Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kuhusu km inategemea na umbali kilipo kiwanja.Hapana,napenda upate jirani,ila umenichanganya ulivyopapa sifa,mbona Kisarawe pamezubaa sana?Hilo unalolisema limekaaje....na vipi kuhusu miundo mbinu mpaka kukamata morogoro road ni kilometers ngapi?
Kisarawe pamezubaa kiasi ila kwa mtu anayetaka kuwekeza katika kilimo panafaa sana.
Pia mtu anayetaka utulivu.
By the way ardhi ni investment ambayo huhitaji gharama kubwa kuipa thamani.
Thamani yake inapanda yenyewe. Kikubwa ni kupata elimu ili ufahamu ni wapi ununue. But Kisopwa panafaa kwa sàbabu ni mpakani na Manispaa ya Ubungo.