Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

Huyu jamaa namfahamu kama mtu mwenye roho nzuri kutokana na jinsi alivyokuwa anaishi VIZURI na malecturer wenzake na wanafunzi wa sheria pale SAUT.

Sijashangaa yeye kupata nafasi hiyo maana wengi aliowasaidia walimuombea mema.
Ukiacha suala la roho nzuri kwa wanafunzi na walimu wenzake ni sifa gani za ziada za kiutendaji unaweza kutuelezea?
 
Mleta mada naona umekuja kichokozi kweli.. Nikuulize hivi..
Unawafahamu watu hawa kabla ya teuzi zao??
1. H. Polepole
2. K. Mkumbo
3. A. Mghwira
4. P. Kabudi
5. A. Msando

Umepata majibu.. Sasa ebu rudia tena swali lako..
Ongezea hapo na yule Rioba wa TBC
 
umesahau sifa moja.
Uwe unatokea kanda ya nyonyo
Hahaha maharamia wakiteka mtaa rooters ni wafuasi wao. Wananchi mnakuwa chini ya ulinzi mpaka majambazi yaondoke. Vumilia yakitosheka yataondoka wananchi tutabaki huru na tutaendelea na maisha yetu.
 
ni mzaliwa na mkazi wa wilaya ya sengerema mtaa wa misheni almaarufu soweto mkoani mwanza akiwa mtoto wa kwanza katika familia..amesoma huko huko mwanza na baadae alijiunga na masomo ya juu akisomea upadre pale kipalapala tabora lakini hakufikia azma hiyo baada ya kufukuzwa darasa zima kwa kile kilichodaiwa kugoma kuosha sahani za kulia chakula( walikuwa wakimaliza kula utaratibu uliokuwepo walikuwa hawaoshi sahan walizolia na wapishi ndio walifanya kazi hiyo) askofu akampa maelekezo baba gombera awaambie vijana wawe wanaosha sahan zao wenyewe..baba gombera(rector) alipowambia wakagoma na hivyo kufukuzwa darasa zima...

badae alijiunga UDSM akasoma sheria na amefanya kazi mashirkka kibao ya kimataifa kabla hajajiunga na St Augustine.ni mtendaji mzuri sana na very charismatic..anao ndugu zake na wadogo zake kama Denis Sebugwao (nae mwanasheria) na mwingine ni padre huko katika jimbo la geita..ameoa na ana watoto
Ukisoma maelezo ya aina hii unaweza ukadhani tumepata bonge la genius, kumbe lugha tu na kujipamba. Mara director, mara country adviser, mara bhla-bhla! Je si ni huyu aliyelaani kuzuiya makinikia? au tumemsahau ni mwingine?
 
ni mzaliwa na mkazi wa wilaya ya sengerema mtaa wa misheni almaarufu soweto mkoani mwanza akiwa mtoto wa kwanza katika familia..amesoma huko huko mwanza na baadae alijiunga na masomo ya juu akisomea upadre pale kipalapala tabora lakini hakufikia azma hiyo baada ya kufukuzwa darasa zima kwa kile kilichodaiwa kugoma kuosha sahani za kulia chakula( walikuwa wakimaliza kula utaratibu uliokuwepo walikuwa hawaoshi sahan walizolia na wapishi ndio walifanya kazi hiyo) askofu akampa maelekezo baba gombera awaambie vijana wawe wanaosha sahan zao wenyewe..baba gombera(rector) alipowambia wakagoma na hivyo kufukuzwa darasa zima...

badae alijiunga UDSM akasoma sheria na amefanya kazi mashirkka kibao ya kimataifa kabla hajajiunga na St Augustine.ni mtendaji mzuri sana na very charismatic..anao ndugu zake na wadogo zake kama Denis Sebugwao (nae mwanasheria) na mwingine ni padre huko katika jimbo la geita..ameoa na ana watoto
Naona vetting yake ilipita kwenye desk lako
 
Sebugwao huyu wa mgodi wa serikali kule biharamulo? Stamico?
 
Profile kubwa ila wakishagaingia kwenye system ya gavumenti wanapotea

Ni Msukuma kwa kabila na ni mwanafunzi wa John Pombe Magufuli aka Mhutu. Nia na madhumunu kuendeleza ukabila na zaidi kupandikiza mishipa ya Udikteta katika nchi ya Tanzania, ndiyo maana amebadili sheria ili Tindu Lissu aliyekuwa Mwenyekiti wa TLS asiweze kugombea tena. Kukandamiza mihimili ya Serikali na kuhakikisha Katiba ya nchi haifuatwi kwa maslahi ya MHUTU.
 
Sebugwao huyu wa mgodi wa serikali kule biharamulo? Stamico?

UMESAHAU KWAMBA YEYE NI MWANAFUNZI WA JOHN POMBE MAGUFULI PALE SENGEREMA SEC SCHOOL. IS THAT INTENTION, NA ZAIDI NI MTU ANAYE PENDA SIFA KAMA MHUTU MWENYEWE. YAANI ANAKIMBELE MBELE AU TUNAWEZA SEMA HAJATULIA. HALAFU YEYE NI MSUKUMA SASA SIJUI KAMA MHUTU WANA UHUSIANO NAYE.
 
Wacha kukariri mkuu.

Ajaanza ata kufanya kazi ushatabiri atafeli, sema ulitaka apewe nani?

ANATOKA MWANZA, AMEFUNDISHWA NA MHUTU, WOTE WALISOMEA UPADRE WAKA ACHA, MSUKUMA, ANAPENDA SIFA KAMA MHUTU, ANAKIMBELE MBELE NA KWELI JAMAA KICHWA SANA ILA TU ANAJUA AMEWEKWA KWENYE HIYO POSITION KWA AJILI YA KUENDELEZA MATAKWA YA MKUU NA KUIMARISHA UDIKTETA.
 
huyu ni human right activict mmoja hivi, haijui vizuri ofisi ya AG na ninamuonea huruma sana kwasababu atapata shida mno kwenye utendaji. mkuu anakosea kuwateua watu kushika nyadhifa maeneo ambayo hawana practice nayo. shida itampata kwenye kujibu maswali bungeni, hakika atapata shida sana, atatakiwa kusoma sana sana la sivyo kitakuwa kichekesho.
Mkuu heshima kwako, naona ACT wazalendo wamefukua handaki wanapeleka kwa Pilato
 
huyu ni human right activict mmoja hivi, haijui vizuri ofisi ya AG na ninamuonea huruma sana kwasababu atapata shida mno kwenye utendaji. mkuu anakosea kuwateua watu kushika nyadhifa maeneo ambayo hawana practice nayo. shida itampata kwenye kujibu maswali bungeni, hakika atapata shida sana, atatakiwa kusoma sana sana la sivyo kitakuwa kichekesho.

Vipi kuhusu bungeni na ugeni wake?
Anapata tabu au anawapatisha tabu?
 
Back
Top Bottom