displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
- Thread starter
- #41
Logic yako ya kupakwa wanja inaweza kuwa na ukweli. Mimi nna katoto keupe sana siku hizi mama yake anakuwa anakapaka wanja sana sasa hata mimi nikikaona naishia kushangaa ule wanja
haha hata wale vijana wakimaasai wikitoka jando huwa wanapakwa mkaaa usoni na mwilini ili watu wabaki kushangaa mkaa na si kumshangaa mhusika!!
so unajicho ovyo wewe kwa mtoto wako mwenyewe!?