Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Lissu ni jirani yangu huku TEGETA. Msimchukulie serious kwa kuwa hana hata nguvu ya kum command mkewe. Mkewe ndiyo sauti ya Nyumba. Miaka michache iliyopita mkewe alimfukuza mama mzazi wa Tundu Lissu aliyekuwa amekuja kutoka Ikungi kujiuguza.

Thereafter Mama alihamia kwa Binti yake mwingine hadi umauti ulipompata. Hawa watu wanachoweza ni kuchonga midomo tu. Kama huwezi kutawala Nyumba yako utawezaje kutawala umma mkubwa wa Tanzania
I've always thought there is some psychological problem with this guy.
Kwanza anaongea na authority ambayo hana, only kutawaliwa na mke.
 
Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
Tulipata uhuru bila machafuko kwa sababu Tanganyika ilikuwa Mandatory chini ya UN, Mwingereza alikuwa mwangalizi.
Kama tungekuwa koloni sawa na Kenya isingekuwa rahisi kupata uhuru bila vurumai
 
Stop that, we were a protectorate not a colony. We were destined for independence once we are capable of managing our own affairs!
We were not protectorate, but we were mandatory. Protectorates were Uganda(Kabaka regime) and Sultanate regime(pwani yote toka Mombasa, Lamu, Malindi, Pemba, Tanga, Pangani, Bagamoyo, Dar, Lindi, Mtwara, na sehemu ya Msumbiji)
 
Yeye ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo TZ e.g katuachia katiba mbovu,katuachia chama cha majambazi etc
Me' dhaifu woote ndo walivo kwa nini hukumpinga???...ulifungwa kamba au...walio shindwa km weye walitoroka siasa zake km Kambona mpaka walikufa kibudu au bebeeru alikukataa!! ulikuwa huna hela??…

kazi ya kumpinga Mkoloni afanye yeye kwa kuhatarisha uhai wake eti wewe Dume zima mla vihepe ufaidi matunda uhuru waake iv!hivi tuuu?? acha utani bana !!km vepe si ungeolewa ulikuwa wapi kudai uhuru na kuulinda!????

Mkoloni katamba humu Zaidi ya miaka mianne 400, aliwalimisha kawauza kama mbuzi hakuna aliye kuwa na uthubutu wa kumshika shati, isipokuwa Nyerere tu!!

na hata hao hao waliomjaribu wakashindwa mbaya, kaburu na jeuri yake yooote, pale kwa mchonga alikoma, sasa leo hii umejua kukaa nyuma ya key board kwa uhuru na kushiba unasema haya kweli??...

hata shetani anakushangaa mnoo! fikiria tu muuza watumwa kamshindwa pamoja na mipesa yake yooote weye ni nani mpaka uhoji! hiyo katiba ndo iliwafaa Mbuzi km nyie, situkani lkn mna stahili kuwa ivo,

Mna hoja hoja za level ya kihayawani kabisa! ambao hao wanaweza fugwa wakala na kunywa waka Shiba lkn wakaweza kunya popote hata sebureni kwako na uka zoa make hawajui kutofautisha sebure na pori!

Misimamo km hii ndo ilimfanya David Cameroon kuwaomba wanaume wa Bongo nyaa muolewe!! ili mpate misaada eti bila aibu mkalia weeee!! mpaka akajiuzuru tena hakutaka hata kuomba msamaha!!

sema ukweli wako ni wapi David Cameroon aliomba msamaha mpaka leo lile neon ni hai….....kuumbe ni kweli mna stahili kuolewa!!..iko siku isiyokuwa na tarehe mtashikwa tako hadharani! ...subirini tu!

Julius Kidume yule alikataa hela za Beberu wazi wazi!!! sijui misaada, kujipendekeza alikataa kabisaaa!! bora afe au aachie ngazi kuliko kuishi kwa kupiga magoti!! alikomaa na ndg zake weusi wa kusini,

akaungwa mkono na vidume wakuryaa wahehe, wasukuma, Wakawapiga Mkaburu mpaka leo anaimba haleluya mzanaki, na wamesalimu amri hao hapo wanazalisha Serengeti na Dsm Breweris, NBC,.

sasa leo mkilewa pombe mnakuja humu kuharisha mijineno, kwanza angekuwepo tungekufinya kidogo pale ukonga ili akili ikukae sawa make ndo mnastahili hayo!! wazaramo mna shida sana!

