Muogeshee magadi au chumvi ya mabonge pia, muwe mnamuwekea vijiwe kwenye soksi bila hivo mtoto stawatesa sana kipindi nimekaa chuga nilijifunza dawa nyingi watu wa kule Wana mizongo ya hatari Hadi mtu mzima unatetemekaMkuu nipe tiba na mimi nijue maana dogo analia sana hadi nashikwa na wazimu
Mkuu ulichokisema ni kweli tupu ntapata ku share story moja ilitokea maeneo ya uchagani huko miaka ya 80's
Aliishi bwana mmoja naye alikua na hicho unachoita macho basi huyo bwana akija kuangalia mtoto mchanga lazma huyo mtoto atafariki au akiangalia ndizi changa kabisa lazima itanyauka au kuvunjika
Mtoto wake wa kwanza na wapili walifariki mda mchache tu baada ya yeye kuja kuwaangalia na hapo ndio wazee wa mila wakagundua kua huyu jamaa ana hicho kitu ulichoita macho
Bas bhana mtoto wake wa tatu alipozaliwa kabla hawajamwonyesha mtoto halisi walichukua lile uwa la mgomba (lile linaning'inia kwenye ndizi) na kulifunga na baby show ikawa mithili ya katoto ka changa kamefunikwa bas wakamkabidhi jamaa kua huyu ndio mtoto wako jamaa kweli akampokea kumfunua ndio akakutana na lile uwa la mgomba kisha baada ya hapo ndipo wakamleta mtoto halisi na hiyo ndio ikawa pona ya kile kichanga ikafanyika hivyo kwa mtoto wa nne na wa tano pia.
Watu wenye macho ya aina hiyo hua wana uwezo wa kuathiri hata vyakula na vinywaji mfano pombe za kienyeji ndio maana kwa kule uchagani mtu akiwa ameanika chakula mfano ulezi,unga,nk kuna jani la mti fulani unaitwa mfifina hua wanaliweka juu yake inaaminika kua hilo jani lina uwezo wa ku deal na nguvu hasi kutoka kwenye macho ya watu
Pia wanapobeba vyakula mfano ndizi ,mihogo nk huliweka hilo jani kwa juu yake ili ku absolve negative energies kutoka kwenye macho ya watu na pia hata kutoka kwa washirikina hii pia kwa case ya pombe za kienyeji hasa mbege na dadii hilo jani linawekwa kwa mantiki hiyohiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nikweli kwenye mbege huweka mkaa wa moto unazimia mule ndani ya pomba na hata kwene unga wa mbege pia ukiagiza material ya ujenzi lazima uweke ilo ua la ndazi (nanwa/soonga) kuondoa macho mabaya
Qn
Nimeskia chuga wanga kichizi😅Muogeshee magadi au chumvi ya mabonge pia, muwe mnamuwekea vijiwe kwenye soksi bila hivo mtoto stawatesa sana kipindi nimekaa chuga nilijifunza dawa nyingi watu wa kule Wana mizongo ya hatari Hadi mtu mzima unatetemeka
Mtoto wa dada bana 😅😅😅 ila mimi kama mjomba nimezipokea kwa miko miwili🥰Hongera sana baba kachanga
Mh 😅😅😅haya msalimie ankoMtoto wa dada bana 😅😅😅 ila mimi kama mjomba nimezipokea kwa miko miwili🥰
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nipe tiba na mimi nijue maana dogo analia sana hadi nashikwa na wazimu
Watu hawaamini km ushirikina upo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muogeshee magadi au chumvi ya mabonge pia, muwe mnamuwekea vijiwe kwenye soksi bila hivo mtoto stawatesa sana kipindi nimekaa chuga nilijifunza dawa nyingi watu wa kule Wana mizongo ya hatari Hadi mtu mzima unatetemeka
