Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

Aaah sio sana, afu kwenye Soko la hisa Kuna product zaidi ya hisa, Kuna hatifungani pia Kuna vipande vya utt nazo zipo frexh
Hati fungani Nzuri sana kukuza mtaji halafu nasikia kuna gawio ila me naogopa serikali isije ikafanya mambo yake hela yako ikawa imeenda kama mfuko wa pensheni walivyofanya,halafu boss kwanini gharama ya kununua vipande ipo juu kuliko kuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naisikia UTT amis hyo japo sijui ni nini?
Na hizo hatifungani vipi ni reliable? Maana hizi serikali zetu haziaminiki wanaweza kukuzima mkwanjwa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huko UTT nikiwekeza nikitaka hela zangu zitarudi kweli, vp serikali hawezi kuingilia wanadai laundry

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizihitaji unazipata kwa utaratibu maalumu,,wa kujaza fomu na vipande vyako kuuzwa kwa mwingine,,Halafu ndani ya siku 5 za kazi unapewa mzigo wako..Iko hivyo kama sikosei
 
Jamaa kasema mwamko mdogo Sasa watamuuzia nani nafikiri utasubiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
) Tupo wengi tu,,tuliowekeza..Suala la kuuza hisa ni Kampuni ndo inayoshughulikia..Halafu wapo tu watu wanaonunua fasta tu,,Nimeona wenzangu hisa zao zikuzwa ndani ya siku 3 pesa zao wanakabidhiwa,,iyo ni UTT..Sijajua makampuni mengine
 
Kununua hisa kipindi hiki ni kujitakia ugonjwa wa moyo.
 
Huu ndo wakati mzuri sana wa kununua hisa kwa sababu utazipata kwa bei ya PUNGUZO. Kumbuka uchumi haupo vizuri hiyo ni advantage kwako kununua kwa bei ya chini ili uje kuuza hali ikiwa sawa kwa bei ya juu. Ni uelewa wangu tu huu ila ukihitaji msaada zaidi wa masuala haya tafuta wataalam wa DSE
 
Habari wana Jf.

Hapa Tanzania Kuna fursa za uwekezaji katika Soko letu la hisa ( DSE) pamoja na UTT AMIS, lakini watanzani wengi hawajitokezi katika kufanya uwekezaji huo?

Je, unafikiri ni sababu zipi inapelekea hali hii? Na mambo gani yafanyike ili kuongeza wawekezaji katika Soko la hisa na UTT AMIS.

YOUNG INVESTORS FORUM- 3
UTT ni fursa kubwa kwa wenye mitaji midogo. Kuna mifuko unaweza kuanza na elfu 8000 kwa mwezi.

Mwenendo wa vipande vya UTT ni mzuri sana. Siku hizi unaweza kuweka pesa na kufuatulia account za utt kutumia simu.

Kwa uzoefu wangu kutoa pesa utt ni rahisi sana, hawajawahi kuchelewesha zaidi ya siku tatu za kazi(hii ni experience yangu)
 
Habari wana Jf.

Hapa Tanzania Kuna fursa za uwekezaji katika Soko letu la hisa ( DSE) pamoja na UTT AMIS, lakini watanzani wengi hawajitokezi katika kufanya uwekezaji huo?

Je, unafikiri ni sababu zipi inapelekea hali hii? Na mambo gani yafanyike ili kuongeza wawekezaji katika Soko la hisa na UTT AMIS.

YOUNG INVESTORS FORUM- 3
Mimi nafikiri kuwa sababu kubwa ni elimu kuhusu soko la hisa na elimu juu manufaa (faida na hasara ya uwekezaji huo) wekeni jukwaa la kutoa elimu kikamilifu juu ya DSE na UTT AMIS watu wengi hawana elimu kuhusu faida ya hisa na manufaa yake, tumieni mitandao ya kijamii kutoa elimu juu soko la hisa hasa instagram, facebook na twiter watu wengu wanatumia sana izo mitandao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ebu toa elimu juu ya hili soko la hisa
Huu ndo wakati mzuri sana wa kununua hisa kwa sababu utazipata kwa bei ya PUNGUZO. Kumbuka uchumi haupo vizuri hiyo ni advantage kwako kununua kwa bei ya chini ili uje kuuza hali ikiwa sawa kwa bei ya juu. Ni uelewa wangu tu huu ila ukihitaji msaada zaidi wa masuala haya tafuta wataalam wa DSE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa ni uelewa mdogo kwa wananchi juu ya masoko ya hisa. Elimu zaidi inatakiwa.

Uwekezaji katika DSE changamoto yake nyingine ni upatikanaji wa hisa zenyewe, hasa za makampuni yenye kufanya vizuri kama TCC na TBL. Watu wengi wakishanunua hisa hasa kwenye IPO wanazi hold. Wauzaji wachache. Unaweza kumpa broker pesa ya kununua hisa za TBL kwa mfano akakaa nazo hata miezi mitatu hajapata hisa za kununua

Upande wa UTT hamna shida. Once ukishajiandikisha ukapata number yako, unaweza kununua vipande hata kwa simu au wakala wa crdb

Uwekezaji wa huku una faida sio kubwa kama kufanyia biashara pesa yako lakini faida ni kubwa kuliko kujenga nyumba ya kupangisha uswahilini
 
Back
Top Bottom