Kisopwa kwa sasa maji ya bomba yapo,umeme upo,barabara iko chini ya tan road so inarekebishwa mara kwa mara. Potential kwa baadae once mloganzila ikijengwa ikaisha. Kwa sasa viwanja vya 20x20 ni million 4 na kuendelea. Watu wananunua na kujenga na km watu wawili nawajua wameshahamia tayar kati ya watu walionunu mwaka jana. Wenyeji wapo na nyumba zipo japo si nyingi sana. Miaka 10 mbele kutakuwa potential sana ni km watu wanaokaa changanyikeni wamepakana na chuo so umuhimu wake kwa baadae utakuwa hvyo