displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
- Thread starter
-
- #41
Logic yako ya kupakwa wanja inaweza kuwa na ukweli. Mimi nna katoto keupe sana siku hizi mama yake anakuwa anakapaka wanja sana sasa hata mimi nikikaona naishia kushangaa ule wanja
dhiki ya dunia ndio huleta wabaya kuwa na macho mabaya... mtu anaweza tazama mbuzi au kuku akanguka na kufa papo hapo!Duniani mnayo dhiki, naji jipeni moyo kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.. alisema Jamaa mmoja.
Mkuu, ukiona jambo linazungumziwa public kama hivi shukuru, maana ni moja ya bahati ya kuepukika hayo macho ya husuda au macho mabaya kwa kutumia msaada wa imani yako kwa ajili afya, upendo na furaha ya kizazi chako.
Maana siku mtoto wako anapopgwa jicho baya hata shughuli za kiuchumi na Muda wa kuchangia hoja jamii forum huwezi pata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kupitia uzi huu naona wachaga wa migombani ndio wanaongoza kwa kuwa na watu wenye macho ya hatanri na nguvu hatarishi, Kuna mangi mwingine alikuwa anaitwa MAKO huyu alikuwa anaweza kuangusha mti kwa kusukuma kwa mikono ama kuungoa kabisa alikuwa anabaka kila mtu amtakaye na polisi walikuwa wanampiga risasi haziingii alikuja kuuliwa na ndugu yake
usomi na usasa unatuponza sana, mambo mengi ya zamani wazee wetu walifanya ya kiutamaduni yalitulinda sana, sasa km mtu haupo karibu sana na Mungu inabidi tu ufundishwe jinsi ya kujikinga na macho mabaya, kwenye elimu yako kazi afya n.k. macho mabaya yapo hata biblia inasema kwenye Timotheo nimesahau mstari na sura inasema Bwana ataniepusha na kila neno baya lilikusudiwa kwangu.
So mtu mwingine anakupiga jicho la kutofurahishwa na wewe na kukunenea mabaya moyoni. kuomba ulinzi wa Mungu ni muhimu sana. km wewe sio muumini wa dini na sio mtu wa kusali sana basi itabidi tu ufate njia za zamani za kupaka watoto mikaa na kufunga vitambaa, kuogeshea maji ya chumvi n.k.
by the way wkt nakua nyumbani tulikuwa tukisaga unga tunauanika halafu ktktk tunaweka mkaa, sikuwa naelewa ndo naelewa sasa kwa nini.
yanatokaga kwa wakale,kaa na wakale wakelezee ya kale.
Ngoja nifanye hayo Mambo ya uwanja kwa mwanangu Mana Kuna watu wamempiga jicho baya kilo zinaongezeka mdogo mdogo mpaka natamani kulia. Wajuzi tupeni na tiba kwa mtoto aliyepigwa jicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliesoma umevumbua kitu gani kikubwa kwenye Jamii?Hakuna cha jicho baya wala jicho jema!
Ujinga wenu tu na kukosa elimu ndio vinawatesa ndio maana mnakanyaga mafuta hovyo mpaka roho zinawatoka!
Hata mavi mtalishwa ninyi kwa kuamini yasiyokuwepo!
Hilo jicho baya linakuwa na rangi gani? hudhurungi?
Hakuna cha jicho baya wala jicho jema!
Ujinga wenu tu na kukosa elimu ndio vinawatesa ndio maana mnakanyaga mafuta hovyo mpaka roho zinawatoka!
Hata mavi mtalishwa ninyi kwa kuamini yasiyokuwepo!
Hilo jicho baya linakuwa na rangi gani? hudhurungi?
Asante sana.Hapana iyo ni another case.Kuzuia zongo.Kuna matatu
1.MTU mwenye zongo kama anajijua akimuona mtoto anamtemea mate kichwani kama Maasai au anakuita kabla ajamuona mtoto ili asishtuke.Alafu anamshika kichwani.sababu zongo ni laana na kushika kichwani ni baraka so inanutralise laana
2.Mtoto akitoka apakwe wanja hata kama ni wakiume
3Usile hovyo kwenye jaamii ya asili au barabarani
Hapana nadhani labda kwa watu wa njehaha hata wale vijana wakimaasai wikitoka jando huwa wanapakwa mkaaa usoni na mwilini ili watu wabaki kushangaa mkaa na si kumshangaa mhusika!!
so unajicho ovyo wewe kwa mtoto wako mwenyewe!?
Hii kweli kabisa mwanangu nusura afeee kwa zongo.hospital tunapima homa hakuna yupo safiii ila mtoto hanyonyi ni kulia tu ndio mamaa mmoja jirani akanipa hiyo ya magadi ile kumeogesha tu mtoto alilala usingizi safi na kunyonya vzr.yule mama akasema mwanao kapigwa zongo au kijicho manaake kila mtu mtoto wako mzuri jamani ikabidi nimwambie wife asiwe anatoka nje kwa mda mpaka mtoto atengamae vizuri.binafsi mwanzo nilikuwa siaminigi hivi vitu.mila zipo jamani
Hapana nadhani labda kwa watu wa nje
Hamna kuongezeka Yani ni zinagandakilo zaongezeka au kupungua hilo jicho si mchezo lakuongeza kilo!?
Ziko badikilo zaongezeka au kupungua hilo jicho si mchezo lakuongeza kilo!?
Umeongea sahihi.hahaha habari ya gereza huadithiwa vizuri na mfungwa na si askari magereza!!!
We ni unaoneka una vision mpaka unajua kwamba hakuna macho mabayaHakuna cha jicho baya wala jicho jema!
Ujinga wenu tu na kukosa elimu ndio vinawatesa ndio maana mnakanyaga mafuta hovyo mpaka roho zinawatoka!
Hata mavi mtalishwa ninyi kwa kuamini yasiyokuwepo!
Hilo jicho baya linakuwa na rangi gani? hudhurungi?
Ngoja nifanye hayo Mambo ya uwanja kwa mwanangu Mana Kuna watu wamempiga jicho baya kilo zinaongezeka mdogo mdogo mpaka natamani kulia. Wajuzi tupeni na tiba kwa mtoto aliyepigwa jicho.
Sent using Jamii Forums mobile app