Kuhusu km inategemea na umbali kilipo kiwanja.Hapana,napenda upate jirani,ila umenichanganya ulivyopapa sifa,mbona Kisarawe pamezubaa sana?Hilo unalolisema limekaaje....na vipi kuhusu miundo mbinu mpaka kukamata morogoro road ni kilometers ngapi?
Oooh sawa Sasa nimekusoma mkuuKuhusu km inategemea na umbali kilipo kiwanja.
Kisarawe pamezubaa kiasi ila kwa mtu anayetaka kuwekeza katika kilimo panafaa sana.
Pia mtu anayetaka utulivu.
By the way ardhi ni investment ambayo huhitaji gharama kubwa kuipa thamani.
Thamani yake inapanda yenyewe. Kikubwa ni kupata elimu ili ufahamu ni wapi ununue. But Kisopwa panafaa kwa sàbabu ni mpakani na Manispaa ya Ubungo.
Kupata shamba now sio rahisi labda kiwanja kaka…! Na ukihitaji eneo kubwa mengi yameshikwa na watu wenye uchumi mkubwa..! Ila maeneo yapo teleNgoja wanaokujua waje! , viwanja na mashamba pesa ngapi huko mkuu?.
Sawa. Karibu KisaraweOooh sawa Sasa nimekusoma mkuu
Kupata shamba now sio rahisi labda kiwanja kaka…! Na ukihitaji eneo kubwa mengi yameshikwa na watu wenye uchumi mkubwa..! Ila maeneo yapo tele
Mashamba Kisarawe yamejaa tele. Labda useme hapo Kisopwa Centre ndipo adimu.
Hapana,napenda upate jirani,ila umenichanganya ulivyopapa sifa,mbona Kisarawe pamezubaa sana?Hilo unalolisema limekaaje....na vipi kuhusu miundo mbinu mpaka kukamata morogoro road ni kilometers ngapi?
Eneo la mloganzila ni la serikali ni eneo la Tangayika Packers ikiwa ni pamoja na eneo la mnada wa Pugu. Hilo ni mapalio yaani holding ground ya kutunzia mifugo ikingoja kusafirishwa au kupelekwa kiwandani kwa wakati kilipokuwa kinafanya kazi. Haimaanishi kuwa sio eneo la serikali tena. Kabka hujatapeliwa nenda ardhi.Kisopwa pazuri. Huko ni moja ya next baada ya Daslam kujaa majumba.
Ushauri ni kwamba ukifika huko nunua eneo kubwa angalau Sqr meter 1000 na kuendelea ili upate hewa nzuri zaidi.
Huko maeneo ni bei chee na huna sababu ya kununua 20 kwa 20.
Karibu sana Kisarawe!
unakaribia kustaafu nini mana kwa kijana huwezi kufikiria kuishi kisarawe
Kwa hiyo Mloganzila yote ni ya Serikali?Eneo la mloganzila ni la serikali ni eneo la Tangayika Packers ikiwa ni pamoja na eneo la mnada wa Pugu. Hilo ni mapalio yaani holding ground ya kutunzia mifugo ikingoja kusafirishwa au kupelekwa kiwandani kwa wakati kilipokuwa kinafanya kazi. Haimaanishi kuwa sio eneo la serikali tena. Kabka hujatapeliwa nenda ardhi.
Eneo la mloganzila ni la serikali ni eneo la Tangayika Packers ikiwa ni pamoja na eneo la mnada wa Pugu. Hilo ni mapalio yaani holding ground ya kutunzia mifugo ikingoja kusafirishwa au kupelekwa kiwandani kwa wakati kilipokuwa kinafanya kazi. Haimaanishi kuwa sio eneo la serikali tena. Kabka hujatapeliwa nenda ardhi.
Kwa hiyo Mloganzila yote ni ya Serikali?
Nimewahi kwenda kuchukuqa kifusi huko Alo ni ndanj nadani mno lzm uwe na usafiri wako Kam pikipiki japo Ni ndani sna unapita mloganzialaHabari wadau. Kuna mdau yeyote anafahamu hili eneo. Je panafaa kuweka makazi yaani kujenga na kuishi?
Nategemea majibu kutoka kwenu.
Nadhani tushawai kukutana kwenye kifusi huko huko Nina faw langu na mende sijajuwa Hadi SAS ule mgodi bado upo kweliNaifahamu Kisopwa ya kuingilia pale Luguruni, then unapita Kwembe, unapita nyuma ya Mloganzila. Huko ndio tunapotoa vifusi vya kuweka barabarani. Pameanza kujengwa(kama ndipo).
KbsaaaaaWe vipi wewe? Hapafai maana hakuna hewa watu wanaoenda kisopwa huwa wanabeba mitungi ya oxygen kama wazamiaji baharini
Nimewahi kwenda kuchukuqa kifusi huko Alo ni ndanj nadani mno lzm uwe na usafiri wako Kam pikipiki japo Ni ndani sna unapita mloganziala