Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

MR. ADELARDUS KILANGI Member and President, African Union Commission on International Law Dean of the Faculty of Law, St. Augustine University of Tanzania in Tanzania Adelardus Kilangi serves as member of the African Union Commission on International Law (2009-2015) where he was later elected the President (2012-2014). He is also a Professor of international law, legal theory, and mining law at St. Augustine University of Tanzania in Tanzania. He previously taught law at Ruaha University College in Tanzania, Tumaini University - Dar es salaam College in Tanzania, and the Open University of Tanzania, also in Tanzania. Prior to that, he served as Country Programme Manager for the Southern African Aids Trust in Tanzania, and Programme Officer for DANIDA as well as Legal Advisor to the Danish Embassy in Tanzania, respectively. He has also worked as Programme Officer to the Environmental, Human Rights Care and Gender Organization, a local NGO, while prior to that he worked as Legal Advisor with the Resource Mobilization Unit of the University of Dar es salaam in Tanzania. He is an Advocate of the High Court of Tanzania, a member of the East African Law Society, and member of the Pan African Lawyers Union. He has published a number of books and articles in law, specifically in the area of regional integration law, mining law, and general international law. He has carried out a number of consultancies and research works especially in the area of institutional and organizational development, as well as the area of curriculum and academic programme development.
Mkuu Petro E. Mselewa, huko ulikoipata hii biography hawajamtendea haki huyu Dr. A Dr (Professor), wanamuita Mr. Adelardus Kilangi!!!! Yaani wameanza Mr halafu huko ndani ndo wanaweka mataito ya ukweli. Tuheshimu shule za watu.......
 
huyu ni human right activict mmoja hivi, haijui vizuri ofisi ya AG na ninamuonea huruma sana kwasababu atapata shida mno kwenye utendaji. mkuu anakosea kuwateua watu kushika nyadhifa maeneo ambayo hawana practice nayo. shida itampata kwenye kujibu maswali bungeni, hakika atapata shida sana, atatakiwa kusoma sana sana la sivyo kitakuwa kichekesho.
Na akirudi mjengoni yule anayetibiwa kule nje, nadhani hapo ndo nafasi hiyo ya AG ndani ya mjengo, itampendeza zaidi...... Maana hata waliopita muziki waliucheza.
 
Omba wewe kazi utapewa maana unaonekana unawajua sana watu
nilishafanya kazi Attorney general mkuu, naijua hiyo ofisi, hata huyo jamaa namfahamu vizuri tu. hata hivyo namtakia yote mema, cha muhimu ni kusoma tu. kwenye masuala ya sheria, asikudanganye mtu, academicians huwa hawafanyi vizuri, ila wale waliopractice sheria iwe mahakamani au kwenye maofisi ndio huwa wanajua kwasababu wameshapitia matatizo mbalimbali katika utendaji na wanazijua hizo ofisi. that's why TULIA ATKSON hakufaa kabisa deputy attorney general baada ya kutolewa ulecturer udsm, huyo naye alikuwa st.augustin...you get the picture?
 
ni mzaliwa na mkazi wa wilaya ya sengerema mtaa wa misheni almaarufu soweto mkoani mwanza akiwa mtoto wa kwanza katika familia..amesoma huko huko mwanza na baadae alijiunga na masomo ya juu akisomea upadre pale kipalapala tabora lakini hakufikia azma hiyo baada ya kufukuzwa darasa zima kwa kile kilichodaiwa kugoma kuosha sahani za kulia chakula( walikuwa wakimaliza kula utaratibu uliokuwepo walikuwa hawaoshi sahan walizolia na wapishi ndio walifanya kazi hiyo) askofu akampa maelekezo baba gombera awaambie vijana wawe wanaosha sahan zao wenyewe..baba gombera(rector) alipowambia wakagoma na hivyo kufukuzwa darasa zima...

badae alijiunga UDSM akasoma sheria na amefanya kazi mashirkka kibao ya kimataifa kabla hajajiunga na St Augustine.ni mtendaji mzuri sana na very charismatic..anao ndugu zake na wadogo zake kama Denis Sebugwao (nae mwanasheria) na mwingine ni padre huko katika jimbo la geita..ameoa na ana watoto
Wasukuma ni zamu yao kutesa
 
Huyu jamaa namfahamu kama mtu mwenye roho nzuri kutokana na jinsi alivyokuwa anaishi VIZURI na malecturer wenzake na wanafunzi wa sheria pale SAUT.

