Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni km ngapi kutokea kifuru??
Mm nipo King'azi hapa ila ninashawishika pia kuja kuinvest huko
Umeme na maji vipi huko kisopwa?
Daladala vipi zinafika?
Usivamie kichwa kichwa mkuu.
kisopwa kuna gogoro kubwa la wanainchi na serikali kuhusu uvamizi wa eneo hilo..
Zilitembea fimbo huko Zaidi ya zile za wamasai na walinzi wa Zanzibar [emoji23][emoji23].
Umeme na maji vipi huko kisopwa?
Daladala vipi zinafika?
Maji ya bomba yapo muda tuu ssYeap
Umeme wa TANESCO [emoji736]
Maji ni watu binafsi wanasupply kwa wahitaji direct connection nyumbani kwako unalipa units unazotumia
bado upo mpka keshoNadhani tushawai kukutana kwenye kifusi huko huko Nina faw langu na mende sijajuwa Hadi SAS ule mgodi bado upo kweli