Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu kiukweli Lissu is NOT intelligent, ni mtu mwenye tabia ya kujifanya ana akili.Lissu nilikua namthamini kama msomi makini, tangu alipoanza kumsema Nyerere bunge la katiba nikagundua kuna nati hazipo sawa, lakini ni kawaida ya watu wenye uwezo mkubwa kidarasa kufeli kwenye maisha ya kijamii
He rings hollow!
Na ngoma tupu ukijipigia mtu atafikiri ndio ina sauti kubwa.
Tunaanza kupata cracks katika tabia yake.
Kuna member humu jirani yake amesema Lissu hana kauli kwa mkewe.
Mtu anayetawaliwa na mke wake anajicompensate kwa kupiga kelele hadharani kurudisha uanaume wake.
This guy is a psychotic case