Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Lissu nilikua namthamini kama msomi makini, tangu alipoanza kumsema Nyerere bunge la katiba nikagundua kuna nati hazipo sawa, lakini ni kawaida ya watu wenye uwezo mkubwa kidarasa kufeli kwenye maisha ya kijamii
Mkuu kiukweli Lissu is NOT intelligent, ni mtu mwenye tabia ya kujifanya ana akili.
He rings hollow!
Na ngoma tupu ukijipigia mtu atafikiri ndio ina sauti kubwa.

Tunaanza kupata cracks katika tabia yake.
Kuna member humu jirani yake amesema Lissu hana kauli kwa mkewe.
Mtu anayetawaliwa na mke wake anajicompensate kwa kupiga kelele hadharani kurudisha uanaume wake.
This guy is a psychotic case
 

Sisi tulioishi Na Mfalme Na huyu Laanatullahi Nyerere tunajua Lissu anaongea Mimi . Nyerere alikuwa zaidi ya diktator , tukimwita Haambiliki. Akijifanya ni mungu Mtu
 
That is non of your concern. Tunaongelea issues za mamlaka makubwa ya rais yalitoka wapi...the source of the history of imperial presidency in Tanzania. Kuwa na akili basi kidogo
Hata wewe unatawaliwa na mkeo, no wonder limekukera
 
Hivi kwani ni lipi Mwalimu alificha?

Mbona ni yeye mwenyewe alikuwa anatamka hivyo, na hata mikutano yake alikuwa anawaambia Wananchi kuwa "Waingereza wamepewa tu dhamana ya kutuandaa kujitawala..ila hawa waliopo hawasemi ukweli" Mwalimu mwenyewe alikuwa anatamka hivi.

lakini je ilikuwa tubaki tu tumekunja mikono kusubiri hisani ya Waingereza wakijisikia ndio tuwe huru? na ilikuwa inajulikana ni lini? na kwani hii ni nchi yao mpaka watupangie wao kwamba tupo tayari ama la? kwa hiyo kwa akili yako hizo harakati zilikuwa smooth tu kwa kuwa Waingereza walikuwa tayari kutoa uhuru?...kama ambavyo hawakuwa na haki ya kuja tangu mwanzo basi hawakuwa na sababu ya kuwepo hata siku hiyo Watanganyika walipotaka uhuru wao.

Na ukumbuke Mwalimu aliingia kuongoza harakati ambazo zilikuwa tayari zipo, sasa kama wewe na kizazi chako ndio mna akili ya kukaa na kusubiri hisani ya Bwana wenzako hawakuwa hivyo...walitaka uhuru wao hapo hapo.

Hili jukwaa mmejaa wazushi sioni hata kuna Mtu wa maana anajadili kwa kutenda haki...wengi mnatanguliza majungu kwa manufaa yenu mnayoyajua mkiongozwa na huyo Lisu wenu...hopeless kabisa.

Mwalimu kama binaadamu na sio Malaika lakini tunayomlaumu nayo tujiridhishe kwanza badala ya kuokoteza tu taarifa na kujifanya Wajuaji ili hali huna hata robo la maana la kufikia uwezo na kipaji alichokuwa nacho Mwalimu.
 
Sisi tulioishi Na Mfalme Na huyu Laanatullahi Nyerere tunajua Lissu anaongea Mimi . Nyerere alikuwa zaidi ya diktator , tukimwita Haambiliki. Akijifanya ni mungu Mtu
Kwani uliishi enzi za Mwalimu peke yako?
Nasi tulikuwepo, tumesoma bure hadi Ulaya chini yake, tumefanya kazi chini yake.
Kama hukuushirikisha ubongo wako wakati ule, huwezi kumlaumu Mwalimu.
 
Kwani uliishi enzi za Mwalimu peke yako?
Nasi tulikuwepo, tumesoma bure hadi Ulaya chini yake, tumefanya kazi chini yake.
Kama hukuushirikisha ubongo wako wakati ule, huwezi kumlaumu Mwalimu.

Kama ni kusoma mpaka Leo watu wanasoma kwa scolarships Za Bure. Wewe utakuwa ni mtoto wa kibaraka wa Nyerere. Na mlipatiwa nyumba ya watu ya kukwapuliwa Na shamba la kuchukuliwa kwa nguvu.
 

Ni kwa sababu hakuna ulichopoteza wala kuathirika Na Nyerere. Labda ulikuwa mtu wa system
 
Hoja ya kipuuzi sana.
 
Mkuu ungejibu hoja za Lissu badala ya kushambulia nyumba yake ya Tegeta🤣
 
Bila wazungu wenyewe kukubalina kuachia Afrika na makoloni mengine hata leo wangekuwepo hakuna cha Nyerere wala Nkuruma wangethubutu. Ukweli usemwe
 
Napenda Jinsi Lissu alivyo fair na muwazi.
 

Hapa panaongelewa Nyerere namna alivyoandika katiba yake ya kidikteta
 
Peleka huko vijijini wakaliwe na chatu! ...naam! hapo Mwafrica kiroho kwatuuu!!…...nyie subirini tu nakuja kamata usukani nasema wabongo km nyie mbona mtakoma Mwana shikilia sana hii avatar!
Kwani Mkuu wewe uko wapi unasema unakuja kukamata Usukani? Kumbuka Rais Samia yupo yupo sana hadi 2035
 
Lissu Ni boya sana kwa mkewe. Hata kubaki Ulaya ni pressure ya mke
Unajuaje? wewe , may be na familia yako umezoea kuwaonea wanawake. Huyu ni msomi, anajua issues za gender balance.
 
Kama ni kusoma mpaka Leo watu wanasoma kwa scolarships Za Bure. Wewe utakuwa ni mtoto wa kibaraka wa Nyerere. Na mlipatiwa nyumba ya watu ya kukwapuliwa Na shamba la kuchukuliwa kwa nguvu.
Una tatizo na hilo?
Na wewe ulikuwa umezaliwa?
 
Acha kushiriki kusambaza ujinga! Lissu hana hata chembe ya akili ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. # Basi si mumheshimu Mwalimu kwa kujenga taifa moja la Tanzania!🙏🙏🙏

Chanzo cha Katiba mbovu inayolitesa taifa mpaka leo ni Mwl Nyerere.

Ukichunguza Katiba yetu utagundua Mwl Nyerere alijirundikia mamlaka makubwa kupitiliza.

Matokeo yake tunayaona leo Rais wa JMT ni kila kitu,hakuna wa kumzua kufanya apendavyo.Ana mamlaka ya kuteua zaidi ya watu 2,000 bila kuhojiwa na chombo chochote.

Anagawanya fedha za umma ependavyo.Magufuli aliijenga Chato kwa fedha umma hapakuwa na chombo au mtu wa kumzuia.

Katiba hii ni mbovu haiwezi kutuvusha salama kabla ya kuanza kuchinjana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…