Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

Wanapoingia ccm kuna kipengele kwenye JD(job description) yao kinachosema akili zako zote ziache huko huko ulikotoka akili utapewa ukifika ofisini kwenye ofisi yako mpya
 
Umetumia kipimo gani kuonesha/thibitisha kuwa hao uliowataja wamepungukiwa kwenye mental competences zao?
Wewe angalia utendaji wa jaji mutungi au lubuva ndiyo utajua kuwa ccm huwa wanatoa akili za wasomi wanaweka akili za kiccm
 
Wewe angalia utendaji wa jaji mutungi au lubuva ndiyo utajua kuwa ccm huwa wanatoa akili za wasomi wanaweka akili za kiccm
umeulizwa standard measure/measuring criteria ulizotumia, jibu, siyo kuleta bujbuj hapa.
 
P
!
!
Kuvua akili is a must ukiteuliwa.
Utakuwa kila siku unatoa ufafanuzi kwa waliomuelewa vibaya
Ilani ni kama weed.....unasema then hueleweki, then unatolea ufafanuzi usioeleweka.

Kama vile...Uchangiaji elimu ni marufuku........then oooh hamkutuelewa, tulimaanisha wazazi wakitaka wachangie. hahahahhaaa
 
Imezoeleka kuwa ukiwa ndani ya ccm uelewa wako lazima some time uuweke pembeni ili ufuate matakwa ya chama katika harakati za kutekeleza ilani ya chama.

Tunayo mifano mingi ya wasomi na wenye upeo wa juu waliokuwa wajengaji wazuri wa hoja kwa wakati wao, lakini walipojumuishwa katika serikali ya ccm mpya ghafla walionekana kama hawana kitu kichwani na walidiriki kuyakana hata Yale waliyowahi kuyapigani kipindi cha nyuma! Hapa nawazungumzia watu kama akina Polepole, Kafulila, Machali na Kitila Mkumbo.

Sasa nije kwa Dr Kilagi ambaye alijipatia umaarufu siku za hivi karibuni kwa kuonesha kuijua sheria vizuri na kuitolea ufafanuzi bila kupepesa au kubase upande Fulani ili spate sifa kama wengine wafanyavyo.
Je baada ya kujumuishwa katika serikali ya ccm mpya atakuwa yuleyule tuliyemzoea aua atabadilika kama wengine?
AKIJENGAHOJA ANATUMBULIWA MTARBAN. HE CAN NOT AND HE WILL NOT DARE!
 
Mtoa hoja umekua too specific kw ccm sana lakn hyo point of concentration ipo kote even outside political arenas.... Assume una kampuni je mfanyakaz wako utakubal awe n mising yake tofaut n yako?? Lakn pia mataifa makubwa kama USA under Trump we Witness the same!!! Also in ancient times this was too.... Look on Athens en Roman political admnistration by then.... So don't jugde it as if limeanza Leo hapa kwetu..!!!!so kuna means Ya kuendeleza mising hyo ukilazimika kufuata mising y mtu. ..taasisi n pia serikal etc.... Pia.... Hii kwenye management en administration ipo imezumgumzwa
 
Mleta mada naona umekuja kichokozi kweli.. Nikuulize hivi..
Unawafahamu watu hawa kabla ya teuzi zao??
1. H. Polepole
2. K. Mkumbo
3. A. Mghwira
4. P. Kabudi
5. A. Msando

Umepata majibu.. Sasa ebu rudia tena swali lako..
 
ni mzaliwa na mkazi wa wilaya ya sengerema mtaa wa misheni almaarufu soweto mkoani mwanza akiwa mtoto wa kwanza katika familia..amesoma huko huko mwanza na baadae alijiunga na masomo ya juu akisomea upadre pale kipalapala tabora lakini hakufikia azma hiyo baada ya kufukuzwa darasa zima kwa kile kilichodaiwa kugoma kuosha sahani za kulia chakula( walikuwa wakimaliza kula utaratibu uliokuwepo walikuwa hawaoshi sahan walizolia na wapishi ndio walifanya kazi hiyo) askofu akampa maelekezo baba gombera awaambie vijana wawe wanaosha sahan zao wenyewe..baba gombera(rector) alipowambia wakagoma na hivyo kufukuzwa darasa zima...

badae alijiunga UDSM akasoma sheria na amefanya kazi mashirkka kibao ya kimataifa kabla hajajiunga na St Augustine.ni mtendaji mzuri sana na very charismatic..anao ndugu zake na wadogo zake kama Denis Sebugwao (nae mwanasheria) na mwingine ni padre huko katika jimbo la geita..ameoa na ana watoto
Mkuu katika ubora wako.
Umeadimika sana
 
Hahaha nyie ndio hamumuelewi mkuu wetu, yeye anachitaka uwe na PhD tu, siyo uwe mtendaji mzuri au sijui mchapakazi.
Ingekuwa mapenzi yake hata ma DC wote walipaswa kuwa na PhD tu hata kama ni za kusokita bangi.
umesahau sifa moja.
Uwe unatokea kanda ya nyonyo
 
Back
Top Bottom