R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 1, 2023 #41 Lord denning said: Debate ndo itakuletea maendeleo? Tatizo Watanzania mnaoenda sana kupiga mdomo alafu kazi zero. Hakuna cha debate wala nini. Uwekezaji uendelee maana tumechelewa sana na muda hauko upande wetu Click to expand... Unawahi wapi ndugu, Sie hatuna haraka, Tumestuka, safari hiyo, mbeleni itatupeleka kuzimu.!!! Pia ulijinadi ni mwanasheria NGULI, Njoo live tupambane Kwa HOJA!!!!🔥
Lord denning said: Debate ndo itakuletea maendeleo? Tatizo Watanzania mnaoenda sana kupiga mdomo alafu kazi zero. Hakuna cha debate wala nini. Uwekezaji uendelee maana tumechelewa sana na muda hauko upande wetu Click to expand... Unawahi wapi ndugu, Sie hatuna haraka, Tumestuka, safari hiyo, mbeleni itatupeleka kuzimu.!!! Pia ulijinadi ni mwanasheria NGULI, Njoo live tupambane Kwa HOJA!!!!🔥
Clever505 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2020 Posts 1,183 Reaction score 2,256 Aug 1, 2023 #42 Lord denning said: Debate ndo itakuletea maendeleo? Tatizo Watanzania mnaoenda sana kupiga mdomo alafu kazi zero. Hakuna cha debate wala nini. Uwekezaji uendelee maana tumechelewa sana na muda hauko upande wetu Click to expand... We jamaa mbona mpumbavu sana, huoni debate inaweza kuleta matokeo mazuri! Au unaogopa ukiamini wazi upande wako utashindwa? Watu kama wewe ni sijui akili huwa mnaweka wapi linapokuja swala la maslahi ya nchi. Pumbavu sana.😈
Lord denning said: Debate ndo itakuletea maendeleo? Tatizo Watanzania mnaoenda sana kupiga mdomo alafu kazi zero. Hakuna cha debate wala nini. Uwekezaji uendelee maana tumechelewa sana na muda hauko upande wetu Click to expand... We jamaa mbona mpumbavu sana, huoni debate inaweza kuleta matokeo mazuri! Au unaogopa ukiamini wazi upande wako utashindwa? Watu kama wewe ni sijui akili huwa mnaweka wapi linapokuja swala la maslahi ya nchi. Pumbavu sana.😈