Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
I've always thought there is some psychological problem with this guy.Lissu ni jirani yangu huku TEGETA. Msimchukulie serious kwa kuwa hana hata nguvu ya kum command mkewe. Mkewe ndiyo sauti ya Nyumba. Miaka michache iliyopita mkewe alimfukuza mama mzazi wa Tundu Lissu aliyekuwa amekuja kutoka Ikungi kujiuguza.
Thereafter Mama alihamia kwa Binti yake mwingine hadi umauti ulipompata. Hawa watu wanachoweza ni kuchonga midomo tu. Kama huwezi kutawala Nyumba yako utawezaje kutawala umma mkubwa wa Tanzania
Tulipata uhuru bila machafuko kwa sababu Tanganyika ilikuwa Mandatory chini ya UN, Mwingereza alikuwa mwangalizi.Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
We were not protectorate, but we were mandatory. Protectorates were Uganda(Kabaka regime) and Sultanate regime(pwani yote toka Mombasa, Lamu, Malindi, Pemba, Tanga, Pangani, Bagamoyo, Dar, Lindi, Mtwara, na sehemu ya Msumbiji)Stop that, we were a protectorate not a colony. We were destined for independence once we are capable of managing our own affairs!
Me' dhaifu woote ndo walivo kwa nini hukumpinga???...ulifungwa kamba au...walio shindwa km weye walitoroka siasa zake km Kambona mpaka walikufa kibudu au bebeeru alikukataa!! ulikuwa huna hela??…Yeye ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo TZ e.g katuachia katiba mbovu,katuachia chama cha majambazi etc
Endeleeni kulia huenda atarudi awabadilishie katiba na kuwaondolea hicho chama chakavu.Yeye ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo TZ e.g katuachia katiba mbovu,katuachia chama cha majambazi etc
Nani kakudanganya.isipokuwa Nyerere tu!!
Ndio chimbuko ya yoote haya unayoona leoTatizo kubwa mnoo la Lissu Ni kuzungumzia Tanganyika/Tanzania ya mwaka 1961 utafikiri ilikuwa sawa na hii iliyopo leo.
Kweli kama alivyokuwa anataka kulaghai Mr chato akitumia ushawishi wa wajinga na maskiniKwa kutumia Siasa yake kisanii ya Ujamaa Nyerere alizulumu maelfu ya Watanzania mali zao.
Azimio lake la Arusha liliua maelfu na kuifilisi Nchi.Kweli kama alivyokuwa anataka kulaghai Mr chato akitumia ushawishi wa wajinga na maskini
Lissu nilikua namthamini kama msomi makini, tangu alipoanza kumsema Nyerere bunge la katiba nikagundua kuna nati hazipo sawa, lakini ni kawaida ya watu wenye uwezo mkubwa kidarasa kufeli kwenye maisha ya kijamiiNa sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.
Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Mission kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.
Leo mtu anatukana mamba baada ya kuvuka mto.
Lissu angekuwa ana lima vitunguu Singida leo.
Wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini Nyerere alikuwa clean 100%. Wakati uongozi wake ni chanzo cha haya unayoyaona leo. Ofcourse alikuwa na changamoto nyingi lakini kuna mapunfu mengi ktk utawala wake. Sasa watu wakiyasema isionekane ni nongwa. That is learning through the past.Lissu nilikua namthamini kama msomi makini, tangu alipoanza kumsema Nyerere bunge la katiba nikagundua kuna nati hazipo sawa, lakini ni kawaida ya watu wenye uwezo mkubwa kidarasa kufeli kwenye maisha ya kijamii
Lissu ana ujasiri wa kijinga tu! Hata kichaa anaweza kuwa jasiri na kupanda juu ya transfoma ya Kv ya gridi ya taifa! Narudia, hana akili hata chembe ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. Hizo zako ni porojo tu. Simple! 🙏🙏🙏
Akazipeleka wapi??? km hata nyumba yake tu ya kuishi alijengewa kwa msaada wa jeshi!!...achene majungu!! By the way kwa nini mtu achukue Mali yako unamuangalia tu si upigane mpaka tone la mwisho la damu??Kwa kutumia Siasa yake kisanii ya Ujamaa Nyerere alizulumu maelfu ya Watanzania mali zao.
