Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Unapisaini mkataba si unakuwa unajua hilo?Mfumo wa bima bhana....ni kama vile kamari na ndio maana hata kujiunga kwake ni kama kulazimishana Tu......
Imagine unalipia gharama kwa ajili ya majanga ambayo unahisi au kutazamia yatakutokea ndani ya kipindi cha mwaka wa ada ya bima......ina maana kama hakujatokea lolote ni kama vile umeliwa.......
Ni mfano wa mtu aliyebashiri dakika tisini za mpira mambo yasipokuwa kama ulivyotaka imekula kwako
Ndio unajua.....Unapisaini mkataba si unakuwa unajua hilo?
Je, umewaza upande wa pale utakapoumwa na kutumia gharama zaidi ya kile ulichokichangia, pesa inatoka wapi? Kwanini umetizamia upande mmoja tu?Mfumo wa bima bhana....ni kama vile kamari na ndio maana hata kujiunga kwake ni kama kulazimishana Tu......
Imagine unalipia gharama kwa ajili ya majanga ambayo unahisi au kutazamia yatakutokea ndani ya kipindi cha mwaka wa ada ya bima......ina maana kama hakujatokea lolote ni kama vile umeliwa.......
Ni mfano wa mtu aliyebashiri dakika tisini za mpira mambo yasipokuwa kama ulivyotaka imekula kwako
Ndio maana nikasema kama vile kamari tu......furaha ni ushindi vinginevyo umeliwaJe, umewaza upande wa pale utakapoumwa na kutumia gharama zaidi ya kile ulichokichangia, pesa inatoka wapi? Kwanini umetizamia upande mmoja tu?
Yes ukishindwa kwako basi jua tu umewawezesha wenzako ambao walipata mikasa kwa wakati husika, so ni win win situation. But ni vile pia hatuna taratibu za kwenda kupima afya zetu mara kwa mara kama tungekuwa na utaratibu huo basi i hope malalamiko ya kwamba sijatumia bima yangu yangepunguaNdio maana nikasema kama vile kamari tu......furaha ni ushindi vinginevyo umeliwa
Sawa sawa ,mie ili nione bima yangu inatumika huwa kila baada ya miezi 3 naenda kupima ile Full blood pictureYes ukishindwa kwako basi jua tu umewawezesha wenzako ambao walipata mikasa kwa wakati husika, so ni win win situation. But ni vile pia hatuna taratibu za kwenda kupima afya zetu mara kwa mara kama tungekuwa na utaratibu huo basi i hope malalamiko ya kwamba sijatumia bima yangu yangepungua
Yes, Mkuu japo ni culture ambayo wengi hatuna. Huwa tunangoja tuumwe hadi tushindwe kwenda kazini ndiyo tutafute bima zetu za afya.Sawa sawa ,mie ili nione bima yangu inatumika huwa kila baada ya miezi 3 naenda kupima ile Full blood picture
Bima ya gari wangeweka kwa mwaka Mara moja ufanye service bure ,ktk gereji zao walizopitisha , ili hate ikitokea imeungua wajue kuwa hi service ilienda au laYes, Mkuu japo ni culture ambayo wengi hatuna. Huwa tunangoja tuumwe hadi tushindwe kwenda kazini ndiyo tutafute bima zetu za afya.
Labda kwa upande wa bima za magari ndiyo sidhani kama kuna namna ya kufanya ingawa pia bado wengi wanalipa kale kabima kadogo ka third party😂
ndo maana kwenye uislamu bima ni haramu?Tukienda pasu bin pasu kusema kweli bima ni wizi uliohalalishwa
MmmmhmnBima ya gari wangeweka kwa mwaka Mara moja ufanye service bure ,ktk gereji zao walizopitisha , ili hate ikitokea imeungua wajue kuwa hi service ilienda au la
Uislamu ni dini, bima ni maswala ya uchumi. Wapi na wapi?🤔ndo maana kwenye uislamu bima ni haramu?
Kipindi cha cchangamoto ya yoto afya card kuna sheikh mmoja clip ilitembea humu jukwaani..ndo maana kwenye uislamu bima ni haramu?
Na huobugonjwa umemsubiri bima iishe ndio ujitokeze ili adhalilike isee gundu tupu..Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025.
It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa huduma akaanza kuwashukia wenye bima kwamba hajaumwa mwaka mzima hela yake imeenda wapi?
Katika post ya barua amesema kuwa hatofuta kwa kuwa anapigania haki yake na huku ni kama anahisi atapata bguvu ya Rais kwa kuwa ni CCM.
Sasa najiuliza kama alishawahi kwenda kuomba hela yake mara baada ya bima ya gari kuisha? Kama hajawahi kuomba hela yake anategemea bima za afya zinajiendesha kwa mfumo tofauti na bima za mambo mengine?
Huyu dada muda si mrefu atakuja kuomba mchango wakianza kumdai kwa kuchafua brand kwa jambo ambalo hata wafuasi wake wanamuandikia kumwambia bima sio kikoba lakini amekaza fuvu.
Jiandaeni kumchagia
Wakati huo huo ikitokea gari ikapata shida au afya ikaleta mgogoro, bima watalazimika kutengeneza, hata kama gharamanzitakuwa kubwa.Mfumo wa bima bhana....ni kama vile kamari na ndio maana hata kujiunga kwake ni kama kulazimishana Tu......
Imagine unalipia gharama kwa ajili ya majanga ambayo unahisi au kutazamia yatakutokea ndani ya kipindi cha mwaka wa ada ya bima......ina maana kama hakujatokea lolote ni kama vile umeliwa.......
Ni mfano wa mtu aliyebashiri dakika tisini za mpira mambo yasipokuwa kama ulivyotaka imekula kwako
ukisoma kwa makini andiko langu kuna alama ya maulizo yote ni kuonesha kuwa sina ufahamu na jambo hilo bwashee wanaolewa wapo na watakuja kutuelewesha baahKipindi cha cchangamoto ya yoto afya card kuna sheikh mmoja clip ilitembea humu jukwaani..
Concept ya bima ni watu wengine wachangishane kuwasaidia wachache watakaoumwa (kusaidiana)
Sasa wewe kua makini na dini inayosema jambo hilo ni haramu lakini nina uhakika hauna ufahamu wa unachokisema