure!! msingi mpaka chou kikuu! anyamaze tu!
hao wakoloni walio mtuma anaishi nao kwao mbona walituchapa viboko/wakatuuza km mbuzi wa kafara/wanatupiga pin madini yetu na ukoloni Mambo leo lkn mbona hana jeuri ya kuwasema?? na hamsemi.
Miafrica inatafuta kick kwa kusemana yenyewe kwa yenyewe ili yapate safari tu ya kwenda Ulaya na kuishi!
Machafuko yapi unaongea mkuu mimi niko Juba uku wewe una type ukiwa MlMllagomeni sehemu gan?Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
Diplomasia inaweza kuwa suluhu kama una deal na mtu mwenye busara na utu. Ila diplomasia haifanyi kazi kwenye mtu anaeamini falsafa za ubepari haiwezi kuwa na jibu muafaka.Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
Kweli eeeeh?Ni kweli, kwakuwa hajapumbazwa na philosophy ya mwenge wa uhuru.
Nonsense.....Namibia too was a protectorate under South Africa but it was only through armed struggle she achieved her independence in 1990.....Stop that, we were a protectorate not a colony. We were destined for independence once we are capable of managing our own affairs!
Sababu za mapinduzi huko ni ubaguzi uliokuwepo huko uliotoa fursa kwa wanasiasa wa Tanganyika wa enzi hizo kuingilia mambo ya huko.Kakomboa wengine, kavamia wengine. Kwa mfano Zanzibar ndiye Nyerere alivamia.
Sababu za mapinduzi huko ni ubaguzi uliokuwepo huko uliotoa fursa kwa wanasiasa wa Tanganyika wa enzi hizo kuingilia mambo ya huko.
Tanzania ya viwandaMaono makubwa kama yapi?