Kakuachia katiba mbovu si uko huru kuipinga ?? wkt hayupo bado unalalama... sisi tukufanyie nini sasa ? kwani umezuiwa na nani??! kuropoka ropoka nyuma ya key Board niuoga wa kike!

km weye ni ke nitakusamehe bure lkn km ni dume asee nakuchapa mijeredi mpaka akili ikuingie kisawa sawa ….ua sitaki ujinga mimi!!….aliwakomesha yaani hayupo lkn bado mna lia lia tu!

sometimes huwa nawaza bora alifanya hivo! ili muwe mnamkumbuka!...si unaona Mwinyi alikuwa mpole wala hammkumbuki, hapa najifunza kitu watu ni kuwa finya korodani tu ili wakukumbuke vizuri!

Peleka huko vijijini wakaliwe na chatu! ...naam! hapo Mwafrica kiroho kwatuuu!!…...nyie subirini tu nakuja kamata usukani nasema wabongo km nyie mbona mtakoma Mwana shikilia sana hii avatar!!

uijue na ikujue! ili uwahi utakapo niona hapo magogoni uwe umewahi nafasi mapema huko kwa Beberu, vinginevo utayamba kifukuto!!...mie siui mzoga ila nakata nafunua!! ..ukiona kivuri change tu!

unakipa shikamoo kodada!...ndo mnastahili hayo na mie sifi kma huyo jiwe wenu!!
 
Yeye ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo TZ e.g katuachia katiba mbovu,katuachia chama cha majambazi etc
Endeleeni kulia huenda atarudi awabadilishie katiba na kuwaondolea hicho chama chakavu.
 
Na sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.

Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Mission kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.

Leo mtu anatukana mamba baada ya kuvuka mto.

Lissu angekuwa ana lima vitunguu Singida leo.
Lissu nilikua namthamini kama msomi makini, tangu alipoanza kumsema Nyerere bunge la katiba nikagundua kuna nati hazipo sawa, lakini ni kawaida ya watu wenye uwezo mkubwa kidarasa kufeli kwenye maisha ya kijamii
 
Wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini Nyerere alikuwa clean 100%. Wakati uongozi wake ni chanzo cha haya unayoyaona leo. Ofcourse alikuwa na changamoto nyingi lakini kuna mapunfu mengi ktk utawala wake. Sasa watu wakiyasema isionekane ni nongwa. That is learning through the past.
 
Lissu ana ujasiri wa kijinga tu! Hata kichaa anaweza kuwa jasiri na kupanda juu ya transfoma ya Kv ya gridi ya taifa! Narudia, hana akili hata chembe ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. Hizo zako ni porojo tu. Simple! 🙏🙏🙏

..Katiba ni moja ya eneo ambalo Mwalimu hakufanya vizuri.

..Sio rahisi kuzungumzia mapungufu ya kikatiba hapa Tz bila kuonekana unamsema vibaya Mwalimu Nyerere.

..Ukitaka kumsikia Lissu akimsema kwa uzuri Mwalimu Nyerere tafuta anapozungumzia maadili ya uongozi.

..Lissu ametamka mara nyingi bila taswiswi kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa msafi, hakutumia ofisi kujilimbikizia mali, na alistaafu Uraisi bila pensheni.
 
Kwa kutumia Siasa yake kisanii ya Ujamaa Nyerere alizulumu maelfu ya Watanzania mali zao.
Akazipeleka wapi??? km hata nyumba yake tu ya kuishi alijengewa kwa msaada wa jeshi!!...achene majungu!! By the way kwa nini mtu achukue Mali yako unamuangalia tu si upigane mpaka tone la mwisho la damu??

Mbona kreluu alipigana mpaka akaua! na akanyongwa live ! sasa kwa upande wako km mtu alizurumiwa na akatula basi aliridhika kuwa na yeye alidhurumu, hakustahili kumiliki Mali hiyo!

hata wewe kwanini hukusema wakt yupo?? wanachi wake waliomtuma kuwaongoza wamzodoe !! sasa nakwambia sema hapa hapa alimzurumu nani?? mie nimudishie mara saba make hela tuu ninazo!
 
