Venus is kitu kinachong'aa zaidi angani ukiondoa mwezi na juaHivi sayari ya Venus na nyota ya Sirius IPI inangaa sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Venus is kitu kinachong'aa zaidi angani ukiondoa mwezi na juaHivi sayari ya Venus na nyota ya Sirius IPI inangaa sana?
Umenipa somo baaabu kubwa,kwahiyo tuseme kwa vizazi hivi vya sasa hatutashuhudia binadamu kwenda nje ya solar system yetu.speed ya mwanga hatuwezi kufikia close na speed ya mwanga tunaweza tukafikia yaani speed ya 177,000 miles/ second ambapo kwa speed tukisema tukitume chombo kwenye alpha centauri( nyota iliyokaribu na mfumo wetu wa jua itatuchukua miaka 5 tu ila kwa kutumia chemical energy spacecraft itachukua zaidi ya. miaka 50,000 kufika kwenye hiyo nyota
sasa kazi ipo kwenye kutengeneza anti matter space vehicle
Mpaka sasa wanasayansi wameweza kutengeneza anti matter ambayo inafikia uzito wa nanograms 18
zimetengenezwa pale fermilab tevatron particle accerelator ni 15 nanograms,CERN ( 1 nanogram) DESY(Germany) 2 nanograms
Hicho kiwango cha antimatter kilichotengezwa mpaka sasa hivi dunia nzima nishati yake haiwezi hata kuchemsha kikombe cha chai, nanogram ni ndogo sana
1 gram ya anti matter inaweza kutengeneza mlipuko kama wa nuclear bomb
Kutengeneza gram 1 ya anti matter inahitajika 25 million billion kilowatt of energy na ina cost million billion dollars
Labda descendants wetu miaka ijayo wataweza kutengeneza anti matter
anti matter ikikutana na matter ya kawaida inatengeneza kiasi kikubwa cha energy, cosmic rays wanasayansi wanasema zina anti matter
Prolpusion system nyingine ambayo inaweza kufikia speed ya light ni warp drive ila bado sijaijua vizuri na bado ni science fiction kizazi hiki hatauweza kutengeneza
Labda mkuu kifyatu aje atuelezee wrap drive kama anaijua kiundani
Kwa sasa hatuweza kushuhudia tatizo kubwa ni kwamba mtu hawezi kupona na hizo radiation zilizopo kwenye outer space na vile vile chance ya kurudi duniani ni ndogo sana na wakiwa kwenye hicho chombo wanaweza kuwa machizi sababu watakuwa wamekaa sehemu moja ndogo kwa muda mrefuUmenipa somo baaabu kubwa,kwahiyo tuseme kwa vizazi hivi vya sasa hatutashuhudia binadamu kwenda nje ya solar system yetu.
Kwa maana hiyo dhumuni la wanaanga kwa sasa ni nini ............. Ikiwa ndani ya solar system yetu hakuna sehemu nyingine kwenye uhai,na huko nje ya solar system yetu ndio haiwezekani kufika binadamu.......???Kwa sasa hatuweza kushuhudia tatizo kubwa ni kwamba mtu hawezi kupona na hizo radiation zilizopo kwenye outer space na vile vile chance ya kurudi duniani ni ndogo sana na wakiwa kwenye hicho chombo wanaweza kuwa machizi sababu watakuwa wamekaa sehemu moja ndogo kwa muda mrefu
Ila kupeleka chombo peke yake mpaka sasa hivi tumeweza kuna chombo kinaitwa voyager 1 and voyager 2 vimeishika toka nje ya solar system yetu, vilipelekwa angani mwaka 1977 na vitaendelea na safari mpaka itakapofika mwaka 2025,vimeisha tembea billions of kilometres kuna kipindi viliiona dunia kama kidoti kidogo cha blue, ila kwa sasa sidhani kama vinaiona dunia maana vipo mbali sana
Kwa sasa wanaanga wana madhumuni mengi tu, ila kubwa moja wapo ambalo wanalipigania ni kuweka space base kwenye mwezi,na pia kuweka camp na kuanzisha makazi kwenye sayari ya mars,na wameanza na hilo kwa ku tengeneza kituo cha utafiti maarufu kama international space station ( ISS) huko wanaanga wanafanya majaribio mengi yakiwepo binadamu atawezaje kuishi kwenye zero gravity,mimea itawezaje kukua kwenye zero gravityKwa maana hiyo dhumuni la wanaanga kwa sasa ni nini ............. Ikiwa ndani ya solar system yetu hakuna sehemu nyingine kwenye uhai,na huko nje ya solar system yetu ndio haiwezekani kufika binadamu.......???
