Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

Na diva ndo alichokitaka moenda bure yule 🤣🤣🤣🤣
 
Hawa macelebrity kichwani weupe mkuu,
 
Jamani tuongee ukweli ina maana tusipopata ajali ya gari na tunalipa bima ina maana hela huwa inaenda wapi??Huwa tunawaomba back au kuwauliza hela imeenda wapi??
 
Ndiyo maana pale Bugando watu wa bimq tulikuwa tunaambiwa kabisa tusisubiri tuumwe ndiyo tuende hospital sababu bima wao wanafyeka kama kawa na hakuna refunds!!

"...bebeni familia zenu mje mfanye check up walau mara tatu kwa mwaka..."
 
BIMA NI SAWA NA KAMARI TU
Unaponunua Bima, nia ni kuzuia hasara inayoweza kutokea kama ukiwa mgonjwa au ajali kwenye mali zako, unajua exactly utakachopata, Kamari hujui utakachopata kwa hiyo statement yako sio kweli
 
Mifumo ni mibovu kila sehemu waja hii nchi bila nrne hatutoboi
 
Huyu dada hana akili au elimu yake ndogo?
Aliposaini mkataba alikua hajui? Hakuuliza hayo maswali?
Mbona mpumbavu sana huyu.
 
Wangehandle vizuri kivipi ye alishaambiwa bima imeisha unataka wamlipie wakati bima imeisha?.
Ni wajibu wa mwenye bima kujua inaisha lini na ina cover kitu gani kampuni kukumbusha ikiwa inakaribia kuisha ni privilege tu wala si lazima.
 
Je, umewaza upande wa pale utakapoumwa na kutumia gharama zaidi ya kile ulichokichangia, pesa inatoka wapi? Kwanini umetizamia upande mmoja tu?
Kweli ni vyema angetazama upande wa pili, hasa pale inapotokea kwamba katumia zaidi ya kiwango chake cha mchango.

Hata hivyo kuna baadhi ya bima ambazo huweka kikomo cha gharama za matibabu kulingana na kiwango cha mchango wa muhusika. (Nafikiri hata hiyo bima inayolalamikiwa wana huo utaratibu kama sikosei).

Ni muhimu sana watu wakasoma na kuelewa masharti, vigezo na taratibu zote za bima kabla ya kukubali kuwa mwanachama/kuchangia.
 
Tukienda pasu bin pasu kusema kweli bima ni wizi uliohalalishwa
Bima ni game of numbers....

Na ukifuatilia historia mfano huko Scotland Wajane walikuwa wanapata shida sana waume zao wakifariki; Insurance iliwasaidia sana (Scottish Widows 1815) - Insurance was nothing more than a gamble until mathematical innovations like probability, life expectancy, normal distribution came by. Two priests, Webster and Wallace, devised insurance as a way to compensate widows of priests in Scotland.
– The widow will be allowed to have 3 times the amount the priests paid to the insurance company during the course of his life.
– There were about 930 ministers alive at all times
– 27 died yearly, 18 left widows, 5 left children without widows, 2 left widows and children of a former marriage under age 16
– The maximum number of widows was originally assumed to be 279 assuming a constant mortality rate which they later corrected based on experience

They then created a fund with 4 levels of payments from living priests that would be invested. It was calculated in such a way that the interests alone would pay for all annuities, etc., leaving the principle amount untouched.



Sasa nikirudi kwenye sentensi yangu ya kwanza..., Kama una watu wawili kwenye insurance yako mmoja akiumwa hio ni 50 percent hivyo kufirisika ni rahisi sana..., ila ukiwa na mamilioni ya watu haiwezekani more than 10 percent wote waugue; hivyo wameshafanya hesabu ya watu kuweza kuchangiana na wao bado kupata faida....

That said kulalamikia insurance ambayo ni biashara inayosaidia watu pamoja na wao kupata faida ungelalamikia Serikali yako na kuiuliza inapelekawapi Kodi

 
Wangehandle vizuri kivipi ye alishaambiwa bima imeisha unataka wamlipie wakati bima imeisha?.
Ni wajibu wa mwenye bima kujua inaisha lini na ina cover kitu gani kampuni kukumbusha ikiwa inakaribia kuisha ni privilege tu wala si lazima.
Na ndio maana kampuni zinatofautiana yangu wananikumbusha kurenew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…