Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aoana elvis mi naona ndo anae da kuchukua nafasi ya Hanscana asee Elvis video zake ni kali sanaKenny naona kwa sasa anakuja vzur Sana
Ila hapo nyuma nisher alitisha Sana Kwa kweli
[emoji1787]..wewe ni hater!!halafu jamaa ana jina kubwa ila bado mshamba mshamba hata mikato yake ya kigoloko sana
Sio hater tu bali mi ni mchawi haswaa[emoji1787]..wewe ni hater!!
😂 😂 😂Hao wawili nawajua vizuri sn Ila huyu pdidy ndy sijajua
Akipost uwe unanitag basi mkuu[emoji1787]
Un semwable🤣🤣😂 😂 😂
Haina tabu mkuu....humu kuna watu ni un-guswable na un-semwable.
Wakat ukidemka wenzio wanaingiza pesa..tihtihtihHuna akili. Jifunze kwanza kuandika.
Inaonekana wakati wenzako wanasoma KKK wewe ulikuwa busy kulambwa makalio vichakani.
[emoji3][emoji3]hapo mwisho sasaKiukweli hanscana ni director mkubwa
Yeye kukaa na hao kina Eric mzava ni kumdhalilisha angalau Kenny kidogo wataenda... Hanscana hawezi kupotea sio rahisi yeye kukosa kazi.
Katika videos kumi bongo za hanscana ni tano unakuta..
Halafu wasafi matapeli walimdhulumu mmakonde zoom production [emoji16]
Unaweza kujionea mwenyewe how un semwable they areUn semwable🤣🤣
Tena afadhali ya video directors, music producers ndio hawana span kubwa kwenye kazi zao.Mimi kati ya kazi ambazo huwa naona hazina otput nzuri kiuchumi ni hizi za uzalishaji music kwa hapa bongo,uproducer au udirector.
Fikiria mtu anakuwa na span ya miaka 2-7 akiwa on top,anatengenezaje faida nzuri ya uwekezaji wake,ikiwa wenye uwezo wa kulipia 20mln kwa video moja ni wa kuhesabika hapa tz!!!!
Mbali na hayo kila mwaka anatakiwa ku upgrade vifaa,ujuzi,na trend kwa ujumla[emoji16][emoji16].
Unakuta set nzima ya camera kanunua kwa 40mln,bado vifaa vya studio nk.
Yaani ni biashara kichaa kwakweli,labda ufanyie passion tu.
🤣🤣Alafu Mwamba aliyepiga mkwara kapata supporters km 48 kwenye kauli yakeUnaweza kujionea mwenyewe how un semwable they are
View attachment 1797692
😂 😂 😂 😂🤣🤣Alafu Mwamba aliyepiga mkwara kapata supporters km 48 kwenye kauli yake
Leo katika pitapita zangu Jf nimekutana na pdidy bn..nimecheka sn😂 😂 😂 😂
Hiyo ndiyo nguvu ya umma....