mkuu hivi hizo Pete za Saturn zilisababishwa na nini? Na kwanini zipo vile?Sijui kwa Tanzania ni maduka gani zinapatikana. Lakini kwa kutumia telescope nzuri ya kawaida (kibei) unaweza kuona sayari zote lakini sio milima na mito. Utaiona sayari yenyewe na miezi inayoizunguuka au pete (rings) kama za Saturn. Unaweza kuona mabonde na milima ya mwezi wetu lakini sio ya sayari.
Ulizia UDSM au vyuo vingine kama wana Astronomical club ili uweze kutumia telescope zenye nguvu kubwa ambazo kwa kawaida ni ghali sana kwa mtu binafsi kuzinunua.
Mkuu kwanini north pole ndio tu kuwe na barafu sio na south pole na kwa dunia yetu south ipo wapi?Tukiweza kuijaza Mars na hewa ya Oxygen maisha yanawezekana hata kama kuna baridi. Hapa Duniani Waeskimo wanaishi north pole ambako kumeganda karibuni mwaka mzima.
samahani kwa maswali mengi kwani binadamu alitokeaje yaani chanzo cha binadamu kuwa hapa sayansi inasemaje?Kwa jibu la ki-imani tunaweza kusema Mungu mwenyewe ametuweka hapa duniani. Mimi si mbobezi wa imani za dini kwa hiyo nitashindwa kuitetea dhana hii.
Lakini ki-sayansi, gravity ya Jupiter ni kubwa kiasi ya kwamba tukienda huko tungekandamizwa na kuwa kama chapati. Kuna chombo (probe) walioipeleka NASA ndani ya Jupiter. Baada ya muda mfupi wa kutuma taarifda za upepo mkali na vimbunga, ilizima haraka sana ilipo-register gravity ya hali ya juu sana.
Hii haina maana hakuna uhai ndani ya Jupiter, la, bali sio wa viumbe kama sisi. Kama tunataka mahala pengine tunapoweza kuishi sisi katika hii solar system yetu basi inabidi pawe na vigezo vinavyofanana na hapa kwetu. Ndio maana wanasayansi wamejikita kupeleka watu Mars kwa sababu kuna uwezekano wa kutengeneza maandhari ya sisi kuishi.
Sijui kama nimelijibu swali lako?
Nakumbuka hili swali lilijibiwa mwanzo kabisa wa mada kuwa chanzo cha uhai au kutokea kwa binadamu kulitokana na vumbi (dust) na vipande vipande vilivyobaki katika utengezwaji wa nyota na kupitia katika process mbalimbali za mabadiliko ndipo uhai ukatoa...if not mistakensamahani kwa maswali mengi kwani binadamu alitokeaje yaani chanzo cha binadamu kuwa hapa sayansi inasemaje?
OK asante sana sikuwa nimeona kama lilijibiwa ndio maana nikaulizaNakumbuka hili swali lilijibiwa mwanzo kabisa wa mada kuwa chanzo cha uhai au kutokea kwa binadamu kulitokana na vumbi (dust) na vipande vipande vilivyobaki katika utengezwaji wa nyota na kupitia katika process mbalimbali za mabadiliko ndipo uhai ukatoa...if not mistaken
Hivi wamatumia njia gani kupata mawasiliano na hizo voyages ambazo zipo mbali na dunia? Kuna mionzi inatumika hapoKwa sasa hatuweza kushuhudia tatizo kubwa ni kwamba mtu hawezi kupona na hizo radiation zilizopo kwenye outer space na vile vile chance ya kurudi duniani ni ndogo sana na wakiwa kwenye hicho chombo wanaweza kuwa machizi sababu watakuwa wamekaa sehemu moja ndogo kwa muda mrefu
Ila kupeleka chombo peke yake mpaka sasa hivi tumeweza kuna chombo kinaitwa voyager 1 and voyager 2 vimeishika toka nje ya solar system yetu, vilipelekwa angani mwaka 1977 na vitaendelea na safari mpaka itakapofika mwaka 2025,vimeisha tembea billions of kilometres kuna kipindi viliiona dunia kama kidoti kidogo cha blue, ila kwa sasa sidhani kama vinaiona dunia maana vipo mbali sana
Mkuu vipi kuhusu tachyonic particles zilizogunduliwa kwenye space inasemekana zinamove faster than light. hii imekaaje hapoHakijazidi 30,000km/h...........speed ya mwanga hata 10% bado hutajaweza kufikia
Kuhusu voyage mkuu kifyatu alilijibu vzr hapa!Mkuu samahani. Naona nilipitiwa. Nilidhani nimekujibu.
