Ufanyaji kazi wa viagra

Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah

Next time usimeze vidonge useme ufundishwe natural viagra utengeneze mwenyewe home unywe mambo yasiwe mengi [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kile Ni kilainisha damu,
Ili damu itembee spidi ifike kila pembe ya mwili wako, hadi mishipa midogo ya uume.

Ukizidisha dozi ndo inapenya Hadi mishipa midogo ya ubongo na kuijaza damu,ndo maana kichwa kikuuma.

Suala hapo Ni kutumia dozi sahii kulingana na mwili wako ulivyo, ndo wanashaur uanze na robo uku ukiskilizia mwitikio vipi.
 
Experience is the good teaacher😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kisungura pombe!?
 
Nasikia Kuna miligram 100 na 150??
 
Kwahiyo uliemmezea viagra hajaja??? Imesimama wima tu au imekuaje....pole fundi
Kaja,nimepiga mbili anafosi anawai night shift,tumevutana mlangoni kanishinda nguvu,maana mashine ipo wima hadi mizizi,nguvu za juu zote zimehamia chini! Nasubiri ilale nikabugie maji baridi kupunguza ,hatari aisee
 
Nafikiri ulikusudia kuandika alisaidiwa ili presha ipande na sio ishuke.
Kisungura (smart Gin) na piritoni Ni mmojawapo ya top depressant dunia nzima, zinashusha presha kwa Kasi ya ajabu Sana.

Ndo maana ukimgusa mtu aliekunywa visungura kuanzia 3 mwili wake Ni baridi kuliko kawaida, afu anakua na utulivu.

Ukimuongezea na piritoni ndo anachoka kabisa.

Vibaka na makahaba wanaozimisha walevi kwny mabaa, huwa changanyia piritoni kwny Pombe Kali. Utalala fofofo mpaka kesho yake mchana[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…