Unawahi wapi ndugu,Debate ndo itakuletea maendeleo?
Tatizo Watanzania mnaoenda sana kupiga mdomo alafu kazi zero.
Hakuna cha debate wala nini. Uwekezaji uendelee maana tumechelewa sana na muda hauko upande wetu
Sie hatuna haraka,
Tumestuka, safari hiyo, mbeleni itatupeleka kuzimu.!!!
Pia ulijinadi ni mwanasheria NGULI,
Njoo live tupambane Kwa HOJA!!!!🔥