Ufanyaji kazi wa viagra

Ufanyaji kazi wa viagra

Nikiwa secondary high school mate wangu alitumia local viagra (inaitwa MKUYATI) walikuwa wanauza wasambaa pale jirani na stend kuu ya mabus Moshi. Jamaa alipouziwa miaka hiyo akaingia pale Shangazi Hotel akaagiza chai ya rangi na kuweka vijiko 2 vya huo MKUYATI badala ya kijiko kimoja alichoambiwa. Kurudi shuleni demu akawa hakufika, aiseeee ilikuwa balaa maana hiyo erection na mishipa kukaza ilikuwa balaa. Jamaa pamoja na kumuambia apige puli mara kadhaa haikusaidia, tukaenda kumuita mwalimu wa zamu, ambaye naye wiki hiyo alikuwa mwanamke. Anatuuliza mwnzenu anaumwa nini? Tukawa tunaangaliana tuu [emoji23] [emoji23]
 
Unajua banaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niliwahi kufatilia hii imetoka wapi na inatumiwa vipi, hadi video nilizipata[emoji23]

Kitu ingine ambayo niliwahi soma in details na kujua ni nn na inafanyaje fanyaje ni "dipe"[emoji23][emoji23], acha basi pindua hizo herufi [emoji23]
Huo ufukunyuku na vitu visivyokuhusu 🤣🤣🤣
Sasa hadi dipe unafatilia ulikuwa unableed?
 
Huo ufukunyuku na vitu visivyokuhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hadi dipe unafatilia ulikuwa unableed?
Mm ukweli nasoma kila kitu, kuna muda huwa nasoma mambo meusi sana[emoji23][emoji23]

Niliwahi kutaka kujichanganya kuingia zile deep web kuona what's going on nikapata warning moja kali sana. Sirudii tena[emoji23]
 
Mm ukweli nasoma kila kitu, kuna muda huwa nasoma mambo meusi sana[emoji23][emoji23]

Niliwahi kutaka kujichanganya kuingia zile deep web kuona what's going on nikapata warning moja kali sana. Sirudii tena[emoji23]
Ndo ukome ufukunyuku 🤣🤣🤣
 
Kisungura (smart Gin) na piritoni Ni mmojawapo ya top depressant dunia nzima, zinashusha presha kwa Kasi ya ajabu Sana.

Ndo maana ukimgusa mtu aliekunywa visungura kuanzia 3 mwili wake Ni baridi kuliko kawaida, afu anakua na utulivu.

Ukimuongezea na piritoni ndo anachoka kabisa.

Vibaka na makahaba wanaozimisha walevi kwny mabaa, huwa changanyia piritoni kwny Pombe Kali. Utalala fofofo mpaka kesho yake mchana[emoji4]
Ni kwa smart gin au any Gin??
 
Ni bahati mbaya icho kisungura mimi sikijui. Lakini moja ya side effect ya viagra ni kulower blood pressure, sasa kwa hali ya kawaida tu isingaliwezekana apewe vitu vya kupunguza zaidi presha ya damu yake akati ishashuka na ipo chini sababu ya viagra aliotumia.

Afu priton inauwezo wa kuongeza blood pressure na sio kushusha
Hii mambo unaweza ukafa kifala kumbe?? [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom