Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

Mfumo wa bima bhana....ni kama vile kamari na ndio maana hata kujiunga kwake ni kama kulazimishana Tu......

Imagine unalipia gharama kwa ajili ya majanga ambayo unahisi au kutazamia yatakutokea ndani ya kipindi cha mwaka wa ada ya bima......ina maana kama hakujatokea lolote ni kama vile umeliwa.......

Ni mfano wa mtu aliyebashiri dakika tisini za mpira mambo yasipokuwa kama ulivyotaka imekula kwako
Bima ni gambling, kamari pata potea. Unaweza kula au kuliwa ila in most cases unaliwa ndiyo maana makampuni ya bima yanatajirika, yanalipa mishahara waajiriwa wao na pesa nyingi tu wazipatazo kama faida huziwekeza kwenye miradi mingine.
NB: Literally haya yote wanayafanya kwa pesa zetu tunazowapa kila tukatapo bima.
 
Yaani upewe huduma za matibabu huku bima yako imexpire?Huwa pia anauliza bima yake ya gari iki expire na hakuwahi kupata ajali pesa huwa zinakwenda wapi?Assuming ana gari.
Wisdom is chasing her but she is always faster.
What a waste of sperms.
 
Ni mshamba na amekaza fuvu kwelikweli
Ndio tatizo la walugaluga kuvamia mijini, angebaki huko maporini hata asingejua kuna kitu kinaitwa bima......
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kweli ni vyema angetazama upande wa pili, hasa pale inapotokea kwamba katumia zaidi ya kiwango chake cha mchango.

Hata hivyo kuna baadhi ya bima ambazo huweka kikomo cha gharama za matibabu kulingana na kiwango cha mchango wa muhusika. (Nafikiri hata hiyo bima inayolalamikiwa wana huo utaratibu kama sikosei).

Ni muhimu sana watu wakasoma na kuelewa masharti, vigezo na taratibu zote za bima kabla ya kukubali kuwa mwanachama/kuchangia.
Yes Mkuu, ni vyema kuuliza maswali ya msingi na kusoma T&C's kabla ya kukubali kujiunga na shirika husika la bima na kama unaona hujaridhishwa unaendelea kuangaza angaza kwingine kwenye unafuu zaidi
 
Yani ni sawa na ulipe ada kisha ufeli, utake kurudi shule kudai ada yako.
Umaarufu unamchanganya
Yule ana matatizo ya akili.
Anapenda Sana attention. Nafikiri malezi aliyopata utotoni.
 
Bima ni utapeli tu bora mtu utumie cash
Mwaka jana brother angu alivunjika mguu kwenda Hospital et wanadai Bima haihusiki na upasuaji na ni NHIF ni huzuni
"Bima ni Utapeli tu"
 
Tukienda pasu bin pasu kusema kweli bima ni wizi uliohalalishwa
Huu mtazamo hata mimi nilikuwa nao hapo kabla. Na unaeleweka vizuri kama hujawahi kupata changamoto yoyote ile. Ila kwa mtu mwenye uhitaji, kamwe hawezi kukubaliana na wewe.

Fikiria umeumwa ghafla, na matibabu yanahitaji pesa nyingi! Halafu ndani ya nyumba huna kitu. Ukienda hospitali, bima itakusaidia kwa sehemu kubwa.
 
Yawezekana anafanya makusudi au hana ufahamu wa BIMA ila anaumizwa na uhalisia wa BIMA kwamba ni UJAMBAZI uliovalishwa vazi la UREMBO..
 
Sawa sawa ,mie ili nione bima yangu inatumika huwa kila baada ya miezi 3 naenda kupima ile Full blood picture
Me huu mwaka bima nimetumia mara 1. Napo sikuwa naumwa nilifosii tu ili itumike.
😁😁 wanatuibia sana bwana. Dec nitapima hiyo FBP

Tena mtu single ndio tunaibiwa sana
Heri familia. Mume, mke & kids. Asipiumwa mume, ataumwa mke or watoto.
 
Fikiria umeumwa ghafla, na matibabu yanahitaji pesa nyingi! Halafu ndani ya nyumba huna kitu. Ukienda hospitali, bima itakusaidia kwa sehemu kubwa.
Nafahamu faida za bima ila tuwe wawazi aisee....... Imagine kulipia bima maisha Yako yote afu waja fariki kwa ajali na hujawahi kutibiwa zaidi ya malaria
Hii pia nenda hata bima nyingine mfano za magari na kadhalika na kadhalika
 
Je ni kweli imeisha muda ? Na walimtaarifu kwamba anapaswa kurenew akakataa ? Mpaka anaenda hospital na hiyo bima ni kwamba bado anania ya kuitumia... Wange mhandle vizuri hii ilikua PI nzuri sana yakupata na wateja wengine sio kutishiana mpaka nasisi tuigope hiyo kampuni.
Waliandika kwamba alijulishwa kama awamu 3. Akawa anachuna. Ya mwisho akarespond akatoa namba ya simu, na hiyo simu hakupokea hata siku 1.
 
Back
Top Bottom