Sijashangaa yeye kupata nafasi hiyo maana wengi aliowasaidia walimuombea mema.
 
ni mzaliwa na mkazi wa wilaya ya sengerema mtaa wa misheni almaarufu soweto mkoani mwanza akiwa mtoto wa kwanza katika familia..amesoma huko huko mwanza na baadae alijiunga na masomo ya juu akisomea upadre pale kipalapala tabora lakini hakufikia azma hiyo baada ya kufukuzwa darasa zima kwa kile kilichodaiwa kugoma kuosha sahani za kulia chakula( walikuwa wakimaliza kula utaratibu uliokuwepo walikuwa hawaoshi sahan walizolia na wapishi ndio walifanya kazi hiyo) askofu akampa maelekezo baba gombera awaambie vijana wawe wanaosha sahan zao wenyewe..baba gombera(rector) alipowambia wakagoma na hivyo kufukuzwa darasa zima...

badae alijiunga UDSM akasoma sheria na amefanya kazi mashirkka kibao ya kimataifa kabla hajajiunga na St Augustine.ni mtendaji mzuri sana na very charismatic..anao ndugu zake na wadogo zake kama Denis Sebugwao (nae mwanasheria) na mwingine ni padre huko katika jimbo la geita..ameoa na ana watoto
Si kweli kuwa aliondoka kwa sababu ya kugoma kuosha vyombo na wala darasa zima halikufukuzwa. Endapo darasa zima lilifukuzwa ilikuwaje classmate wake Mhashamu Flavian Kasala akabakia wakati walikuwa darasa moja huko Kipalapala? Nadhani ungefanya utafiti Kilangi aliingia lini Kipalapala na hayo yakuosha vyombo yalitokea lini! Kukuelimisha hili suala lilifanywa na mashemasi ndio walikuwa hawaoshi vyombo, kwa mujibu wa utaratibu. Lakini alipoingia gombera mpya aliamua kila mwanachuo aoshe vyombo, kupinga suala hilo mashemasi wote waligoma na kwa kuwa ni mashemasi walisimamishwa mwaka mzima 1993 na kisha kupadirishwa majimboni kwao. Kilangi ameondoka miaka mitatu baadaye 1996.
 
Imezoeleka kuwa ukiwa ndani ya ccm uelewa wako lazima some time uuweke pembeni ili ufuate matakwa ya chama katika harakati za kutekeleza ilani ya chama.

Tunayo mifano mingi ya wasomi na wenye upeo wa juu waliokuwa wajengaji wazuri wa hoja kwa wakati wao, lakini walipojumuishwa katika serikali ya ccm mpya ghafla walionekana kama hawana kitu kichwani na walidiriki kuyakana hata Yale waliyowahi kuyapigani kipindi cha nyuma! Hapa nawazungumzia watu kama akina Polepole, Kafulila, Machali na Kitila Mkumbo.

Sasa nije kwa Dr Kilagi ambaye alijipatia umaarufu siku za hivi karibuni kwa kuonesha kuijua sheria vizuri na kuitolea ufafanuzi bila kupepesa au kubase upande Fulani ili spate sifa kama wengine wafanyavyo.
Je baada ya kujumuishwa katika serikali ya ccm mpya atakuwa yuleyule tuliyemzoea aua atabadilika kama wengine?
 
Kifupi ukitaka kudumu kwenye uongozi wa awamu hii ukubali kuwa muongo na chizi! "Ndege wafananao huruka pamoja"
 
Hapa nawazungumzia watu kama akina Polepole, Kafulila, Machali na Kitila Mkumbo.
Umetumia kipimo gani kuonesha/thibitisha kuwa hao uliowataja wamepungukiwa kwenye mental competences zao?
 
Imezoeleka kuwa ukiwa ndani ya ccm uelewa wako lazima some time uuweke pembeni ili ufuate matakwa ya chama katika harakati za kutekeleza ilani ya chama.

Tunayo mifano mingi ya wasomi na wenye upeo wa juu waliokuwa wajengaji wazuri wa hoja kwa wakati wao, lakini walipojumuishwa katika serikali ya ccm mpya ghafla walionekana kama hawana kitu kichwani na walidiriki kuyakana hata Yale waliyowahi kuyapigani kipindi cha nyuma! Hapa nawazungumzia watu kama akina Polepole, Kafulila, Machali na Kitila Mkumbo.

Sasa nije kwa Dr Kilagi ambaye alijipatia umaarufu siku za hivi karibuni kwa kuonesha kuijua sheria vizuri na kuitolea ufafanuzi bila kupepesa au kubase upande Fulani ili spate sifa kama wengine wafanyavyo.
Je baada ya kujumuishwa katika serikali ya ccm mpya atakuwa yuleyule tuliyemzoea aua atabadilika kama wengine?
Mtarban, wapi kuonesha weledi wa sheria? Tupe mifano
 
As if hujui mambo ya siasa hasa za kibongo , cc prof. LiPUMBA, Muhongo na wengineo
 
Back
Top Bottom