"akili kubwa hujadili hoja ,akili ya wastani hujadili matukio,akili ya chini kabisa hujadili watu"Socrates
JamiiForums404040806.jpg
 
Akazipeleka wapi??? km hata nyumba yake tu ya kuishi alijengewa kwa msaada wa jeshi!!...achene majungu!! By the way kwa nini mtu achukue Mali yako unamuangalia tu si upigane mpaka tone la mwisho la damu??

Mbona kreluu alipigana mpaka akaua! na akanyongwa live ! sasa kwa upande wako km mtu alizurumiwa na akatula basi aliridhika kuwa na yeye alidhurumu, hakustahili kumiliki Mali hiyo!

hata wewe kwanini hukusema wakt yupo?? wanachi wake waliomtuma kuwaongoza wamzodoe !! sasa nakwambia sema hapa hapa alimzurumu nani?? mie nimudishie mara saba make hela tuu ninazo!

Soma historia hii

21. Nyerere is an impulsive leader who dominates Tanzanian political life. He is occasionally influenced by radicals in the Tanganyika African National Union (TANU ), the official party. Two of his most recent initiatives, the Acquisition of Property Act and the creation of a Peopleʼs Militia,—taken after TANU prodding—have aroused considerable concern and some potentially significant opposition. The property act enabled the government to acquire all rental housing valued at more than $14,000. In one fell swoop, Tanzanian businessmen and officials were deprived of their last safe investment opportunity and much of their revenue and source of collateral. Most affected were the prosperous Asians, whose unpopularity and political weakness made them an easy target. Many of the most skilled and talented members of the Asian community have fled the country, including members of the Aga Khanʼs Ismaili sect. Most of the Ismailis had become Tanzanian citizens and contributed a great deal to the country, but the Aga Khan recently came to fear for their safety. He is now suggesting that they leave while they can still salvage something. The exodus represents not only a loss of critically needed skills and entrepreneurship, but a substantial drain as well on Tanzaniaʼs already slender foreign exchange holdings. Moreover, as Asians have closed down their businesses and halted their building projects, a large number of Africans have been thrown out of work. Consumer shortages [Page 13] and rising prices add to the economic malaise and, if prolonged, will feed the general dissatisfaction with Nyerere.
 
Kama unategemea kila kitu kuhusiana na siasa akichambue lissu Ili ujue uzuri na ubaya wake basi unaakili ndogo sana na by the way Nyerere alikuwa Kiongozi bora kabisa tuliyepata kuwa naye.
basi mlete baba yako achambue
 
Lissu ni jirani yangu huku TEGETA. Msimchukulie serious kwa kuwa hana hata nguvu ya kum command mkewe. Mkewe ndiyo sauti ya Nyumba. Miaka michache iliyopita mkewe alimfukuza mama mzazi wa Tundu Lissu aliyekuwa amekuja kutoka Ikungi kujiuguza.

Thereafter Mama alihamia kwa Binti yake mwingine hadi umauti ulipompata. Hawa watu wanachoweza ni kuchonga midomo tu. Kama huwezi kutawala Nyumba yako utawezaje kutawala umma mkubwa wa Tanzania
That is non of your concern. Tunaongelea issues za mamlaka makubwa ya rais yalitoka wapi...the source of the history of imperial presidency in Tanzania. Kuwa na akili basi kidogo
 
Kuna watu waliamini bila machafuko Tanganyika isingepata Uhuru, ila Mwl Nyerere (RIP) proved them wrong....na hatimaye tulipata Uhuru kwa amani tu....hata wewe siku moja utagundua diplomasia ndio njia bora ya kumaliza sintofahamu na kupata mnachotaka
Technically Mwalimu alipewa Uhuru kwenye sahani, Tanganyika ilikuwa inaelekea kupewa uhuru kabla hata struggle za Mwalimu na wenzake hazijaanza, go educate yourself something called TANGANYIKA UNDER THE TRUSTEESHIP COUNCIL utaelewa vizuri, British hawakuwa na interest ya kuendelea kuwa Tanzania walikuwa wanataka tuu mtu wa kumwamini kumwachia nchi
 
Back
Top Bottom