Ufanyaji kazi wa viagra

Sio kwa kunywa maziwa
Hiyo ni myth, ama fairy tale, hekaya za Abunuasi.

Ni wapi duniani palipoandikwa maziwa ni antidote (dawa) ya kukata sumu ya kila aina??

Mtumishi wa duka la hardware anakula vumbi la Twiga Cement au asbestos au lead paint, siku nzima, jioni anaambiwa akanywe maziwa... wapi ilifanywa hiyo research Tanzania ?????
 
So ni kipi cha kufanya kuondoa hzo ,sumu na vumbi ?
 
Duh, jama jama....mi nilivokuwaga nasoma mitandaoni nilidhani haya madawa yapo kwa Wazungu huko kumbe watu mnayabugia hapahapa bongoland aseee. Ila naskia yana addiction hayo ukizoea, siku ukawa huna unakuwa unahisi huwezi kazi. Better kula vyakula natural epuka mafuta mengi you will perform naturally na mwenza wako ataridhika bila shida.
 
So ni kipi cha kufanya kuondoa hzo ,sumu na vumbi ?
Hakuna kitu kama hicho

Ina maana hilo vumbi au sumu siku nzima hazifanyi chochote mwlini mpaka jioni sumu inasikilizia kama utakunywa hiyo dawa, maziwa, etc. ndio iku-affect mwilini ?? Please

Dawa ni kili avoid hilo vumbi-sumu
 
Viagra inafanya kazi kwa kuongeza Blood flow kwenye Mishipa ya Uume kwa kifanya iweze kurelax na kuchukua damu nyingi lakini matokeo yake Dawa huwa hazipo selective 100% so mishipa ya kichwa itatanuka pia na kuongeza blood flow hapo ndo Panahitaji Moyo ufanye kazi beyond limit sasa no wonder wazee wengi huwa wanakata moto mazima...!! Kizunguzungu...kichwa kuuma.. kujisikia kutapika ni madhara ya dawa husika.

KIJANA JIAMINI ACHANA NA VIAGRA UKIANZA KUTUMIA IMEKULA KWAKO.
 
Bao la kawada halitoshi mpaka umuonyeshe mwanamke ww ni binadamu kutoka sayari nyingine. Haya.
 
dah nouma ila mnanitamanisha mwenzenu wa kimoja chali
 
Kuna jamaa huku mtaani amekata moto kifuani kwa ke na mnara umegoma kushuka,mawaonea huruma vijana
 
Mimi siyo daktari lakini watu wana taarifa zisizo sahihi nyingi mno na wanashare kama vile ni facts
 
Yani wewe ndio unazidi kujiumiza na hiyo midawa,acha
 
Utakuja kujiua bure mwanamke hata kwa kidole anafika kilelen tatizo vijana mnaamin kupiga muda mrefu ndio kumridhisha mwanamke mwanamke ni hisia zake kwako tu dk 30 zinamtosha kujiona ni mwanamke mbele ya wanawake wenzake
Kwa vidole!
Hapo mkuu umebonyeza sana bhana😆😆😆.

Kwa hiyo unataka kukojoza bila kukojoa ili iwe nini?

Hizo kazi ni za midoli hizo, kwa binadamu unatakiwa kuwajibika mwenyewe, siyo kufanyiwa, kusaidiwa ama kuigiza.

Mambo hayo yachukulie kama ambavyo unaenda "haja", hauwezi kuwakilishwa na mtu, lazima uwajibike mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…