Ufalme wa Hanscana kama Video Director umefikia mwisho- Amekuwa mwenye hofu sana sasa hivi

Ufalme wa Hanscana kama Video Director umefikia mwisho- Amekuwa mwenye hofu sana sasa hivi

Kenny naona kwa sasa anakuja vzur Sana

Ila hapo nyuma nisher alitisha Sana Kwa kweli
 
Adam Juma hajapotea kivile sema amehamishia kazi nyingi kwenye filamu, alipata challenge kubwa kutoka kwa Eryine Epidu/ mganda flani hivi na John kalaghe.
Kwa Nisher sio sana kivile, nakubali kazi za Elvis na Deo Abel
 
Kiukweli hanscana ni director mkubwa
Yeye kukaa na hao kina Eric mzava ni kumdhalilisha angalau Kenny kidogo wataenda... Hanscana hawezi kupotea sio rahisi yeye kukosa kazi.

Katika videos kumi bongo za hanscana ni tano unakuta..
Halafu wasafi matapeli walimdhulumu mmakonde zoom production 😁
 
Daaaahhh... eeeh banaa..

Benchmark haikubamba sana ingawa ilikua na directors wakali sana

Alikuepo John Kallaghe

Akaja Eryn Epidu (wahuni walimchoma uhamiaji akarudishwa Uganda kinguvu)

Then Razak 4D

Na sasa watoto kibaao..

the game is evolving..
 
Kiukweli hanscana ni director mkubwa
Yeye kukaa na hao kina Eric mzava ni kumdhalilisha angalau Kenny kidogo wataenda... Hanscana hawezi kupotea sio rahisi yeye kukosa kazi.

Katika videos kumi bongo za hanscana ni tano unakuta..
Halafu wasafi matapeli walimdhulumu mmakonde zoom production [emoji16]
[emoji3][emoji3]hapo mwisho sasa
 
Un semwable🤣🤣
Unaweza kujionea mwenyewe how un semwable they are
2021-05-19 02.59.22.png
 
Mimi kati ya kazi ambazo huwa naona hazina otput nzuri kiuchumi ni hizi za uzalishaji music kwa hapa bongo,uproducer au udirector.

Fikiria mtu anakuwa na span ya miaka 2-7 akiwa on top,anatengenezaje faida nzuri ya uwekezaji wake,ikiwa wenye uwezo wa kulipia 20mln kwa video moja ni wa kuhesabika hapa tz!!!!

Mbali na hayo kila mwaka anatakiwa ku upgrade vifaa,ujuzi,na trend kwa ujumla[emoji16][emoji16].
Unakuta set nzima ya camera kanunua kwa 40mln,bado vifaa vya studio nk.

Yaani ni biashara kichaa kwakweli,labda ufanyie passion tu.
 
Tena afadhali ya video directors, music producers ndio hawana span kubwa kwenye kazi zao.

Na kibaya zaidi wasanii hasa wakubwa hawawalipi inavyotakiwa.
 
Adam Juma atabaki kuwa my Favourite Music Video Maker of Bongo na mdie aliyeleta Mapinduzi makubwa sana kwenye kilengele hicho.
 
Back
Top Bottom