Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

Kuna njia ya kupitia tabata Kifuru na ndiyo mostly inatumika kwenye almost shughuli nyingi za kibinadamu
Nina uzoefu na njia ya mloganzira ile unapita ile pori la jeshi

Aloo ukikakh vibaya uanweza kutekwa ila mwka huu nitakuja Tena kupatazma nione pakoje ninunue kiwanja
 
Nina uzoefu na njia ya mloganzira ile unapita ile pori la jeshi

Aloo ukikakh vibaya uanweza kutekwa ila mwka huu nitakuja Tena kupatazma nione pakoje ninunue kiwanja

Hahahahah hamna ila viwanja vingi vipo upande huu wa pili ukiwa unaangalia mashariki ya chimbo ndiko mji unakuwa maana ndiyo umeungana toka kinyerezi - kifuru - king’azi - vibura kisopwa…!

Next time pitia kifuru au maramba mawili ..! Japo kifuru ndiyo kupo [emoji106][emoji106][emoji106]•
 
Nitumie namb zako pm nikiwa nakuja unipe direction
 
Usivamie kichwa kichwa mkuu.
kisopwa kuna gogoro kubwa la wanainchi na serikali kuhusu uvamizi wa eneo hilo..

Zilitembea fimbo huko Zaidi ya zile za wamasai na walinzi wa Zanzibar [emoji23][emoji23].
 
Usivamie kichwa kichwa mkuu.
kisopwa kuna gogoro kubwa la wanainchi na serikali kuhusu uvamizi wa eneo hilo..

Zilitembea fimbo huko Zaidi ya zile za wamasai na walinzi wa Zanzibar [emoji23][emoji23].
Labda zamani. Now hakuna hicho kitu, viwanja vimepimwa kabisa
 
Mbopo...msumi...mpigi magohe
 
Sawa mkuu, vp panafaa kuishi?
Mtu unaishi popote,saa yoyote.
Kuna pahali nilipita huko kisarawe nikielekea masaki(sio Obay)
Nikakuta watu wana mijengo balaa.
Ukijiuliza hawa huduma muhimu wanapataje nakosa jibu.
Nikafika ndani ndani huko kuna wawekezaji kabisa waswede na wachina.
Na raia wapo wanakula bata tu,huko hamna hata polisi ,
Watu wanalewa tu gongo la kufa mtu mchana kweupe.
Huyo maza kajiongeza kuna kisoko mjinga hukosi dagaa,nyanya,mafuta,vitunguu
 
Ni nyuma ya hospital ya Mloganzira, kule kiwanja chenye ukubwa wa 400sqm unapata kwa milioni 2
Watu wa ardhi watasubiri hadi squatter ikamilike ndio waje kupima ardhi
 
Njoo huku upande wa vibura ndio pameungana vizuri na upande wa DSM.

Ila uwe makini usiuziwe eneo la Mloganzila.
Kuwa makini usiuziwe eneo la mtu au lenye migogoro ingawa yule kijana masai mwenyekiti wa kijiji ni mtu makini.

Pako vizuri sana.
 
Mkuu unaforce sana hapo kisopwa pawe Dar es salaam, Maelezo mengi yasiyo na msingi
 
Mkuu ni km ngapi kutokea kifuru??

Mm nipo King'azi hapa ila ninashawishika pia kuja kuinvest huko
 
Ni nyuma ya hospital ya Mloganzira, kule kiwanja chenye ukubwa wa 400sqm unapata kwa milioni 2
Hicho ni kiwanja au bustani ya mboga? Nchi hii tuna ujinga mwingi sana sehemu kama hiyo unapimaje viwanja vya 20 x 20?
 
Atakayepita huko atutumie picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…