Nadhani tushawai kukutana kwenye kifusi huko huko Nina faw langu na mende sijajuwa Hadi SAS ule mgodi bado upo kweli
Upo bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tushawai kukutana kwenye kifusi huko huko Nina faw langu na mende sijajuwa Hadi SAS ule mgodi bado upo kweli
Nina uzoefu na njia ya mloganzira ile unapita ile pori la jeshiKuna njia ya kupitia tabata Kifuru na ndiyo mostly inatumika kwenye almost shughuli nyingi za kibinadamu
Nina uzoefu na njia ya mloganzira ile unapita ile pori la jeshi
Aloo ukikakh vibaya uanweza kutekwa ila mwka huu nitakuja Tena kupatazma nione pakoje ninunue kiwanja
Huyu atakuwa alikutana na binti ndani ya daladala ya Mlogazila anayeishi Kisopwa akavutiwa.Eeeeh Kwa hiyo hupajui,Wala huna connection,unalijua jina tu, sasa Nini kimekuvutia huko Kisopwa?
Nitumie namb zako pm nikiwa nakuja unipe directionHahahahah hamna ila viwanja vingi vipo upande huu wa pili ukiwa unaangalia mashariki ya chimbo ndiko mji unakuwa maana ndiyo umeungana toka kinyerezi - kifuru - king’azi - vibura kisopwa…!
Next time pitia kifuru au maramba mawili ..! Japo kifuru ndiyo kupo [emoji106][emoji106][emoji106]•
Nitumie namb zako pm nikiwa nakuja unipe direction
Labda zamani. Now hakuna hicho kitu, viwanja vimepimwa kabisaUsivamie kichwa kichwa mkuu.
kisopwa kuna gogoro kubwa la wanainchi na serikali kuhusu uvamizi wa eneo hilo..
Zilitembea fimbo huko Zaidi ya zile za wamasai na walinzi wa Zanzibar [emoji23][emoji23].
Mbopo...msumi...mpigi magoheHahahahah hamna ila viwanja vingi vipo upande huu wa pili ukiwa unaangalia mashariki ya chimbo ndiko mji unakuwa maana ndiyo umeungana toka kinyerezi - kifuru - king’azi - vibura kisopwa…!
Next time pitia kifuru au maramba mawili ..! Japo kifuru ndiyo kupo [emoji106][emoji106][emoji106]•
Mtu unaishi popote,saa yoyote.Sawa mkuu, vp panafaa kuishi?
Watu wa ardhi watasubiri hadi squatter ikamilike ndio waje kupima ardhiNi nyuma ya hospital ya Mloganzira, kule kiwanja chenye ukubwa wa 400sqm unapata kwa milioni 2
Mkuu unaforce sana hapo kisopwa pawe Dar es salaam, Maelezo mengi yasiyo na msingiSure sure namaanisha hapa Kisopwa - VIBURA ila sijamaanisha KISARAWE yote…!
Ana hata ukiiangalia vizuri hii Kisopwa haijakaa upande wa Kisarawe hata kwenye ramani ya tanzania utaiona ipo Dar es salaam ila kwa sababu hivi vitu huwa vina change , we don’t why, sababu hata sisi wakazi wa huku hatupati huduma zetu za kila siku kisarawe zaidi ni ILALA na Ubungo
Na 99% shughuli zote za kujitafutia ridhiki ni Dar es salaam
Na hata ukiangalia miaka ya nyuma shuguli zote zinazo hutaji mambo ya kiserikali zilikuwa zina hudumiwa na kinondoni kabla ya kugaiwa ubungo na kinondoni..!
Mkuu ni km ngapi kutokea kifuru??Mimi binafsi ni mkazi wa kisopwa - vibura , ni mji mpyaaa unao kuwa ka kasi yake tupo tunaishi huku nina miaka miwili now almost
Kuhusu umbali ni wewe inategemea unaelekea wapi
Mm shughuli zangu ni Posta natumia njia ya Tabata (Kifuru-kinyerezi- buguruni) to town
Ukiwa unaenda Kibaha unakatiza tu hapo eneo la Mlongazila hospital unatoboa morogoro road unaenda zako
Ukiwa unaenda airport unadondoka zako hapo down gongo la mboto huyoo!! Au unapitia kinyerezi unadondokea hapo Airport njia panda ulaya
Ukiwa unaenda Stand ya magufuli mabus ya mkoa unapitia hapo maramba mawili huyooo chap kwa dk tu
Mbona fresh kabisa anayekwambia kuna mashamba sio kweli watu wana viwanja n wanajenga ni mji unakuwa vizuri kwa kasi nzuri
Kwahiyo napenda nikutie moyo kabisa kwa asilimia 99.99% karibu sana …. KISOPWA- VIBURA kumenoga mnooo karibu sana..!
Mji ni rafiki sana changamoto ndogondogo hazikosekani kwa miji mipyaa especially barabara ila kunatia moyo safiii kabisa …!
Ukihitaji ushauri au maelekezo ni DM tu nitarespond..!
Hicho ni kiwanja au bustani ya mboga? Nchi hii tuna ujinga mwingi sana sehemu kama hiyo unapimaje viwanja vya 20 x 20?Ni nyuma ya hospital ya Mloganzira, kule kiwanja chenye ukubwa wa 400sqm unapata kwa milioni 2
Mkuu unaforce sana hapo kisopwa pawe Dar es salaam, Maelezo mengi yasiyo na msingi