Hawajatembea na kujionea Mimi mambo ya zongo nimejua huko kwa wapiga zongo, wako wanaopiga hizo zongo hadi wanyama, Hadi mazao yanakauka na huwa Kuna mumea wanapanda Ili yasiharibikeWatu hawaamini km ushirikina upo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] ndio aisee, kuliko hata tunakoaminishwaga ni wachawi, nilienda huko mgeni kwa sister nikapigwa moja nusu nife nikataftiwa majani flani, hivi na kuogea magadi woooi nikapona aisee, hasa Ile ya Wameru ndio usipimeNimeskia chuga wanga kichizi[emoji28]
Hio ya mashambani nishashuhudia marage yanakauka ghafla na ardhi ina ubichi nashukuru tu yalikwisha komaa 😅 heka mbili nikavuna gunia 7 tu na nilihudumia kwa nguvu zote 😅 Kahe hio!Hawajatembea na kujionea Mimi mambo ya zongo nimejua huko kwa wapiga zongo, wako wanaopiga hizo zongo hadi wanyama, Hadi mazao yanakauka na huwa Kuna mumea wanapanda Ili yasiharibike
Hahahahah nielekeze basi utaratibu maana natafta magadi nikamsaidie mjomba wangu aisee anateseka na kupokezana kumbembeleza usiku mzima ni ishu![emoji23][emoji23] ndio aisee, kuliko hata tunakoaminishwaga ni wachawi, nilienda huko mgeni kwa sister nikapigwa moja nusu nife nikataftiwa majani flani, hivi na kuogea magadi woooi nikapona aisee, hasa Ile ya Wameru ndio usipime
Haya zimefika anaitwa baby “Nargis”Mh 😅😅😅haya msalimie anko
[emoji23][emoji23][emoji23] na huko kahe si ndio Kuna wapare wengi Sana tu, zongo ni hatari Sana, kule Ile ya kupiga zongo mtoto mchanga msipompa dawa anakufa kabisa na akienda hospital vipimo havionyeshi kabisaHio ya mashambani nishashuhudia marage yanakauka ghafla na ardhi ina ubichi nashukuru tu yalikwisha komaa [emoji28] heka mbili nikavuna gunia 7 tu na nilihudumia kwa nguvu zote [emoji28] Kahe hio!
Sio ujinga. Haya mambo yapo katika jamii zetu. Utajua hata usivyovijua siku yakikukuta.Hakuna cha jicho baya wala jicho jema!
Ujinga wenu tu na kukosa elimu ndio vinawatesa ndio maana mnakanyaga mafuta hovyo mpaka roho zinawatoka!
Hata mavi mtalishwa ninyi kwa kuamini yasiyokuwepo!
Hilo jicho baya linakuwa na rangi gani? hudhurungi?
Magadi yanauzwaga masokoni, mkikosa hayo nunue chumvi ya mabonge muwe mnamuogeshea na hayo unanenea kabisa hyo chumvi una miksi na maji, pia kwa watu wengine Kwa mtoto anayelia chukueni mkaa mufunike kwa juu kichwani mnapo mulaza mtoto, ila magadi mazuri huwa yako Moshi Yale ya asili.Hahahahah nielekeze basi utaratibu maana natafta magadi nikamsaidie mjomba wangu aisee anateseka na kupokezana kumbembeleza usiku mzima ni ishu!
Magadi Unayamiksije? Nayo unayanenea aje sasa hebu nipe tutionMagadi yanauzwaga masokoni, mkikosa hayo nunue chumvi ya mabonge muwe mnamuogeshea na hayo unanenea kabisa hyo chumvi una miksi na maji, pia kwa watu wengine Kwa mtoto anayelia chukueni mkaa mufunike kwa juu kichwani mnapo mulaza mtoto, ila magadi mazuri huwa yako Moshi Yale ya asili.
Kule wapare na wasambaa mixa ila ni bad news[emoji23][emoji23][emoji23] na huko kahe si ndio Kuna wapare wengi Sana tu, zongo ni hatari Sana, kule Ile ya kupiga zongo mtoto mchanga msipompa dawa anakufa kabisa na akienda hospital vipimo havionyeshi kabisa
Ika unajicho zuri aise