Akazipeleka wapi??? km hata nyumba yake tu ya kuishi alijengewa kwa msaada wa jeshi!!...achene majungu!! By the way kwa nini mtu achukue Mali yako unamuangalia tu si upigane mpaka tone la mwisho la damu??
Mbona kreluu alipigana mpaka akaua! na akanyongwa live ! sasa kwa upande wako km mtu alizurumiwa na akatula basi aliridhika kuwa na yeye alidhurumu, hakustahili kumiliki Mali hiyo!
hata wewe kwanini hukusema wakt yupo?? wanachi wake waliomtuma kuwaongoza wamzodoe !! sasa nakwambia sema hapa hapa alimzurumu nani?? mie nimudishie mara saba make hela tuu ninazo!
21. Nyerere is an impulsive leader who dominates Tanzanian political life. He is occasionally influenced by radicals in the Tanganyika African National Union (TANU ), the official party. Two of his most recent initiatives, the Acquisition of Property Act and the creation of a Peopleʼs Militia,—taken after TANU prodding—have aroused considerable concern and some potentially significant opposition. The property act enabled the government to acquire all rental housing valued at more than $14,000. In one fell swoop, Tanzanian businessmen and officials were deprived of their last safe investment opportunity and much of their revenue and source of collateral. Most affected were the prosperous Asians, whose unpopularity and political weakness made them an easy target. Many of the most skilled and talented members of the Asian community have fled the country, including members of the Aga Khanʼs Ismaili sect. Most of the Ismailis had become Tanzanian citizens and contributed a great deal to the country, but the Aga Khan recently came to fear for their safety. He is now suggesting that they leave while they can still salvage something. The exodus represents not only a loss of critically needed skills and entrepreneurship, but a substantial drain as well on Tanzaniaʼs already slender foreign exchange holdings. Moreover, as Asians have closed down their businesses and halted their building projects, a large number of Africans have been thrown out of work. Consumer shortages [Page 13] and rising prices add to the economic malaise and, if prolonged, will feed the general dissatisfaction with Nyerere.
basi mlete baba yako achambueKama unategemea kila kitu kuhusiana na siasa akichambue lissu Ili ujue uzuri na ubaya wake basi unaakili ndogo sana na by the way Nyerere alikuwa Kiongozi bora kabisa tuliyepata kuwa naye.
That is non of your concern. Tunaongelea issues za mamlaka makubwa ya rais yalitoka wapi...the source of the history of imperial presidency in Tanzania. Kuwa na akili basi kidogoLissu ni jirani yangu huku TEGETA. Msimchukulie serious kwa kuwa hana hata nguvu ya kum command mkewe. Mkewe ndiyo sauti ya Nyumba. Miaka michache iliyopita mkewe alimfukuza mama mzazi wa Tundu Lissu aliyekuwa amekuja kutoka Ikungi kujiuguza.
Thereafter Mama alihamia kwa Binti yake mwingine hadi umauti ulipompata. Hawa watu wanachoweza ni kuchonga midomo tu. Kama huwezi kutawala Nyumba yako utawezaje kutawala umma mkubwa wa Tanzania
Technically Mwalimu alipewa Uhuru kwenye sahani, Tanganyika ilikuwa inaelekea kupewa uhuru kabla hata struggle za Mwalimu na wenzake hazijaanza, go educate yourself something called TANGANYIKA UNDER THE TRUSTEESHIP COUNCIL utaelewa vizuri, British hawakuwa na interest ya kuendelea kuwa Tanzania walikuwa wanataka tuu mtu wa kumwamini kumwachia nchiKuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka