Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
BIMA NI SAWA NA KAMARI TU
Na diva ndo alichokitaka moenda bure yule 🤣🤣🤣🤣Je ni kweli imeisha muda ? Na walimtaarifu kwamba anapaswa kurenew akakataa ? Mpaka anaenda hospital na hiyo bima ni kwamba bado anania ya kuitumia... Wange mhandle vizuri hii ilikua PI nzuri sana yakupata na wateja wengine sio kutishiana mpaka nasisi tuigope hiyo kampuni.
Naam, ? sikuiona mkuu,ukisoma kwa makini andiko langu kuna alama ya maulizo yote ni kuonesha kuwa sina ufahamu na jambo hilo bwashee wanaolewa wapo na watakuja kutuelewesha baah
Hawa macelebrity kichwani weupe mkuu,Je ni kweli imeisha muda ? Na walimtaarifu kwamba anapaswa kurenew akakataa ? Mpaka anaenda hospital na hiyo bima ni kwamba bado anania ya kuitumia... Wange mhandle vizuri hii ilikua PI nzuri sana yakupata na wateja wengine sio kutishiana mpaka nasisi tuigope hiyo kampuni.
ndo maana kwenye uislamu bima ni haramu?
Ingia insta utaona amepost hivyo, na amesema hafuti postKama ni kweli amefanya hivyo basi huyo mtangazaji ameonesha Uzwazwa wa kiwango cha Dunia
Bima sio wizi. Elimu kuhusu bima ndio tatizo.Tukienda pasu bin pasu kusema kweli bima ni wizi uliohalalishwa
Unaponunua Bima, nia ni kuzuia hasara inayoweza kutokea kama ukiwa mgonjwa au ajali kwenye mali zako, unajua exactly utakachopata, Kamari hujui utakachopata kwa hiyo statement yako sio kweliBIMA NI SAWA NA KAMARI TU
Huyu dada hana akili au elimu yake ndogo?Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025.
It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa huduma akaanza kuwashukia wenye bima kwamba hajaumwa mwaka mzima hela yake imeenda wapi?
Katika post ya barua amesema kuwa hatofuta kwa kuwa anapigania haki yake na huku ni kama anahisi atapata bguvu ya Rais kwa kuwa ni CCM.
Sasa najiuliza kama alishawahi kwenda kuomba hela yake mara baada ya bima ya gari kuisha? Kama hajawahi kuomba hela yake anategemea bima za afya zinajiendesha kwa mfumo tofauti na bima za mambo mengine?
Huyu dada muda si mrefu atakuja kuomba mchango wakianza kumdai kwa kuchafua brand kwa jambo ambalo hata wafuasi wake wanamuandikia kumwambia bima sio kikoba lakini amekaza fuvu.
Jiandaeni kumchagia
View attachment 3475796
View attachment 3475797
Wangehandle vizuri kivipi ye alishaambiwa bima imeisha unataka wamlipie wakati bima imeisha?.Je ni kweli imeisha muda ? Na walimtaarifu kwamba anapaswa kurenew akakataa ? Mpaka anaenda hospital na hiyo bima ni kwamba bado anania ya kuitumia... Wange mhandle vizuri hii ilikua PI nzuri sana yakupata na wateja wengine sio kutishiana mpaka nasisi tuigope hiyo kampuni.
Kweli ni vyema angetazama upande wa pili, hasa pale inapotokea kwamba katumia zaidi ya kiwango chake cha mchango.Je, umewaza upande wa pale utakapoumwa na kutumia gharama zaidi ya kile ulichokichangia, pesa inatoka wapi? Kwanini umetizamia upande mmoja tu?
Bima ni game of numbers....Tukienda pasu bin pasu kusema kweli bima ni wizi uliohalalishwa
Na ndio maana kampuni zinatofautiana yangu wananikumbusha kurenew.Wangehandle vizuri kivipi ye alishaambiwa bima imeisha unataka wamlipie wakati bima imeisha?.
Ni wajibu wa mwenye bima kujua inaisha lini na ina cover kitu gani kampuni kukumbusha ikiwa inakaribia kuisha ni privilege tu wala si lazima.