Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

Naifahamu Kisopwa ya kuingilia pale Luguruni, then unapita Kwembe, unapita nyuma ya Mloganzila. Huko ndio tunapotoa vifusi vya kuweka barabarani. Pameanza kujengwa(kama ndipo).
Sawa mkuu, vp panafaa kuishi?
 
Kisopwa pazuri. Huko ni moja ya next baada ya Daslam kujaa majumba.

Ushauri ni kwamba ukifika huko nunua eneo kubwa angalau Sqr meter 1000 na kuendelea ili upate hewa nzuri zaidi.

Huko maeneo ni bei chee na huna sababu ya kununua 20 kwa 20.

Karibu sana Kisarawe!
 
Kilichonishangaza ni hapo unaposema ni next baada ya Dar es Salam kujaa majumba...
 
Kilichonishangaza ni hapo unaposema ni next baada ya Dar es Salam kujaa majumba...
Ni kweli. Viwanja vyenye bei ya kawaida vipo Kiluvya ya Dar, Kiluvya ya Kisarawe, na Kiluvya ya Kibaha kwa sasa.

Pia Kisopwa na Homboza hapa Kisarawe.

Kwa kule Bunju kuna Kerege ya Bagamoyo. Pia Lugoba kwa upande wa Chalinze.

Ukigeuka kule Mbagala kuna Vikindu na Kisemvule ya Mkuranga.

Wajanja wenye maono ya miaka kumi 20 mbele ndipo huko wananunua maeneo shemu.

Daslam imeshajaa wenye nyumba!
 
Back
Top Bottom