Voyager1 na Voyager2 zilirushwa mwaka 1977 (September 5, na August 20) zikiwa na majukumu mawili kila chombo.
Voyager 1
Jukumu la kwanza:
Kutembelea na kuzichunguza sayari za Jupiter, Saturn (na mwezi wa Saturn uitwao Titan).
Jukumu la pili:
Kuendelea na safari mpaka kutoka nje ya solar system yetu (Heliosphere) na kutuma taarifa za anga la huko.
Iko wapi kwa sasa (May 2016):
Iko kwenye Interstellar space zaidi ya km 21,000,000,000 kutoka hapa. (Ni sawa na umbali wa duniani mpaka kwenye jua mara 136).
Bado inawasiliana nasi?
Ndio. Huchukua takriban masaa 20 hivi kwa ujumbe kutoka Voyager1 kutufikia kupitia mtandao wa Deep-Space-Network.
Lini mwisho wa hii mission?
Nishati ya hiki chombo inapatikana kwa jenerata la nuclear. Inakadiriwa ifikapo mwaka 2025 hili jenerata litaishiwa nguvu na hapo ndio itakuwa mwisho wa mission hii.
Je kikikamatwa na aliens?
Kama watakikamata kabla ya 2025 basi kitatufahamisha. Wakikikamata baada ya 2025 basi tena ndio tutakuwa tumeula.
*******************************************************
Voyager 2
Jukumu la kwanza:
Kutembelea na kuzichunguza sayari za Jupiter, Saturn (na mwezi wa Saturn uitwao Titan), Uranus na Neptune.
Jukumu la pili:
Kama la Voyager1
Iko wapi kwa sasa (April 2016):
Iko kwenye ukingo wa heliosphere zaidi ya km 17,000,000,000 kutoka hapa. (Ni sawa na umbali wa duniani mpaka kwenye jua mara 110).
Bado inawasiliana nasi?
Ndio. Huchukua takriban masaa 17 hivi kwa ujumbe kutoka Voyager2 kutufikia kupitia mtandao wa Deep-Space-Network.
Radio signals mkuuHivi wamatumia njia gani kupata mawasiliano na hizo voyages ambazo zipo mbali na dunia? Kuna mionzi inatumika hapo
Pete za Saturn zinaweza kuwa zilitengenezwa na vimondo vikubwa au hata takataka ambazo hazikuweza kujitengeneza kuwa mwezi na zikabaki ndogondogo na zinaelea angani. Sehemu kubwa ya hizi takataka katika hizi pete ni maji (barafu)mkuu hivi hizo Pete za Saturn zilisababishwa na nini? Na kwanini zipo vile?
Nini msaada wake kwa Saturn?
South pole pia kuna barafu. Wakati North pole kuna barafu iliyoko juu ya ardhi, south pole ni barafu tupu hivyo ikiyeyuka yote kutakuwa na ardhi chache sana.Mkuu kwanini north pole ndio tu kuwe na barafu sio na south pole na kwa dunia yetu south ipo wapi?
Una maana ardhi yote itamezwa na maji?South pole pia kuna barafu. Wakati North pole kuna barafu iliyoko juu ya ardhi, south pole ni barafu tupu hivyo ikiyeyuka yote kutakuwa na ardhi chache sana.
Wanayasansi wanasema ni hypothetical tu, bado hawajazigundua, ina maana hazipo, na kama zikiwepo duuh inabidi rewrite baadhi ya laws za physicsMkuu vipi kuhusu tachyonic particles zilizogunduliwa kwenye space inasemekana zinamove faster than light. hii imekaaje hapo
Ni maji tu (bahari) yaliyogandaUna maana ardhi yote itamezwa na maji?